kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 793
1.Ist 2005 bei yake C.I.F(beforward) ni $ 3000x1771 (exchange rate ya leo-BOT)=5,313, 000
2.Kodi yake tshs= 4,090,000 (TRA)
3.Registration+Road licence=320,000(TRA)
4.Port charge =240,000(TPA)
5.Delivery order $70×1771=123,970(shipping line)
6.Clearing agent fee= 250,000
Jumla=10,336,970
kama kuagiza gari kwa sasa bei hiyo na kumbuka hapo hujaweka bima na hujachora vioo na kuweka ribiti ili kuwasupress wezi wa vipuli, pia bado hujafanya service ndogo ndogo(kubadili oil, oil na air filter. Hizo ni garama za kutoa gari pale bandarini na kuagiza tu. Pia kumbuka hujapigwa longolongo za clearing agent na gari imetoka bila any extra cost.
Je kuna show room gani utakuta gari kama unavyosema ist ya 2005 chini ya 10.5 kama ulivyojinadi. Lazima itakuwa ni ist itakayokufanya uwafahamu mafundi gereji wote wa Dar/mtaani kwenu.
Come with fact as above and prove me wrong comrade
Fact, hawajui gharama za gari wao wanaziona tu barabarani na kuzisifia kiukweli ist 2005 ni nzuri sana na ya kisasa mdau.utauza vuta subira aisee.