Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 4,218
- 5,892
Maendeleo gani unategemea kuipata kwa Mwarabu.Tatizoletu waafrika tunawachukia mno waarabu sijui ni kwanini tu!! Ndiyo maana hatupati maendeleo
Maendeleo gani unategemea kuipata kwa Mwarabu.Tatizoletu waafrika tunawachukia mno waarabu sijui ni kwanini tu!! Ndiyo maana hatupati maendeleo
Nchi yoyote inayotumia lugha ya kiarabu ni "waarabu" ndo maana unaambiwa waarabu sio race ila ni watu ambao wana utamaduni mmoja au uliofanana. Wasudan ambao ni weusi na wa Lebanon ambao wapo kama wazungu wote wanaitwa waarabu japo ni race tofauti.Tusaidie kutuelewesha Mwarabu ni nani?
Nchi yoyote inayotumia lugha ya kiarabu ni "waarabu" ndo maana unaambiwa waarabu sio race ila ni watu ambao wana utamaduni mmoja au uliofanana. Wasudan ambao ni weusi na wa Lebanon ambao wapo kama wazungu wote wanaitwa waarabu japo ni race tofauti.
Al bashirSudan ipi ya Waarabu weusi? Sudan ya Albashir au ya Salva Kir.
Maendeleo gani unategemea kuipata kwa Mwarabu.
Maendeleo gani unategemea kuipata kwa Mwarabu.
Chuki zako zitakupeleka pabaya, jirekebishe mkuu,, mbona black wengine hatuko hivyo!!
Ebu nikuulize wewe hapo ulipo unamaendeleo gani umeyapata kwa chuki zako??
Mkuu wewe ni mtu wa village nini!!
Al bashir
Kwani Somalia kuwa taifa la kiarabu kuna tatizo gani? Kama waarabu wote wanaitambua Somalia na sudan na ni wanachama wa arab league wewe unakataa nini? Wewe unawajua waarabu vizuri kuliko wao wenyewe?basi huijui Sudan. basi tukurekebishe kidogo ingawa siku hizi mnapindisha kiaina ili kuficha sijui nini. Mwarabu ni race kama ilivyo Wachina, Wahindi, Waafrika na hata Wazungu. eti siku hizi na Somalia ni taifa la kiaarabu.
upo sahihi. wa village nauliza Mwafrika ategemee kupata maendeleo gani kwa Mwarabu? waarabu walitawala mwambao wa Pwani yaAfrika Mashariki kwa mamia ya miaka kuluko mgeni yeyote yule. wametuachia maendeleo gani?
mimi sina chuki nao. tatizo wewe una mihemko. Mimi nimeuliza maendeleo gani Mwafrika atayapata kutoka kwa Mwarabu. waarabu waliwahi kuutawala Mwambao wa Afrika ya Masharaiki kwa miaka mingi kuliko mgeni yeyote yule. Wametuachia maendeleo gani?
Nenda wikipedia,au google arabisationNa Mhindi, Mchina, Mwafrika na Mzungu pia ni utamaduni?
Wakati stima inawaka unguja,mkwawa alikuwa bado anatambaa...upo sahihi. wa village nauliza Mwafrika ategemee kupata maendeleo gani kwa Mwarabu? waarabu walitawala mwambao wa Pwani yaAfrika Mashariki kwa mamia ya miaka kuluko mgeni yeyote yule. wametuachia maendeleo gani?
Unguja hao wanaotumia umeme wetu bure hadi leo hii na mchele tunapelekea toka bara au wengine. kwa mantiki hiyo si ilitakiwa iwe zaidi ya Dubai na Paris au!Wakati stima inawaka unguja,mkwawa alikuwa bado anatambaa...
Mbona Wamarekani wanatamba kiuchumi kila kukicha na wanawaponda vipya wenzao na kuiba rasilimali za wengine kila leo.Chuki huondosha maendeleo...ulishawahi kuona mtu anamhusudu mwenzie ama ndugu yake na akawa salama??
Kweli,baada ya muungano,ilitakiwa unguja iendelee sana,sijui tatizo niniUnguja hao wanaotumia umeme wetu bure hadi leo hii na mchele tunapelekea toka bara au wengine. kwa mantiki hiyo si ilitakiwa iwe zaidi ya Dubai na Paris au!
Udini unawasumbua nyie! kamwe ukishaingiza kichwa chako chote katika dini huwezi kuona mapungufu wala madhaifu yaliyo. Waarabu ni race kama ilivyo Wachina, wazungu, waafrika , wahindi na kwingineko. Hilo la Arab League umoja wa udini, wamejificha tu huko kwenye lugha. Hata hivyo Somalia wanatumia Kisomali na siyo Kiaarabu. Kiarabu ni nyongeza kama ilivyo Kiingerezakwa huku kwetu.Kwani Somalia kuwa taifa la kiarabu kuna tatizo gani? Kama waarabu wote wanaitambua Somalia na sudan na ni wanachama wa arab league wewe unakataa nini? Wewe unawajua waarabu vizuri kuliko wao wenyewe?