Is't true Money can do anything? Kujua hilo please tufuatane !

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,780
Nianze kwa ,
Thanks God my health proceedin well .
Kama sikosei kila member ana vyanzo vyake vya ku'produce Thrade.
Kwangu mie hua nazalisha Thrade kufuatia matukio nikumbananayo due my daily activities.

Najua does havin a lot of money really provide anyone with true happiness.
Money it make your life more comfortable with life always bein calmy generally.
It would be enough to make you be able to live more freely enjoyin freedom of bein debt free etc .

But above all money can't solve all of your problems , issues or provide you a fully 100% circumstances .

Leo nilipokua nimekwenda ktk hospitali moja private , nilipofika kwenye chumba cha dawa, nikampa card yangu bi. Dada niliyemkuta akihudumu pale.
Alipoisoma , akaanza kushikashika dawa tofautitofauti , suddenly akaniambia nisubiri, kwa utafiti wangu ulinielekeza hakua na uhakika wa alichokua akitafuta .

Mara akatoka , na akarejea soon na mdada mwingine, kwa mbali nikamsikia yule dada anaekuja nae akimwambia "fanya nawe wende ukasome bwanaa"

Walipofika chumba cha dawa , yule dada aliyeletwa akatoa dawa ambayo yule mdada wa mwanzo aliishika na kuiacha.
Baadae natoka nikakutana na mdada mwingine tena ninaemfahamu anaefanya kazi hapo.
Nikamvuta pembeni kumdadisi kama yule dada mtoa dawa anaifahamu kazi ile .
Akanijibu "yule kajifunzia hapahapa ni shemeji yake na mwenye hospitali"

Ndiyo nikatoka na neno kwamba kwa kutumia pesa waweza kuhonga mwanao akafaulu darasa la 7 , form iv , form 6 , chuo na hata ukahonga akapata Doctor degree na vyeti vya mafamba vyote akawanavyo.
Swali - JE WAWEZA HONGA MWANAO AKAFANYA OPERATION ?
Jibu unalo .
 
Whoever said money can't make you happy, has never had enough
Quoted
Umenikumbusha mwenye hospitali moja hivi kule Mazimbu, walim-promote hgeli home kuwa secretary kumbe anatembea na Muzeiya. Mama alivyofariki baba akataka kuunganishia ndoa siku ya arobaini. Kuna mahausigeli, mahawara na mashemeji huko hospitali. Ndo maana ni muhimu kujipa walau ufahamu kidogo na tatizo lako japo kwa google kabla hujaenda hospitali.

Pole mgonjwa. Unaendeleaje sasa?
 
Whoever said money can't make you happy, has never had enough
Kwanza sikutegemea kiumbe wewe uwe macho muda huu!
Btw umeniongezea kuelewa more ufisadi .
My health niko fit namshukuru mungu.
 
ni wengi wanapata ajira kwa kujuana na wengine hawana hata taaluma wamejaa kwenye maofisi.
 
Acha tu ndugu yangu. Kazi ya ulinzi nimepewa na shemeji (buzi la shosti). Sasa najituma nipate walau u-supervisor nipewe pikipiki ya kutesea.
Kwanza sikutegemea kiumbe wewe uwe macho muda huu!
Btw umeniongezea kuelewa more ufisadi .
My health niko fit namshukuru mungu.
 
Acha tu ndugu yangu. Kazi ya ulinzi nimepewa na shemeji (buzi la shosti). Sasa najituma nipate walau u-supervisor nipewe pikipiki ya kutesea.

Hongera! But najua unafunika kombe mtoto asie na Baba asepe!
Si rahisi kiviile eti ukafungaka hapa uko wp saa hii .
 
Kuna mtoto asie na baba? Unamaanisha 'cloned'? Hehehe! Sasa unanitaka ya moyoni, unataka kusema niko bar? Kwani leo lini? Hivi walikupa na dawa ya kupunguza uchokozi?

I know you know what a child without a particular Dady are called !
The uchokozi kumbe hujui najifunzia kwako.
 
Mie sijawahi kuwa mchokozi, usinisingizie tafadhali. Hapa namshawishi Paw wangu akasomee uchungaji, tufungue kanisa letu na sie tujenge hekalu kama mama rwakatare! Ushindwe ila usilegee!
I know you know what a child without a particular Dady are called !
The uchokozi kumbe hujui najifunzia kwako.
 
Sa Dena mbona sasa ni asubuhi ? Si ndiyo perfect
saa za kuamka?
Sijakuelewa au
uko far east mwenzetu ?

Labda nimeandika kikwetu nimesema hivi jana umekesha JF na saa hizi tayari upo hapa tena umepona au ulikuwa unaumwa kichwa tu kwanza........
 
Labda nimeandika kikwetu nimesema hivi jana umekesha JF na saa hizi tayari upo hapa tena umepona au ulikuwa unaumwa kichwa tu kwanza........

Teh ! Teh!
Kweli jana nilikua nimeshadadia kuangalia ile vurugu ya kuuwawa Balozi wa Us Libya! Apart from that , hua mi si mlalaji wa mapema! Late hrs ndo zangu kama King'asti na Kipipi ile ndo hua mida yao.
Nashkru nafuu niliipata mapema mno jana.
 
Haya uwe na wakati mwema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom