Msanii utamjua tu sababu siku zote huwa kama bendera, akiona upepo unaelekea kushoto nae kushoto, ukibadilisha uelekeo na kwenda kulia nae ataelekea huko...... hapo ndio inabidi kutafakari nia za dhati za viongozi wetu....Last week kikao cha CC ya CCM, kilichoongozwa na JK, kiliamua kuwa Dowans lazima ilipwe. Jana, kikao cha kamati ya wabunge wa CCM, kilichoongozwa na JK, kiliamua kuwa Dowans isilipwe. Sasa JK yuko upande gani?? Je hii ni dalili ya kuwa JK anashindwa kuendesha vikao?? Je pia ni dalili ya mambo yalivyo shaghalabaghala ndani ya CCM?? Au??
Nawasilisha