ISUZU TXD 50 TIPPER 7.5 TONNES IPO SIKONI

ISUZU TXD 50 TIPPER 7.5 TONNES IPO SIKONI

Abramovic

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
324
Reaction score
610
Gari ya kubeba taka/mchanga/mizigo Isuzu Txd 50 Tipper ya tani 7.5 inauzwa, injini iko katika hali nzuri jino moja tu inawaka, body ya kupaka rangi kila kitu standard. Asking price 6 million only. Unaruhusiwa kuja na fundi wako kukagua gari.

Haidaiwi na ina vibali stahiki

For serious buyer only mawasiliano 0715143900
IMG-20190506-WA0009.jpeg
IMG-20190506-WA0007.jpeg
IMG-20190506-WA0008.jpeg
IMG-20190506-WA0004.jpeg
 
Acheni kupotosha wakuu, kama hauna nia ya kununua kaa kimya tu. Gari inatembea hiyo tena inawaka yenyewe tu jino moja msidanganywe na body. Hiyo gari kwa sasa inafanya kazi ya kubeba taka Dar. Nyie mnaozodoa ukute wengine mnalala sebuleni kwenye nyumba za mashemeji zenu
 
Inabinuaa??

Back
Top Bottom