Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,152
- 137,147
Umesema kinyume!, Marekani bila waisrael haina lolote. wakiondoa mitaji yao na kufunga ofisi zao zilizoko marekani, marekani itakua kama butu kama urusi. Jeuri yote ya marekani ni waisrael ndio maana wanawaheshimu na kuwaogopa sana
Kuwekeza kwao? Hujafika Tel Aviv wewe Kuna kampeni ya kurejesha jew wote Duniani ili maandiko yatimie na Jerusalem mpya itajengwa huu mgogoro wa makazi ufuatilie fresh hadi ule Msikiti Mkubwa zilipokutwa Nguzo za hekaru la King David litajengwa Tena Maandiko yatatimia na kila atakaye jipendekeza kipinga kwa nguvu za fukufuku la vita atapigwa kichapo na kudhoofika Ni Maandiko tu usiogope Mtume Irani then uje muonea huruma kama Iraq.Sasa kwa nini hao Waisrael wenu wasiwekeze kwao ili kuwe baab kubwa kama kulivyo Marekani?
...................... na unamlaumu Mungu kwa kuifanya nchi yako ya Matumbi jinsi ilivyoo !?No! mimi mmatumbi ila namshukuru sana mungu kwa kuifanya ISRAEL iwe kama ilivyo
i lv u israel.
..................... kumbukumbu zinasema walimuua Mungu hao jamaa ! ................. kuna mwingine?Hata wanasayansi nguli wa RUSSIA na UJERUMAN wana asili ya ISRAEL 'where a true God live'
............... Mwenyezi Mungu amesema hawa jamaa ni mafisadi sana, na ndo maana Dunia inayumba !Nakuelewa sana na jinsi unavyotaka kunibana na hoja yako ila we piga tu box ila ujue jamaa wana-control uchumi
........................ kumbe kila nchi yenye ubalozi na hawa jamaa imebarikiwa eeenh !? sijui kwa vigezo gani ? ............... ngoja nimuulize "Masaburi" wewe umetumia kiungo gani kujenga hii hojaMi nawakubali sana waisrael!, kiburi chao (CCM) kuvunja ubarozi nao (waisrael) kinatuponza (watanzania). laana inatutafuna
MUNGU IBARIKI ISRAEL, MUNGU tuondolee laana hii ya umaskini wa fikra
Israel hawana lolote. Wanasaidiwa na Marekani. Na bila ya Marekani kuna uwezekano mkubwa sana wangekuwa wameshafutwa katika ramani ya dunia.
Mnakapamba tu hako kanchi kwa sababu za kidini. Ni kichekesho kikubwa mtu kudai eti Israel ndiyo super power pekee hapa duniani.
NN am glad at least wewe unaona ukweli huo, hata wa-israel wenyewe wanajua. lakini inaonekana kuwa watu wanadhani Israel inaweza ku-exist bila Marekani. Nasrallah na Ahmedinejad wanaweza ku-iobliterate Israel kama kusingekuwa na msaada wa US na west. Uwezo wa Israel ni mdogo sana kuliko walokole wanavyofikiri.
Kuwekeza kwao? Hujafika Tel Aviv wewe Kuna kampeni ya kurejesha jew wote Duniani ili maandiko yatimie na Jerusalem mpya itajengwa huu mgogoro wa makazi ufuatilie fresh hadi ule Msikiti Mkubwa zilipokutwa Nguzo za hekaru la King David litajengwa Tena Maandiko yatatimia na kila atakaye jipendekeza kipinga kwa nguvu za fukufuku la vita atapigwa kichapo na kudhoofika Ni Maandiko tu usiogope Mtume Irani then uje muonea huruma kama Iraq.
tulia kwanza na Ban lako hahah Pole Ngabu Ushatukana sehemu nini?
anyway tutakukumbuka japo hutochelewa kuja upya na nick Nyingine
NN am glad at least wewe unaona ukweli huo, hata wa-israel wenyewe wanajua. lakini inaonekana kuwa watu wanadhani Israel inaweza ku-exist bila Marekani. Nasrallah na Ahmedinejad wanaweza ku-iobliterate Israel kama kusingekuwa na msaada wa US na west. Uwezo wa Israel ni mdogo sana kuliko walokole wanavyofikiri.
ally kombo....Israel hater, Christian hater and mockerer....well done. But hivi ile vita ya nanihii ambayo Urusi aliwasasidia kufanya cease fire Marekani walichangia kiasi gani?
hapo bolded-nazan tungewauliza waarabu wenyewe juu ya uwezo wa isarel-naamin kwa kua wao ndo majiran wao-wanawafaham vyema,na watatoa jibu sahihiNN am glad at least wewe unaona ukweli huo, hata wa-israel wenyewe wanajua. lakini inaonekana kuwa watu wanadhani Israel inaweza ku-exist bila Marekani. Nasrallah na Ahmedinejad wanaweza ku-iobliterate Israel kama kusingekuwa na msaada wa US na west. Uwezo wa Israel ni mdogo sana kuliko walokole wanavyofikiri.
hapo bolded-nazan tungewauliza waarabu wenyewe juu ya uwezo wa isarel-naamin kwa kua wao ndo majiran wao-wanawafaham vyema,na watatoa jibu sahihi
let see,
kwa nini Marekani wanakuwa 'wema' hivyo kwa Israel?
Naivety is a bad thingKwa sababu ni allies. Hata kwa Uingereza, Marekani ni wema sana. Sema Uingereza wao wanajiweza kiuchumi ndiyo maana hawapokei misaada toka kwa Marekani.
Lol, haya bwanaSasa huo uchumi wanaukontrolia wapi? Si huko huko kwao...wewe nshakustukia wewe. Unataka kunibania ili ufaudu mwenyewe. Sidanganyiki na sasa mimi nakwenda huko Israel tukabanane huko huko. Kwanza kwani huko hakuna box? Kama wao wanaukontroo uchumi basi hata box lao litakuwa baab kubwa. Acha ubanizi bana.