Israelis Have To Face The Truth | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Israelis Have To Face The Truth

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Dec 6, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Turkey and Israel should have seen the “big picture” and acted accordingly, instead of watching their ties plummet at a time of turmoil in the Middle East. But both sides have turned the Mavi Marmara incident into a matter of national honor and will not budge from entrenched positions.

  Looking at the “big picture,” though, developments in the region are clearly making life harder for Israel than for Turkey. Unlike Israel, Turkey, after all, is being discussed in the world today as a positive regional influence.

  Meanwhile, Israel has started showing that it is not immune to the negative tendencies it generally attributes to the Arabs. It is not just a Turk saying this either. Abraham Foxman, the chairman of the Anti-Defamation League in the United States, is also worried that Israel’s democracy is “eroding.”
  In an opinion piece for the Huffington Post on Dec. 1, Foxman acknowledged the legitimacy of Israeli concerns, but issued the following warning:

  “When, however, laws are passed that stifle free expression, seek to undermine the independence of the judiciary and, in the name of defending a Jewish state, seek to undermine the rights of Arabs and other minorities, then the very democratic character of the state is being eroded,” he said.
  But it seems it is not just democracy being “eroded” in Israel. U.S. Secretary of State Hillary Clinton was quoted by the Israeli media as telling a forum in Washington recently that she was dismayed over the rise of intrusive and invasive religious fundamentalism in Israel.

  Daily Yediot Aharonot, for example, said Clinton had “described shock at hearing that some buses in Jerusalem were gender-segregated and that some religious Israeli soldiers refused to attend events where women would sing.” Other papers quoted Clinton as saying one expects such things from Iran, not Israel.

  The bottom line is there is a growing awareness in Washington and other Western capitals about what Israel is, and what it is not. French President Nicolas Sarkozy is on record, albeit inadvertently due to a “microphone accident,” as telling President Barack Obama that Prime Minister Benjamin Netanyahu “is a liar.”

  Obama, in turn, is on record due to the same microphone accident in expressing his own frustration in dealing with Netanyahu. Now we have the U.S. Defense Secretary Leon Panetta expressing his deep frustration with Israeli intransigence.

  Addressing a forum in Washington, Panetta, who is expected in Ankara soon, urged Israel to “Just get to the damn table,” saying that “The problem right now is we can’t get ‘em to the damn table, to at least sit down and begin to discuss their differences.” Pointing to Israel’s growing isolation, Panetta urged Israeli officials to reach out to Turkey, Egypt and Jordan.

  Panetta also rejected the idea of a military operation against Iran, no doubt to the annoyance of hard-line Israelis. “A strike could disrupt the already-fragile economies of Europe and the United States, trigger Iranian retaliation against U.S. forces, and ultimately spark a popular backlash in Iran that would bolster its rulers,” he said.

  These are truths which have been obvious for some time, even if some still refused to acknowledge them to due to their pro-Israeli blinkers. These are also truths most Israelis still refuse to accept. The key point, however, is that regional and internal developments do not portend well for Israel, and moderate Israelis must be worried.

  Whether the Israel government will see this and change tack according to the emerging situation in the region remains an open question. What is clear is that not many would put any money on that bet.December/05/2011

  SEM
   
 2. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  this is super true.., netanyahu is a disaster...., bora angebaki tzipi livni...,

  Maamuzi yake mengi ni ya kibabe.., i guess bado ana kisasi na waarabu kwa kumuua kakaake, yonathan(jonathan)
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Benjamin netanyau akiweka hiocho kisasi kichwani mwake atakuwa hana akili Wapalestina wangapi wamekufa itakuwa huyo kaka yake Netanyau? Anachotakiwa Netanyau kuleta Amani na waarabu sio kuleta mambo ya chuki, chuki zake hazitosaidia kitu yaliyopita yamekwisha pita na njia tugange yajayo.
   
 4. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  yap..., mm nlikua namkubali sana livni, alikua moderate, hawa mawaziri wakuu wa kike wa israel walisaidia sana foreign policy ya israel kukubalika na majirani zao..., mfano golda meir, alikua moderate..,

  Ila netanyahu ni disaster, ka alivokua ariel sharon, ubabe tu.

  Ni lazma wakubali kuelewana na neighbours otherwise natural isolation,
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Watakubali kwa lazima ya Mtutu wa bunduki amani haitokuwepo Mashariki ya kati mpaka Palestina wawe na Nchi yao sijuwi itakuwa lini hayo?
   
 6. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  nadhani jamaa akitoka afu wapate mtu moderate, anaweza ku-normalize relation...,

  afu yule dada alipelekea mahusiano mazuri kiasi kwamba turkey alikua ananunua silaha israel,, ila jamaa kuingia kavuruga kila kitu.., si unakumbuka flotela ilipovamiwa na marine commando wa israel wakawaua waturuki on board
   
 7. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,139
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Si ndio poa awapende vipi waarabu au wewe unawapenda? majitu yanayosemekana yanaongoza kwa roho mbaya duniani kama huamini nenda kaishi arabuni ndio utajua.
   
 8. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,139
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Wafikiri amani middle east ni simple kama unavyofikiria?
   
 9. A

  Ame JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Wengine tukiona hizi statement tunaanza kuangalia milima msaada wetu utatoka wapi maana wakati wetu uu karibu sana. Kitabu chetu kinasema Israel itatengwa na dunia nzima nao watapigwa na Yerusalemu kutekwa mpaka robo tatu. Inawezekana hao wanao behave hivyo wako katika ratiba kamili ya Mungu ili neno litimie. Haiwezekani wakatengwa kama watakuwa wana compliance na mataifa mengine ili watengwe lazima wawe wababe.

