Israeli waanza kuizingira Gaza huku wakipenya ndani ndani

Umesema nchi ya Philistine ilikuwepo toka karne ya 12. Hiyo nchi ya Israel ilikuwepo toka lini? Mwaka 1948 ndio Israel imezaliwa tena kwa kuua watu na kunyanganya ardhi zao.

Palestine will be free whether you like it or not. It's just a matter of time
Wafilisti wengi walimalizwa baada ya jeshi la ufalme wa Israel kutawala eneo Hilo Miaka 1000 kabla ya kristo .
Wachache waliobaki walisambaa Cyprus , Italia, ugiriki , Malta , Lebanon .
Hawa wa sasahivi ni jamii nyingine sio wafilisti .
Na wafilisti eneo Lao la asili ni Gaza na sio maeneo mengine wanayopigania Kama watataka kujiita wafilisti .
 
Back
Top Bottom