Issue ya Watutsi na Wahutu na watanzania

Issue ya Watutsi na Wahutu na watanzania

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,468
Reaction score
2,765
Habari wakubwa nimesoma Comments nyingi nakufanya utafiti mdogo ila nimebaki na Maswali Kabla ya uhuru Tulikua tunaishi vizuri kabisa na Mkoloni wakati anagawa mipaka ya hizi Nchi aligawa kwa Maono yake bila kuangalia mipaka ya makabila.

Mfano Labda Babu alikuwa ana shamba Hekta 50 akawa na watoto watano mtoto wa kwanza akapewa Hekta 10 Mkoloni wakati akigawa mipaka Mtoto mkubwa akawa sehemu ya Tanzania akazaa watoto sasa wale Watoto ukitaka ukiwauliza makaburi.

Ya Babu yataonekana Nchi Jirani Nadhani kuna na namna ya kuchunguzana uraia uende kwa kina zaidi ingawa mimi sijawahi kufika hata Kahama.
 
Back
Top Bottom