  Neno linaendelea kusema nao watakapo pigwa na kutekwa ndipo watamkumbuka muumba wao kwa machozi na maombi mengi huku wakimrudia yeye naye atawasikia toka juu kisha atashuka kuwapigania. Na huko ndiko mifereji itafurika kwa damu hata kuteremsha maji yake kwenye bahari zote...

  Ambao bado mwa tanga na njia rudini kundini muda si mrefu mambo yatakuwa si mambo.

  Israel ni kalenda yetu kila tukio linatuhusu na linaashiria majira na wakati.
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Wewe unavyofikiria tupe basi na mawazo yako si kuponda mawazo ya Watu . Lete Mawazo yako je amani itapatikana kivipi huko mashariki ya kati?
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Kitabia Wa Israil na Waarabu kitabia wanafana sana ingawa hawa Wa Israil kidogo wana Afadhali na wana utu kidogo wanao unaweza kufanya nao jambo na Urafiki nao ukafanikiwa.

  Lakini hawakawii kukugeuka ukiwakosea Tatizo uhusiano kati ya Israil na Turkey ulikuwepo muda mwingi sana tangu Enzi ya Rais wa marekani Mr Bill Clinton lakini alipokuja Mzee Bush ndipo uhusiano wa Israil na Uturuki ndipo ulipokuja kuanza kuvurugika kutokana

  na Mzee Bush alikuwa na uhusiano mkubwa na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israil Dikteta Ariel Sharon Siasa ya Mzee Bush na Waziri Mkuu Wa Israil Ariel Sharon zilikuwa Zinafanana Siasa zao zilikuwa ni kuwakandamiza Waarabu ndipo Serikali ya Uturuki ilipochukuwa hatuwa zake kwa nguvu kwenda kuwasaidia

  Wapalestina waliokuwa na njaa huko Gaza kwa nguvu za Waziri mkuu wa Uturuki Mr Rajab Tayib Erdogan. Ndipo Wa Israil walipo ivamia Meli ya Kituruki ya Msaada wa chakula kwa ajili ya watu wa Gaza na kuwauwa Raia wa kituruki waliokuwepo ndani ya hiyo Meli ya msaada. Hapo ndipo Uhusiano kati ya Turkey na Israil ulipoanza kuharibika na kudorora.
   
 12. M

  Masauni JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana wengi mnatoa maoni yenu kwa jinsi mnavyofikiria! yes you are right! Lakini kumbuka Israel ni taifa la Bwana Mungu. Kwa mapenzi yake aliichagua Israel ili kwamba kupitia katika taifa hilo wanadamu wamjue Mungu wa kweli wa Bwana wetu Yesu Kristo.

  Wanafunzi wake wakamuuliza Bwana tuambie ishara ya kurudi kwako na mwisho wa dunia. Yesu akasema mtakapoona taifa la Israel linarudi katika nchi yake tambua mwisho umekaribia .Wayahudi walirudi katika nchi yao Israel ya leo mwaka 1948! baada ya kuwa diaspora for more than 2000 years( kumbuka katika historia wayahudi walifukuzwa katika nchi yao na Ottoman empire 70 AD). Maandiko yanasema watakaporudi katika nchi yao watakaa hakuna nchi itakayowatoa( kumbuka waarabu wamejaribu kuliangamiza taifa la Israel in 1948, 1957, 1967(maarufu kama six day war) na 1974(yom kippur war) katika vita hivyo vyote waarabu walishindwa!! Na cha ajabu katika kila vita Israel ilikuwa inachukua maeneo yaliyokuwa chini ya wapalestina ambayo maeneo hayo waliyakimbia wakati wa Ottoman rule.

  Siku za mwisho zitakapokuwa zikikaribia mataifa yote ya ulimwengu yataichukia Israel na itajikuta hiko peke yake! Mataifa hayo yatadhamilia kenda kuiangamiza Israel kwa kisingizio kuwa ni nchi iliyosababisha matatizo ma conflict duniani na kuwa ni watu wabaya sana. Lakini katika move hiyo divine intervantion from God itaushangaza ulimwengu na mamilioni ya watu wataamini hakika Mungu anawapigania waisrael, watalia mbele za Bwana na kumsujudu wakisema hakika Mungu wa kweli ni Mungu wa Israel. na hapo watu wataokoka na nguvu za shetani. HAKIKA MUNGU ANATUPENDA WANADAMU MPAKA SIKU YA MWISHO KABISA KABLA YA KUANGAMIZA DUNIA BADO MUNGU ANAMTAFUTA MWANADAMU ATUBU.

  NIMEANDIKA KWA UFUPI SANA LAKINI KUNA VERY INTERESTING THINGS KATIKA TAIFA HILO LA BWANA. NIULIZE NITAKUELEZA ZAIDI NA ZAIDI.
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  There is no truth. Israel is correct
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  among all current israel PMs Netanyahu is the best.
  Huyu hana mambo ya kuimbishana na kubembelezana.Iran inamhofia sana.
  Viva Natanyahu !!!!!!!!!! udumu madarakani kama Puttin uwashikishe watu nidhamu
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hata hayo atakayowaletea sasa yatapita kwa hiyo kuweni wavumilivu wakati this son of God akiwashikisha nidhamu
   
Loading...