Alez von lumor
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 516
- 1,486
Unaweza ukahisi umeandika kitu kidogo lakini kinaweza kubadirisha maamuzi ya mtu! Hii inaonyesha una utu! Mungu atakubariki kwa hilo!Jikaze bhana
Ukivumilia Hadi mwakani utagundua una sababu nyingi za kuendelea kuishi kuliko kufikiria hicho unachofikiria!Hello members good morning everyone
Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here
Man it hurt my feelings that no one will notice when I go[emoji22][emoji22]
I got no friends here but I like Jf and it's members
[emoji16]it's funny sometimes when they comment
So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends
Lemme say this
Hali si nzuri kiafya mkuu imezungukwa Hospital kwa waganga tena waganga nimeona fiksi tu wanataka nipiga hela na haya maisha ya kuunga daah nimeona kifo kileee nikasema hapa ngoja niwahi kuwaaga wana humuKumbe kuna wengine mnajua siku zenu za kufa? Wakati wanasema kifo ni fumbo
Ehee yani dogo ujiue na kisa nini? Hizo connection za kina aslay tutakua tunaburudika peke yetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hospital na waganga wakishidwa, yupo Mungu aliekuumba.Hali si nzuri kiafya mkuu imezungukwa Hospital kwa waganga tena waganga nimeona fiksi tu wanataka nipiga hela na haya maisha ya kuunga daah nimeona kifo kileee nikasema hapa ngoja niwahi kuwaaga wana humu
Metal mada share na wengine humu waweza pata msaada fantastic hivyo tafadha
Tupe basi ratiba ya kufa kwako ili tujipange na mazishi..!! Maana usije ukafa wakati tupo safarini mwanetu..!!Hello members good morning everyone
Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here
Man it hurt my feelings that no one will notice when I go[emoji22][emoji22]
I got no friends here but I like Jf and it's members
[emoji16]it's funny sometimes when they comment
So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends
Lemme say this
In Jesus name AmenNaugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa
It pains a lot I just can't handle it
usukumani sasa ni msimu wa kuvuna mpunga nenda hapo upate kibarua mkuuHello members good morning everyone
Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here
Man it hurt my feelings that no one will notice when I go[emoji22][emoji22]
I got no friends here but I like Jf and it's members
[emoji16]it's funny sometimes when they comment
So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends
Lemme say this
Amen mkuu najitahidi sana kwenye maombiHospital na waganga wakishidwa, yupo Mungu aliekuumba.