supermario
Member
- Dec 2, 2011
- 48
- 15
Wewe bwegge kupiga picha kuna maarifa gani? ni nani aliyekudanganya Michuzi ni muajiliwa wa Ofisi ya Rais?Mkuu matola unaonekana unamaisha magumu sana kutokana na roho mbaya yako, unatoka mapovu kwa wivu unaoitwa wa kike, una uhakika michuzi ni kishoka? Kati ya ww unayesema usiyoyajua na michuzi aliye kazini ktk ofisi ya rais mwehu nani? katafiti ujue ukweli then tafuta namna ingine ya kuwatukana wenzako waliokupita maarifa....
Mwajiliwa wa Ikulu ni Fred Maro, Michuzi ni kishoka, kwani hujui ukishoka sasa hivi ni ajira rasmi mpaka Ikulu?
Ikulu wakishajaa wahuni matokeo yake ndio haya muhuni yeyote yule anaweza kuleta ukishoka wake na akawa kwenye Delegation ya Rais, usitishwe tena na neno Ikulu hadhi ya Taasisi ya Urais Tanzania imeshuka sana na ndio sababu kila mwehu sasa hivi anadhani anweza kuwa Rais.
Pasco atakujuza zaidi.
Wewe bwegge kupiga picha kuna maarifa gani? ni nani aliyekudanganya Michuzi ni muajiliwa wa Ofisi ya Rais?
Hivi michuzi alishaondoka Daily News ama bado yuko huko?
Bongo kila kitu kinawezekana na kwa taarifa yako MICHUZI ndio mkuu mpya wa mkoa MARA. Subiri sherehe ya Muungano ipite utashangaa
Umeona watu wa MARA ni mabwege kuongozwa na mpiga picha?Bongo kila kitu kinawezekana na kwa taarifa yako MICHUZI ndio mkuu mpya wa mkoa MARA. Subiri sherehe ya Muungano ipite utashangaa
Mwajiliwa wa Ikulu ni Fred Maro, Michuzi ni kishoka, kwani hujui ukishoka sasa hivi ni ajira rasmi mpaka Ikulu?
Ikulu wakishajaa wahuni matokeo yake ndio haya muhuni yeyote yule anaweza kuleta ukishoka wake na akawa kwenye Delegation ya Rais, usitishwe tena na neno Ikulu hadhi ya Taasisi ya Urais Tanzania imeshuka sana na ndio sababu kila mwehu sasa hivi anadhani anweza kuwa Rais.
Pasco atakujuza zaidi.
Umeona watu wa MARA ni mabwege kuongozwa na mpiga picha?