Issue ya EFD machines na wafanyabiashara lilimalizwa vipi?

10Shoka14

JF-Expert Member
May 10, 2012
305
122
Hi issue ilisumbua kwa vipindi tofauti kuanzi mwaka 2014-2015 na tukiwa kama jamii tuliguswa pia na matokeo ya mgogoro huo.

Mimi binafsi niliwaelewa walichokuwa wanagomea wafanya biashara wakitetewa na viongozi wao. Namkumbuka Mr. Minja aliwapigania sana wanachama wake. Issue hii ni kama TRA waliweka pamba masikioni mwao na kuendelea na msimamo wao wa kutaka watu watumie machine kama sheria ilivyokuwa inataka.

Kwa upande wa pili wafanyabiashara walikuwa tayari kutumia mashine lakini waliomba ukokotoaji wa kodi ufanyiwe marekebisho kwanza.

Wafanyabiashara walitaka kodi ikakokotolewe kwenye faida itokanayo na bidhaa ama huduma husika na si kutoka kwenye bei ya kuuzia bidhaa ama huduma. Naomba kama wapo wanaofahamu mkwamo huu iliishiaje atujuze na atueleze kama kilio cha wafanyabiashara kilisikilizwa

Wasalaaam..
 
Hi issue ilisumbua kwa vipindi tofauti kuanzi mwaka 2014-2015 na tukiwa kama jamii tuliguswa pia na matokeo ya mgogoro huo.
Mimi binafsi niliwaelewa walichokuwa wanagomea wafanya biashara wakitetewa na viongozi wao. Namkumbuka Mr. Minja aliwapigania sana wanachama wake. Issue hii ni kama TRA waliweka pamba masikioni mwao na kuendelea na msimamo wao wa kutaka watu watumie machine kama sheria ilivyokuwa inataka. Kwa upande wa pili wafanyabiashara walikuwa tayari kutumia mashine lakini waliomba ukokotoaji wa kodi ufanyiwe marekebisho kwanza.
Wafanyabiashara walitaka kodi ikakokotolewe kwenye faida itokanayo na bidhaa ama huduma husika na si kutoka kwenye bei ya kuuzia bidhaa ama huduma. Naomba kama wapo wanaofahamu mkwamo huu iliishiaje atujuze na atueleze kama kilio cha wafanyabiashara kilisikilizwa

Wasalaaam
Hii ilizimwa kwanza kupisha uchaguzi. Ganzi ikiisha maumivu yanaweza yakaanza tena
 
Hii ilizimwa kwanza kupisha uchaguzi. Ganzi ikiisha maumivu yanaweza yakaanza tena
Lakini kwa Mh. Rais JPM labda ufumbuzi utapatakina ila kama itaendelea kama awali basi hapatakuwa na mazingira mazuri kwa upande wa wafanyabiashara.
Wasalaaaam
 
Back
Top Bottom