Israeli iko bara gani?

temoin

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2025
Posts
302
Reaction score
658
Hii nchi mbona ni kama haieleweki enyewe.

Israeli iko mashariki ya kati ambayo kiuhalisia ni bara la asia lakini vilabu vyake vinacheza uefa na hata timu yake ya taifa inacheza michuano ya ulaya .

Kwani hii nchi iko bara gani hasa au mimi ndo sielewi
 
Wale ni wazungu wenzao japokua sina imani kua israel kiasili ni wazungu au waarabu.
 
Kama hapa Tanzania iliibuka vita ya waislamu kutaka kuchinja mifugo.

Muislamu akija kwako anataka yeye ndiyo achinje wakati kuku umenunua wewe. Anakuita kafiri na kujiona yeye ni bora kuliko watu wengine😀😀😀

Makanisa yanachomwa moto na viongozi wa dini kumwagiwa tindikali na kuuwawa

Ikifika kipindi cha Christmas na Pasaka masheikh wanatoa video nyingi mitandao kuikashifu sikukuu na kuwataka waislamu wasile😀😀😀

Pale Middle East ni nchi za kiislamu, ili waisrael wabaki salama nchi yao wameipeleka ulaya maana huko hakuna udini na salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…