Israeli Hawajawahi Shindwa!...?

Israeli Hawajawahi Shindwa!...?

eedoh05

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
632
Reaction score
237
I was going to cry when I read this speech from the prime minister of Israel Benjamin Netanyahu, but at the end I say glory to God.

Let's read together

Mr. Nethanyahu said:
Only 70 years ago! The Jews were taken to slaughter like sheep.
> 60 years ago!
> no country. No Army.

Seven Arab countries declared war on the small Jewish state, only a few hours after its creation!
> we were 650 Jews against the rest of the Arab world!

NO IDF (Israel Defense Army).

No powerful air force, only brave people with nowhere to go.
> Lebanon, Syria, Iraq, Jordan, Egypt, Libya, Saudi Arabia
> all attacked at the same time.
> the country that the United Nations gave us was a 65 % desert.
> the country is out of nowhere!

> 35 years ago! We fought the three armies most
> Powerful in the middle east, and we swept them in six days.

We fought against various coalitions of Arab countries, which had modern armies and many Soviet weapons, and we have always beaten them!

Today we have:
> a country,
> an army,
> a powerful air force,
> A State-of-the-Art Economy, which exports millions of dollars.
> Intel - Microsoft - ibm develops products at home.
> our doctors receive awards for medical research.

> we make the desert bloom, and sell oranges, flowers and vegetables all over the world.
> Israel has sent its own satellites into space!
> three satellites at the same time!
> We are proud to be at the same rank as:
> The United States, which has 250 million inhabitants,
> Russia, which has 200 million inhabitants,
> China, which has 1.3 billion inhabitants;
> Europeans - France, Great Britain, Germany - with 350 million inhabitants.

> the only countries in the world to send objects into space!
> Israel is now part of the family of the nuclear powers,
> with the United States, Russia, China, India, France, and
> Great Britain.

> (we have never officially admitted it, but everyone knows it)
> and say that only 60 years ago,
> we were LED, ashamed and hopeless, to slaughter!
> we have extirpés the smoking ruins of Europe,
> we have won our wars here with less than nothing
> we built our little "Empire" from nothing.

Who's Hamas to scare me?
> to terrify me?
> you make me laugh!
> Passover was celebrated;
> Let's not forget what this is about.
> we survived Pharaoh,
> we survived the Greeks,
> we survived the Romans,
> we survived the inquisition in Spain,
> we have the pogroms in Russia,
> we survived Hitler,
> we survived the Germans,
> we survived the Holocaust,
> we survived the armies of seven Arab countries,
> we survived saddam.
> we will survive the enemies present

Think of any time in human history!

Think about it, for us, the Jewish people,
> the situation has never been better!
> then let's face the world,

Let us remember:
> all nations or cultures
> who once tried to destroy us,
> no longer exist today - while we still live!
> Egypt?
> the Greeks?
> Alexander of Macedonia?
> the Romans? (does anyone still speak Latin these days? )
> The Third Reich?
> and look at us,
> The Bible Nation,
> The slaves of Egypt,
> We are still here,

And we speak the same language!
> then, and now!
> Arabs don't know yet,
> but they will learn that there is a God.
> as long as we keep our identity, we are forever.

So forgive us for not worrying,
> not to cry,
> not to be afraid.
> things are fine here.
> they could certainly get better,

However:
> Don't believe the media,
> they don't tell you
> parties continue to take place,
> people continue to live,
> people keep coming out,
> people continue to see friends.

Yes, our morale is low.
> so what?

Only because we mourn our deaths while others rejoice in the blood shed.

> that is why we will win, in the end.

Never sleep or sleep the guardian of Israel! Yahweh God of Abraham, Isaac and Jacob.

Forward this speech to the whole community,
> and to people around the world.
> they are part of our strength

Share on your walls with your friends

Source: C n P somewhere
 
Ukweli ni lazima ukubalike tu.
Hivi kuna jamii yeyote ile duniani ambayo inaweza kuishi zaidi ya miaka 4000 bila kusahau kwao?
Au kuna jamii ambayo imewahi kuchukiwa na jamii nyingine kwa zaidi ya miaka 4000 na ikaishi?

Majibu ni machache sana kuhusu Wayahudi,
1. Wanajua walikotoka. (Asili yao)
2. Wanaheshimu walikotoka.(Kinawafanya wasijisahau hata siku moja)
3. Wanajitambua wao ni wakina nani kwenye dunia hii. (Wanajua nguvu za na madhaifu yao na nafasi yao)
4. Wanajua nini wamekuja kufanya hapa duniani. (Siku zote wanaishi kwa malengo ya nguvu zao)

Hayo hapo juu,
Jamii yoyote ile ikiyafanya inaweza kufika mbali na kutikisa dunia.
Kuna baadhi ya jamii ambazo huwa zinafanikiwa sana hapa duniani, nimezifuatilia kwa muda mrefu nikaja kufahamu kwamba katika hayo mambo tajwa hapo juu walau huwa wanatimiza hata mawili kwa Ufasaha.

Mfano mzuri wa hizo jamii:
1. Wajerumani (Ulaya)
2. Wajapani(Asia)
3. Waethiopia (Africa)
4. Waarabu (Mashariki ya kati)

Hawa nimewafuatilia sana katika maisha yangu na nimekuja kujua kwamba MUNGU hana upendeleo kabisa. Sifa moja ya mwandamu kufanikiwa ni lazima ujitambue wewe ni nani hapa duniani na nafasi yako ni ipi katika dunia hii.

Ndugu zetu Waarabu hawana Utamaduni wa kusoma sana lakini ni kwanini siku zote huwa wanatuajiri sisi wasomi wenye PhD, Masters, Bachelor, Diploma na Certificate? Najua wengi mtasema kwasababu ya Mafuta au Ufisadi labda kwasababu jamii nyingi duniani huwa zina tabia ya kuchukia na kuzionea wivu zile jamii zilizoendelea kupita wao.

Lakini ukweli ni kwamba jamii ya Waarabu wamekuwa matajiri hata kabla ya kugunduliwa kwa mafuta.
Mfano Mzuri tu hapa Pwani ya Afrika Mashariki mtu mwenye historia kubwa ya Utajiri ni SULTAN SEYYID SAID wa Zanzibar na alifanya biashara ya Utumwa, Mazao na Kilimo. Waarabu waliuza na kuwatesa sana mababuz zetu, na walikuwa matajiri kipindi hicho na bado wanaendelea kuwa matajiri kila uchwao.

Jibu ni dogo tu,
Mwanadamu ukishajitambua hata mtu awe na PhD 700 hawezi kukusumbua.
Kwasababu unajua nafasi yako ni ipi hapa duniani na utajua ni nini unatakiwa kufanya.

Hili ndiyo tatizo linalotukumba Waafrika wengi (People with lost Cultural Identities)
Hatujitambui na mwisho wa siku tunashindwa kujua nafasi yetu kwenye hii dunia.
Tunajaribu kuwa WAJAMAA yanatushinda, tunajaribu kuwa MABEPARI ndiyo jinamizi kabisa.
Mwisho wa siku tunakata tamaa na kukufuru MUNGU kwamba Waafrika tulilaaniwa. (MEDIOCRE THOUGHTS)

HAYA TURUDI KWA WAYAHUDI SASA:

Mosi,
Wayahudi ni binadamu kama wewe na mimi tu, hawana ambacho wamekuzidi (AMINI HILI)
Ninachokuambia leo Walokole walio wengi wanadanganywa sana huko makanisani na kuaminishwa kwamba MUNGU MUUMBA wa yote kuna baadhi ya Jamii ALIZIPENDELEA na kuna baadhi ya jamii ALIZILAANI ikiwemo (WAAFRIKA) Hayo ni mafundisho potofu yanayochangia kurudisha nyumba Bara la Afrika.

Kwa kifupi tu, Wayahudi ni watu Wanaojitambua sana huwa hawasahu MAKWAO, itapita misimu yote ya dunia hii lakini msemo wao ni kwamba NYUMBANI NI NYUMBANI:

1. Wamekaa Misri kwenye utumwa kwa zaidi ya miaka 400 ila mwishowe wakarudi mwakwao.
2. Wamekaa BABELI na UMEDI kwenye utumwa kwa zaidi ya miaka 70 wakarudi kwao.
3. Wamekaa Ulaya zaidi ya miaka 1000 lakini wakaanzisha ZIONISM na wamerudi nchini PALESTINA.
4. Wamekaa Afrika kwa zaidi ya miaka 2000 hapo Ethiopia na kuanzia mwaka 1975 wakaanza kurudi kwao.
5. Jamii za Wahindi wa Kochini walienda India miaka kama 2000 iliyopita lakini bado wana tamaduni zao.
6. Jamii za Walemba wa Afrika Kusini na Waigbo wa Nigeria waliozaliana na Wayahudi miaka mingi iliyopita bado wana tamaduni zao.

Sidhani kama kuna jamii ambayo inaweza kufanya hivyo katika dunia hii ya leo.
Naomba nieleweke kwamba mimi sitetei mfumo wa kibaguzi wa KIZAYUNI au UNAZI lakini ukweli kama niuonavyo lazima nitausema kama ulivyo.

