ist model 2003 inahitajika

ist model 2003 inahitajika

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
95,073
Reaction score
134,829
Iwe imenyooka sana....
Isidaiwe vibali,body isiwe imepigwa rangi.....naaminsha gari iwe nzimaa
Model iwe ya nwaka 2003 na cc zake ziwe ni 1300
Bei ya kununulia ni 9.5mln
Kama unayo tuwasiliane nikunganishe kwa mnunizi fasta
0715591141 dar

Ova
 
IST HIYO IWE NAMBA D WADAU

OVA
 
Ipo namba DH kumi na moja. Toka imefika Tz haijatembea hata km1000
 
Ipo namba DH kumi na moja. Toka imefika Tz haijatembea hata km1000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom