Nahitaji gari aina ya IST iliyotumika lakini iwe na hali nzuri kwa matumizi ya kutembelea mjini na kuitumia kwa safari za mbali.
Bajeti yangu ni mil.6,500,000/=Tsh.
Mwenye nayo naomba anicheki PM au hata hapa itakuwa poa zaidi kwa wadau wengine watakaohitaji.