Mfano hai kabisa.
Jamii ya watu wenye Asili ya Afrika waliopelekwa UTUMWANI kwenye BARA LA AMERICA walikataa kurudi kabisa makwao kipindi cha "BACK TO AFRICA MOVEMENT" mnamo karne 19 na 20. Mzee Marcus Garvey alifanya kazi lakini akajikuta yuko peke yake. Hata leo hii Wamarekani Weusi wengi ukitoa watu wenye asili ya Kijamaika hawataki kabisa kusikia kuhusu Afrika.
Leo huwezi kwenda kwa mtu kama Michael Jordan ukategemea anajua chochote wala lolote kuhusu Waafrika, mazingira ya kukaa ugenini yamemridhisha tayari.

Hapa Tanzania kuna wale ambao wanabahatika kwenda kusoma, kufanya kazi au kwenda nje ya nchi hata kwa miaka isiyopungua kumi na wanaporudi tu nchini hujiona ni watu wa tofauti kuliko wengine(Kielimu, kiutamduni na Kimtazamo wa dunia). Haya ndiyo Mazingira yenyewe na hapa usitegemee kwamba Jamii ya watu weusi watakuwa na maendeleo za zaidi ya kuishia kumlaumu mzungu tu.

NB: Vipindi vyote Wayahudi wanarudi makwao huwa hakuwi kuzuri kama ambavyo sisi Waafrika tunataka Afrika iwe. Wanakuta nchi yao imeharibiwa na ni magofu (DESOLATION AND RUINS) na wanaanza kujenga upya tokea moja.

Pili,
Wayahudi wanajitambua wao ni wakina nani hapa duniani.
Wanajua asili yao ni ipi na tamaduni zao ni zipi hata wawe wapi na kamwe hawawezi kuhusudu tamaduni za mtu. Hii inawasaidia kukumbuka wao ni wakina nani na kujua ni nani wa kwenda naye njia moja au nani wakutokwenda naye njia moja. Mfano mzuri tu, Ukisoma kitabu cha THE BABYLONIAN TALMUD wayahudi wanafundishwa ubaguzi wa nje nje kabisa dhidi ya watu ambao siyo Wayahudi (Gentiles au Goyi). Wanaambiwa :-
1. Ukitaka kutoa msaada kama kuna mtu wa mataifa na Myahudi, basi anza na Myahudi kwanza.

2. Kama kuna maduka mengi basi tafuta la Myahudi kwanza.
3. Kama kuna omba omba wengi basi Msaidie yule wa Kiyahudi kwanza.
4. Jitahidi kuoa mwanamke wa Kiyahudi ili usitoe Utajiri nje ya jamii. (Hii iko kwa hadi kwa Waarabu )
5. Kama kuna kesi baina ya Wayahudi kamwe Msiruhusu mtu wa nje akaisuluhusha.

Haya yamepelekea Jamii ya Kiyahudi kujikuta wanafika juu bila hata mpinzani yoyote yule.

Matajiri wakubwa hapa duniani wengi ni Wayahudi kwasababu walishazitambua kanuni za utajiri vizazi vingi vimepita. Leo hii mifumo yao ya upelelezi ni mikubwa na ina nguvu kwasababu mle ndani kuna USIRI wa hali ya juu( Nyingine ni Propaganda) na ni ngumu mtu kuwadukua kama siyo MYAHUDI: huwezi kuwa na nafasi za juu kabisa ndani ya MOSSAD, SHINBET au IDF kama wewe siyo MYAHUDI (Hilo Sahau)

Kibaya zaidi Wayahudi wengi hata wakiwa serikalini mwa nchi nyingine ni lazima ujue kwamba yakitokea maslahi ya Israel au Wayahudi duniani kote ni lazima watatunguliza Maslahi yao kwanza. Mfano mzuri Wayahudi walikuwa wanaua Wanajeshi wa Uingereza miaka ya 1938-1948 kushinikiza taifa la ISRAEL liundwe pale PALESTINA. Ikumbukwe kipindi hiki WAZAYUNI na WAINGEREZA walikuwa na mahusiano mazuri sana, hasa baada ya kuwaokoa kutoka mikono ya WANAZI wa UJERUMANI.

Leo weusi tukishahongwa SCHOLARSHIP, WANAWAKE, NOBEL PRIZE na VIPESA kazi kwisha.
Tunauza nchi zetu na kuanza kujenga majumba ya kifahari na kuoa wake wengi (HOVYO KABISA)

Mengi sana yapo kuongelea hii JAMII: Mengine nitayasema kesho kama MUNGU akipenda,
Lakini ukweli ni kwamba KUJITAMBUA ndiyo JAWABU la yote: Wala kujitambua haihitaji uwe na PhD kama ambavyo Tanzania imeingia kwenye shimo la kuamini hivyo.
Ni lazima ujue nafasi yako kwenye hii dunia.

Consigliere, MSEZA MKULU, Bukyanagandi, Red Giant, mtembea kwa miguu, UncleBen
 
I was going to cry when I read this speech from the prime minister of Israel Benjamin Netanyahu, but at the end I say glory to God.

Let's read together

Mr. Nethanyahu said:
Only 70 years ago! The Jews were taken to slaughter like sheep.
> 60 years ago!
> no country. No Army.

Seven Arab countries declared war on the small Jewish state, only a few hours after its creation!
> we were 650 Jews against the rest of the Arab world!

NO IDF (Israel Defense Army).

No powerful air force, only brave people with nowhere to go.
> Lebanon, Syria, Iraq, Jordan, Egypt, Libya, Saudi Arabia
> all attacked at the same time.
> the country that the United Nations gave us was a 65 % desert.
> the country is out of nowhere!

> 35 years ago! We fought the three armies most
> Powerful in the middle east, and we swept them in six days.

We fought against various coalitions of Arab countries, which had modern armies and many Soviet weapons, and we have always beaten them!

Today we have:
> a country,
> an army,
> a powerful air force,
> A State-of-the-Art Economy, which exports millions of dollars.
> Intel - Microsoft - ibm develops products at home.
> our doctors receive awards for medical research.

> we make the desert bloom, and sell oranges, flowers and vegetables all over the world.
> Israel has sent its own satellites into space!
> three satellites at the same time!
> We are proud to be at the same rank as:
> The United States, which has 250 million inhabitants,
> Russia, which has 200 million inhabitants,
> China, which has 1.3 billion inhabitants;
> Europeans - France, Great Britain, Germany - with 350 million inhabitants.

> the only countries in the world to send objects into space!
> Israel is now part of the family of the nuclear powers,
> with the United States, Russia, China, India, France, and
> Great Britain.

> (we have never officially admitted it, but everyone knows it)
> and say that only 60 years ago,
> we were LED, ashamed and hopeless, to slaughter!
> we have extirpés the smoking ruins of Europe,
> we have won our wars here with less than nothing
> we built our little "Empire" from nothing.

Who's Hamas to scare me?
> to terrify me?
> you make me laugh!
> Passover was celebrated;
> Let's not forget what this is about.
> we survived Pharaoh,
> we survived the Greeks,
> we survived the Romans,
> we survived the inquisition in Spain,
> we have the pogroms in Russia,
> we survived Hitler,
> we survived the Germans,
> we survived the Holocaust,
> we survived the armies of seven Arab countries,
> we survived saddam.
> we will survive the enemies present

Think of any time in human history!

Think about it, for us, the Jewish people,
> the situation has never been better!
> then let's face the world,

Let us remember:
> all nations or cultures
> who once tried to destroy us,
> no longer exist today - while we still live!
> Egypt?
> the Greeks?
> Alexander of Macedonia?
> the Romans? (does anyone still speak Latin these days? )
> The Third Reich?
> and look at us,
> The Bible Nation,
> The slaves of Egypt,
> We are still here,

And we speak the same language!
> then, and now!
> Arabs don't know yet,
> but they will learn that there is a God.
> as long as we keep our identity, we are forever.

So forgive us for not worrying,
> not to cry,
> not to be afraid.
> things are fine here.
> they could certainly get better,

However:
> Don't believe the media,
> they don't tell you
> parties continue to take place,
> people continue to live,
> people keep coming out,
> people continue to see friends.

Yes, our morale is low.
> so what?

Only because we mourn our deaths while others rejoice in the blood shed.

> that is why we will win, in the end.

Never sleep or sleep the guardian of Israel! Yahweh God of Abraham, Isaac and Jacob.

Forward this speech to the whole community,
> and to people around the world.
> they are part of our strength

Share on your walls with your friends

Source: C n P somewhere
Duuuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said mkuu.
Points well presented.
And Lesson well learned.

From your point of view nini maana halisi ya KUJITAMBUA?

Maisha ya mwanadamu yana maswali matano tu:
1. Mimi ni nani?
2. Mimi nimetokea wapi?
3. Kwanini nipo hapa?
4. Nini natakiwa kukifanya pindi nipo hapa naishi na kwa malengo yapi?
5. Mwisho wangu ni upi, naelekea wapi?

Haya Maswali yapo tangu kuanza kwa huu ulimwengu.
Waliofanikiwa kuyajibu ni wachache sana na walipoweza kuyajibu (The World Trembled)
Walijitambua na wakaishi maisha yenye maana (LIFE WITH A PURPOSE)

Somo la Baiolojia linatufundisha kwamba Mwanadamu ni kiumbe hai kama walivyo wengine:-
1. Anazaliana (Reproduction and Procreation)
2. Anatembea (Movement)
3. Anakua na kuendelea (Growth and Development)
4. Wanaishi kutokana na Mazingira (Respond to Stimuli)
5. Mwili wake umeundwa kwa chembe-chembe ndogo sana (Cellular Build Up)
6. Anaendana na mazingira (Adaptation)

Lakini kuwa Kiumbe hai ni jambo moja na kuwa Mwanadamu ni jambo jingine kabisa.
Sifa kuu ambayo hatuwafundishi watoto zetu mashuleni ni kwamba maisha ya mwandamu ni lazima yawe na LENGO : Hili ndilo linatufanya sisi tuwe tofauti na wanyama, ndiyo maana wengi hufa wakiwa na MAJUTO sana na wanasahaulika pindi tu msiba unapoisha. (Ni kiumbe hai lakini siyo mwanadamu kwasababu tu ameshindwa KUJITAMBUA) Lakini wengine huendelea kuishi hata pindi wakizikwa. (Purpose lives on)

NB: Wanafalsafa kama SOCRATES waliweza kuyajibu hayo maswali ya juu (WALIJITAMBUA) ndiyo maana hata watu wa ATHENE walivyomwadhibu afe alichukua sumu akanywa mwenyewe akafa huku anazungumza na wafuasi wake. (Death and Fear becomes meaningless at this point of Self-Discovery)

Find your own answers and BECOME A HUMAN BEING.!!!!
 
Ukweli ni lazima ukubalike tu.
Hivi kuna jamii yeyote ile duniani ambayo inaweza kuishi zaidi ya miaka 4000 bila kusahau kwao?
Au kuna jamii ambayo imewahi kuchukiwa na jamii nyingine kwa zaidi ya miaka 4000 na ikaishi?

Majibu ni machache sana kuhusu Wayahudi,
1. Wanajua walikotoka. (Asili yao)
2. Wanaheshimu walikotoka.(Kinawafanya wasijisahau hata siku moja)
3. Wanajitambua wao ni wakina nani kwenye dunia hii. (Wanajua nguvu za na madhaifu yao na nafasi yao)
4. Wanajua nini wamekuja kufanya hapa duniani. (Siku zote wanaishi kwa malengo ya nguvu zao)

Hayo hapo juu,
Jamii yoyote ile ikiyafanya inaweza kufika mbali na kutikisa dunia.
Kuna baadhi ya jamii ambazo huwa zinafanikiwa sana hapa duniani, nimezifuatilia kwa muda mrefu nikaja kufahamu kwamba katika hayo mambo tajwa hapo juu walau huwa wanatimiza hata mawili kwa Ufasaha.

Mfano mzuri wa hizo jamii:
1. Wajerumani (Ulaya)
2. Wajapani(Asia)
3. Waethiopia (Africa)
4. Waarabu (Mashariki ya kati)

Hawa nimewafuatilia sana katika maisha yangu na nimekuja kujua kwamba MUNGU hana upendeleo kabisa. Sifa moja ya mwandamu kufanikiwa ni lazima ujitambue wewe ni nani hapa duniani na nafasi yako ni ipi katika dunia hii.

Ndugu zetu Waarabu hawana Utamaduni wa kusoma sana lakini ni kwanini siku zote huwa wanatuajiri sisi wasomi wenye PhD, Masters, Bachelor, Diploma na Certificate? Najua wengi mtasema kwasababu ya Mafuta au Ufisadi labda kwasababu jamii nyingi duniani huwa zina tabia ya kuchukia na kuzionea wivu zile jamii zilizoendelea kupita wao.

Lakini ukweli ni kwamba jamii ya Waarabu wamekuwa matajiri hata kabla ya kugunduliwa kwa mafuta.
Mfano Mzuri tu hapa Pwani ya Afrika Mashariki mtu mwenye historia kubwa ya Utajiri ni SULTAN SEYYID SAID wa Zanzibar na alifanya biashara ya Utumwa, Mazao na Kilimo. Waarabu waliuza na kuwatesa sana mababuz zetu, na walikuwa matajiri kipindi hicho na bado wanaendelea kuwa matajiri kila uchwao.

Jibu ni dogo tu,
Mwanadamu ukishajitambua hata mtu awe na PhD 700 hawezi kukusumbua.
Kwasababu unajua nafasi yako ni ipi hapa duniani na utajua ni nini unatakiwa kufanya.

Hili ndiyo tatizo linalotukumba Waafrika wengi (People with lost Cultural Identities)
Hatujitambui na mwisho wa siku tunashindwa kujua nafasi yetu kwenye hii dunia.
Tunajaribu kuwa WAJAMAA yanatushinda, tunajaribu kuwa MABEPARI ndiyo jinamizi kabisa.
Mwisho wa siku tunakata tamaa na kukufuru MUNGU kwamba Waafrika tulilaaniwa. (MEDIOCRE THOUGHTS)

HAYA TURUDI KWA WAYAHUDI SASA:

Mosi,
Wayahudi ni binadamu kama wewe na mimi tu, hawana ambacho wamekuzidi (AMINI HILI)
Ninachokuambia leo Walokole walio wengi wanadanganywa sana huko makanisani na kuaminishwa kwamba MUNGU MUUMBA wa yote kuna baadhi ya Jamii ALIZIPENDELEA na kuna baadhi ya jamii ALIZILAANI ikiwemo (WAAFRIKA) Hayo ni mafundisho potofu yanayochangia kurudisha nyumba Bara la Afrika.

Kwa kifupi tu, Wayahudi ni watu Wanaojitambua sana huwa hawasahu MAKWAO, itapita misimu yote ya dunia hii lakini msemo wao ni kwamba NYUMBANI NI NYUMBANI:

1. Wamekaa Misri kwenye utumwa kwa zaidi ya miaka 400 ila mwishowe wakarudi mwakwao.
2. Wamekaa BABELI na UMEDI kwenye utumwa kwa zaidi ya miaka 70 wakarudi kwao.
3. Wamekaa Ulaya zaidi ya miaka 1000 lakini wakaanzisha ZIONISM na wamerudi nchini PALESTINA.
4. Wamekaa Afrika kwa zaidi ya miaka 2000 hapo Ethiopia na kuanzia mwaka 1975 wakaanza kurudi kwao.
5. Jamii za Wahindi wa Kochini walienda India miaka kama 2000 iliyopita lakini bado wana tamaduni zao.
6. Jamii za Walemba wa Afrika Kusini na Waigbo wa Nigeria waliozaliana na Wayahudi miaka mingi iliyopita bado wana tamaduni zao.

Sidhani kama kuna jamii ambayo inaweza kufanya hivyo katika dunia hii ya leo.
Naomba nieleweke kwamba mimi sitetei mfumo wa kibaguzi wa KIZAYUNI au UNAZI lakini ukweli kama niuonavyo lazima nitausema kama ulivyo.

Mfano hai kabisa.
Jamii ya watu wenye Asili ya Afrika waliopelekwa UTUMWANI kwenye BARA LA AMERICA walikataa kurudi kabisa makwao kipindi cha "BACK TO AFRICA MOVEMENT" mnamo karne 19 na 20. Mzee Marcus Garvey alifanya kazi lakini akajikuta yuko peke yake. Hata leo hii Wamarekani Weusi wengi ukitoa watu wenye asili ya Kijamaika hawataki kabisa kusikia kuhusu Afrika.
Leo huwezi kwenda kwa mtu kama Michael Jordan ukategemea anajua chochote wala lolote kuhusu Waafrika, mazingira ya kukaa ugenini yamemridhisha tayari.

Hapa Tanzania kuna wale ambao wanabahatika kwenda kusoma, kufanya kazi au kwenda nje ya nchi hata kwa miaka isiyopungua kumi na wanaporudi tu nchini hujiona ni watu wa tofauti kuliko wengine(Kielimu, kiutamduni na Kimtazamo wa dunia). Haya ndiyo Mazingira yenyewe na hapa usitegemee kwamba Jamii ya watu weusi watakuwa na maendeleo za zaidi ya kuishia kumlaumu mzungu tu.

NB: Vipindi vyote Wayahudi wanarudi makwao huwa hakuwi kuzuri kama ambavyo sisi Waafrika tunataka Afrika iwe. Wanakuta nchi yao imeharibiwa na ni magofu (DESOLATION AND RUINS) na wanaanza kujenga upya tokea moja.

Pili,
Wayahudi wanajitambua wao ni wakina nani hapa duniani.
Wanajua asili yao ni ipi na tamaduni zao ni zipi hata wewe na kamwe hawawezi kuhusudu tamaduni za mtu. Hii inawasaidia kukumbuka wao ni wakina nani na kujua ni nani wa kwenda naye njia moja au nani wakutokwenda naye njia moja. Mfano mzuri tu, Ukisoma kitabu cha THE BABYLONIAN TALMUD wayahudi wanafundishwa ubaguzi wa nje nje kabisa dhidi ya watu ambao siyo Wayahudi (Gentiles au Goyi). Wanaambiwa :-
1. Ukitaka kutoa msaada kama kuna mtu wa mataifa na Myahudi, basi anza na Myahudi kwanza.

2. Kama kuna maduka mengi basi tafuta la Myahudi kwanza.
3. Kama kuna omba omba wengi basi Msaidie yule wa Kiyahudi kwanza.
4. Jitahidi kuoa mwanamke wa Kiyahudi ili usitoe Utajiri nje ya jamii. (Hii iko kwa hadi kwa Waarabu )
5. Kama kuna kesi baina ya Wayahudi kamwe Msiruhusu mtu wa nje akaisuluhusha.

Haya yamepelekea Jamii ya Kiyahudi kujikuta wanafika juu bila hata mpinzani yoyote yule.

