Issues za ukeketaji mbona complicated??

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Mimi nashindwa kulewa kabisa watu wanaipinga ukeketaji! Hawaelezi sababu za msingi kabisa za kuzuia Ukeketaji. Kibiologia hauna madhara wakati wa kujifungua. Leo wakati naangalia ITV nimegundua kuna behind reasons ambazo hazisemwi hadharani. hebu mtueleze hapa lounge! Je ni utamu kupunguzwa au ni nini!
 
Dah. Ukeketaji usikie kwa mwenzio asee.. ni shiiddaa. Kamgonge dem aliyekeketwa uone kama utarudi tena.. hawafaii.. kwanza hana hata feelings, yaan unasukuma hadi unachoka..sana sana atalalamika unamuumiza
 
Unajua nini kinakatwa kwenye huo ukeketaji? Labda tuanzie hapo
 

Nenda kwenye jamii wanazokeketa ufanye utafiti wako.

Utapata majibu murua.
 

Umesema kibaiolojia nini?????
 
Nnaa rafiki yangu kazini amekeketwa na nilikua sijui,sasa abawa na bwana mara hata miezi miwili haifiki unasikia kaachwa na yeye hajui kupenda basi ikawa tafrani moja kwa zote, akampata jamaa flani huyo jamaa ni chizi sana,alikolea mbaya mahari pia akatoa na shogangu mashalla mzuri,jamaa akapeleka posa bidada akaona madhali posa keshatoa haina neno kumpa tunda, jamaa baada ya kupewa tunda kamshusha kwao mdada yule jamaa akawa hapokei cm wala sms hajibu,
ikabidi nimpigie mie nikamuliza kwani vp alikuudhi yule mdada kasema hajaniudhi ila Mwanamke alokeketwa siwezi kuoa,
nikawakmbia basi nikitu chakuongea tuu usikimbie,hapo ndio nikajua sababu ilikua nini..........
 

hizi mila zingine kukomeshana... hapo mdada wa watu lazima akose confidence!!! ka vipi awe anabana tu mpaka siku ya ndoa ndo aachie... Itakua tiari for better for worse
 
hizi mila zingine kukomeshana... hapo mdada wa watu lazima akose confidence!!! ka vipi awe anabana tu mpaka siku ya ndoa ndo aachie... Itakua tiari for better for worse
Nilimuonea huruma na mpaka sasa hajaolewa she is 40yrs,na yeye anasema haolewi na mtu wa kabila yake...
 
Mkuu usiombe ukututane na mwanamke aliyekeketwa. Ni sawa na kupiga punyeto
 
Dah. Ukeketaji usikie kwa mwenzio asee.. ni shiiddaa. Kamgonge dem aliyekeketwa uone kama utarudi tena.. hawafaii.. kwanza hana hata feelings, yaan unasukuma hadi unachoka..sana sana atalalamika unamuumiza

Mkuu kile kitendo cha kuondoa labia wote wawili na bi mkubwa Clit, hubadilisha kabisa sura ya maku na kutokuwa na ule mvuto wa kumsisimua kichwa wazi!!!!!
 
Kwahiyo unashauri Antena zikatwe tu? Watu wanapoteza maisha kwa hicho kitendo....
Mkeketwaji anatokwa na damu nyingi, inapelekea anaemia au kifo kabisa, hivo vifaa vya kukeketea vinaweza sababisha maambukizi ya HIV, wakati wa kujifungua pia kovu linaweza chanika likasababisha complications tena au kuvuja damu nyingi na kufa kabisa..... Kwani sababu za kukeketa huwa ni zipi hasa? Kuna umuhimu gani kufanya hivo?
 

Mkuu mi naomba unipe faida za ukeketaji???
 
hizi mila zingine kukomeshana... hapo mdada wa watu lazima akose confidence!!! ka vipi awe anabana tu mpaka siku ya ndoa ndo aachie... Itakua tiari for better for worse

Bro unachoongea ni sahihi..Hii kitu inamuondelea confidence muhusika..Niliwahi kupata bahati ya kudate binti wa hivyo..Nilisumbuka sana mpaka kuja kupata mchezo
 
madhara yapo mengi sana ikiwemo na ilo mwanamke kua na hamu ndogo ya kufanya mapenzi.
 

Kukeketa ni sawa na wewe kukatwa ile kichwa y uume ( glans of penis).
Hebu fikiria Kama ni wewe si ufyumu milele?
 
Kuna Binti Mmoja Ambaye nilikutana nae facebook, Alikuwa ni binti mzuri sana Ambaye ukimuona hata kama wewe ni mgumu vipi lazima ugeuke.. Ninaposema ni Mzuri namaanisha kweli. Kama Unavyojua Wazee Wa Fursa. Nikaanza kuimba na Yule msichana lakini Kila jibu ambalo Lilikuwa likiletwa kwangu lilikuwa ni tusi.

Sikutaka kukata tamaa niliendelea kuwa mpole na mnyenyekevu kwake, nilikuwa nikijishusha na kumpa thamani na Heshima katika Maisha Yangu.

Baada Ya kuona amenitukana vya kutosha harafu mimi sikuwa najali, binti akaanza kunieleza ukweli.. Kuwa Yeye ni Mwanafunzi wa Chuo kimoja kipo mbeya na Anamatatizo ambayo anahisi ndio yatachukua Uhai wake.. Nilipotaka kujua kwa sababu ipi Akanijibu kuwa Amekeketwa tokea mtoto mdogo na hapo alipofikia ameshaachwa na Wanaume Zaidi ya Wanne na Kila Anayemuacha lazima akatembee na rafiki Zake Wa karibu... Akanambia kwahiyo na Wewe utakuwa kama hao huwezi kunipenda kwa tatizo hili.. Naamini ipo siku nitajiua kwa tatizo hili na kuanzia leo naomba usiongee wala kuchati na Mimi... Kweli aliniblock kila Sehemu licha ya kumuomba asifanye hivyo... Ki ukweli stori yake iliniumiza sana lakini hakuwa tayari nimsaidie. Mpaka leo sijui huko chuo alipo yupo hai au ndio amefanya maamuzi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…