T The Great Architec Member Joined Aug 19, 2012 Posts 86 Reaction score 18 Nov 16, 2012 #1 Habari zenu naombeni msaada, nauliza je inawezekana kuinstal android operating system version yoyote ile kwenye simu aina ya LG model kp500
Habari zenu naombeni msaada, nauliza je inawezekana kuinstal android operating system version yoyote ile kwenye simu aina ya LG model kp500
Rodwell mTZ JF-Expert Member Joined Nov 16, 2012 Posts 1,544 Reaction score 1,722 Nov 18, 2012 #2 Rancho said: Habari zenu naombeni msaada, nauliza je inawezekana kuinstal android operating system version yoyote ile kwenye simu aina ya LG model kp500 Click to expand... Os za simu hazihamishiki.
Rancho said: Habari zenu naombeni msaada, nauliza je inawezekana kuinstal android operating system version yoyote ile kwenye simu aina ya LG model kp500 Click to expand... Os za simu hazihamishiki.
C conta Member Joined Oct 29, 2012 Posts 46 Reaction score 13 Nov 19, 2012 #3 Rancho said: Habari zenu naombeni msaada, nauliza je inawezekana kuinstal android operating system version yoyote ile kwenye simu aina ya LG model kp500 Click to expand... Unaweza install android kwenye compatible device. Hivyo be sure that you have compatible device first. In most cases compatible devives comes with android already installed from manufactures
Rancho said: Habari zenu naombeni msaada, nauliza je inawezekana kuinstal android operating system version yoyote ile kwenye simu aina ya LG model kp500 Click to expand... Unaweza install android kwenye compatible device. Hivyo be sure that you have compatible device first. In most cases compatible devives comes with android already installed from manufactures
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,070 Reaction score 43,514 Nov 19, 2012 #4 kp500 sio smartphone so never haiwezi kuingiza android
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,062 Reaction score 995 Nov 19, 2012 #5 walijaribu nenda mylgcookie.com development section wakashindwa tokea 2009 walijaribu kuport version ya kwanza ya android
walijaribu nenda mylgcookie.com development section wakashindwa tokea 2009 walijaribu kuport version ya kwanza ya android
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,062 Reaction score 995 Nov 19, 2012 #6 ANDROID ON COOKIE LOOK HERE!!!!!! is a mini operating system Android for possible kp500? discussion on your question izo apo utaona kwanini aukuwezekana. bonyeza izo link mbili
ANDROID ON COOKIE LOOK HERE!!!!!! is a mini operating system Android for possible kp500? discussion on your question izo apo utaona kwanini aukuwezekana. bonyeza izo link mbili
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,656 Reaction score 14,616 Mar 7, 2013 #7 sidahani km kp500 ina ROM
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,827 Reaction score 1,858 Mar 7, 2013 #8 mimi nimefuatilia hiyo link ya 2 jibu hili limenishibisha: ''Its possible , but only if you dont need the phone anymore , then you can test it.''
mimi nimefuatilia hiyo link ya 2 jibu hili limenishibisha: ''Its possible , but only if you dont need the phone anymore , then you can test it.''