Matajiri wakubwa hapa duniani wengi ni Wayahudi kwasababu walishazitambua kanuni za utajiri vizazi vingi vimepita. Leo hii mifumo yao ya upelelezi ni mikubwa kwasababu mle ndani kuna USIRI wa hali ya juu, na ni ngumu mtu kuwadukua kama siyo MYAHUDI: huwezi kuwa na nafasi za juu kabisa ndani ya MOSSAD, SHINBET au IDF kama wewe siyo MYAHUDI (Hilo Sahau)

Kibaya zaidi Wayahudi wengi hata wakiwa serikalini mwa nchi nyingine ni lazima ujue kwamba yakitokea maslahi ya Israel au Wayahudi duniani kote ni lazima watatunguliza Maslahi yao kwanza. Mfano mzuri Wayahudi walikuwa wanaua Wanajeshi wa Uingereza miaka ya 1938-1948 kushinikiza taifa la ISRAEL liundwe pale PALESTINA. Ikumbukwe kipindi hiki WAZAYUNI na WAINGEREZA walikuwa na mahusiano mazuri sana, hasa baada ya kuwaokoa kutoka mikono ya WANAZI wa UJERUMANI.

Leo weusi tukishahongwa SCHOLARSHIP, WANAWAKE, NOBEL PRIZE na VIPESA kazi kwisha.
Tunauza nchi zetu na kuanza kujenga majumba ya kifahari na kuoa wake wengi (HOVYO KABISA)

Mengi sana yapo kuongelea hii JAMII: Mengine nitayasema kesho kama MUNGU akipenda,
Lakini ukweli ni kwamba KUJITAMBUA ndiyo JAWABU la yote: Wala kujitambua haihitaji uwe na PhD kama ambavyo Tanzania imeingia kwenye shimo la kuamini hivyo.
Ni lazima ujue nafasi yako kwenye hii dunia.
Nimependa sana maelezo yako. Ni mazuri sana tena sana.

Lakini naomba ufafanuzi pia kwa faida ya Watanzania wengine.

Je ni sababu zipi zinazotufanya sisi Wafrika tushindwe kujitambua sawa sawa na hao uliowataja?

Au ni kwa sababu tunapenda kuwa hivyo tulivyo, ili tuonewe, tubagiliwe, tunyonywe na tuupuzwe?
Kama kweli tunapenda haya, naomba sababu inyotufanya tuwe kama tulivyo.
 
NB: Wanafalsafa kama SOCRATES waliweza kuyajibu hayo maswali ya juu (WALIJITAMBUA) ndiyo maana hata watu wa ATHENE walivyomwdhibu afe alichukua sumu akanywa mwenyewe akafa huku anazungumza na wafuasi wake. (Death and Fear becomes meaningless at this point of Self-Discovery)

Find your own answers and BECOME A HUMAN BEING.!!!!
Mkuu, samahani sana, somo lako ni tamu sana, Mimi binafsi napenda kujua zaidi na majua unayo mengi ya kutufundisha hapa.

Lakini baado swali langu;
Je ni nini kinachofanya sisi tushindwe kufanya hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa sana maelezo yako. Ni mazuri sana tena sana.

Lakini naomba ufafanuzi pia kwa faida ya Watanzania wengine.

Je ni sababu zipi zinazotufanya sisi Wafrika tushindwe kujitambua sawa sawa na hao uliowataja?

Au ni kwa sababu tunapenda kuwa hivyo tulivyo, ili tuonewe, tubagiliwe, tunyonywe na tuupuzwe?

Kama kweli tunapenda haya, naomba sababu inyotufanya tuwe kama tulivyo.
Ndugu kuna vitu ambavyo vinamfanya mwanadamu kuwa kiumbe bora kuliko viumbe wengine wote vitu hvyo viwili vinatoka kwa Mungu kitu kimoja kinatoka au kupatikana hapa duniani vitu vitatu vinatokana na Nature tu ya dunia na jamii vitu hvyo ni
1 Akili
2 Utashi
3 Maarifa au ufahamu

Akili na Utashi vinatoka kwa Mungu wakati Maarifa au Ufahamu unapatikana hapa duniani aidha bure au kwa gharama
Tukija kwenye vitu vinavyomtambulisha mwanadamu ambapo mkuu Malcom Lumumba alikuwa anachambua binadamu tunatofautiswa na
1Tamaduni
2 Asili
3 Rangi ya ngozi
Katika jamii zote nne za binadamu ambazo ni

