Fact, yamenikuta hayo mdau na nilishaleta uzi hapa kuhusiana na hilo unalozungumzia mpaka sasa naigulia maumivu hayo hayo ya kupotoshwa kibajeti,
Kabla cjaagiza niliuliza ushuru tra wakanimbia 3,700,000/= inafika naambiwa 5.9 nilichoka.
Learning it the hardway!
TRA wanatumia makadirio yao endapo tu invoice yako (CIF) iko chini ya makadirio yao....
CIF yako ikiwa zaidi ya makadirio yao, basi fasta wanatumia bei yako!
Ila humu kuna waropokaji balaa.....wanataja vitu wasivyojua kabisa.