1 Caucasian races(Europeans)
2 Mongolian races (Chinese , Koreans, Japanese )
3 Semitic races (Arabs Indian Jewish)
4 Negroid races(all blacks people)
Jamii zote hizo kitu ambacho Malcom Lumumba alikuwa anazungumzia vyote vinaingia katika category tatu tu ambazo ni
1 Tamaduni
2 Utashi
3 Asili
Ni jamii mbili tu ndizo ambazo zimefanikiwa kudhibiti vitu hvyo vitatu na ndizo jamii zinazikwenda kutawala dunia miaka ijayo jamii hizo ni
1 Mongolian races (Chinese , Koreans, Japanese )
2 Semitic races (Arabs Indian Jewish)
Hakuna kitu chenye nguvu kama kulinda tamaduni na asili yenu hapo ndipo ambapo waafrica tulipotea na ndicho kitu kinachotutesa mpaka sasa na ndicho kinatufanya tuwe watumwa wa kiakili baada ya utumwa wa kimwili(ukoloni) kuondoka miaka ya 1950-1980
Tumekuwa watumwa wa tamaduni za wenzetu na asili za wenzetu hakuna kiumbe yeyote aliyefanikiwa kwa kutumia idea au akili na mawazo ya mwenzie na walichokifanya jamii za wenzetu baada tu ya kuingia Africa ni kuhakikisha wanamaliza tamaduni zetu then mengine yatakufa nyenyewe kwani tamaduni ndio pathway ya vitu vyote ikiwemo asili, ufahamu,maarifa kasoro akili tu kwani akili zinatoka kwa Mungu mwenyewe ndio maana hakuna sehemu zinapopatikana akili zaidi ya matibabu ya akili wenzetu wamebaki na tamaduni zao na kwenye tamaduni ndipo unakutana na miko na misingi ya kufanya vitu vyote sisi kwa vile hatuna tamaduni kwa maana tupo busy kuiga tamaduni za wenzetu na kuziacha zetu kwa kasi ya 4G hapo ndipo tunajiingiza kwenye utumwa mbaya kabisa wa akili kwani utumwa wa akili utakuwa nao mpaka unakufa ni bora utumwa wa mwili mwisho wake ni siku unapata uhuru tu
Ukiwa mtumwa wa akili unakuwa uwezi kufanya chochote zaidi ya kumtegemea yule unayetumia akili yake kuishi yani kifupi waafrica ni kama mtu aliyeuziwa Iphone lakini anatumia apple id ya aliyemuuzia so uzima wa iphone yako unategemea hisani ya aliyekuuzia siku akireport tu icloud ndio mwisho wa ww kutumia hiyo Iphone

Kaka Izzo nimefurahi sana kukusoma ndugu yangu: It is always a Blessing to read your posts.

Happy Nane-Nane mkuu.
 
Ukweli ni lazima ukubalike tu.
Hivi kuna jamii yeyote ile duniani ambayo inaweza kuishi zaidi ya miaka 4000 bila kusahau kwao?
Au kuna jamii ambayo imewahi kuchukiwa na jamii nyingine kwa zaidi ya miaka 4000 na ikaishi?

Majibu ni machache sana kuhusu Wayahudi,
1. Wanajua walikotoka. (Asili yao)
2. Wanaheshimu walikotoka.(Kinawafanya wasijisahau hata siku moja)
3. Wanajitambua wao ni wakina nani kwenye dunia hii. (Wanajua nguvu za na madhaifu yao na nafasi yao)
4. Wanajua nini wamekuja kufanya hapa duniani. (Siku zote wanaishi kwa malengo ya nguvu zao)

Hayo hapo juu,
Jamii yoyote ile ikiyafanya inaweza kufika mbali na kutikisa dunia.
Kuna baadhi ya jamii ambazo huwa zinafanikiwa sana hapa duniani, nimezifuatilia kwa muda mrefu nikaja kufahamu kwamba katika hayo mambo tajwa hapo juu walau huwa wanatimiza hata mawili kwa Ufasaha.

Mfano mzuri wa hizo jamii:
1. Wajerumani (Ulaya)
2. Wajapani(Asia)
3. Waethiopia (Africa)
4. Waarabu (Mashariki ya kati)

Hawa nimewafuatilia sana katika maisha yangu na nimekuja kujua kwamba MUNGU hana upendeleo kabisa. Sifa moja ya mwandamu kufanikiwa ni lazima ujitambue wewe ni nani hapa duniani na nafasi yako ni ipi katika dunia hii.

Ndugu zetu Waarabu hawana Utamaduni wa kusoma sana lakini ni kwanini siku zote huwa wanatuajiri sisi wasomi wenye PhD, Masters, Bachelor, Diploma na Certificate? Najua wengi mtasema kwasababu ya Mafuta au Ufisadi labda kwasababu jamii nyingi duniani huwa zina tabia ya kuchukia na kuzionea wivu zile jamii zilizoendelea kupita wao.

Lakini ukweli ni kwamba jamii ya Waarabu wamekuwa matajiri hata kabla ya kugunduliwa kwa mafuta.
Mfano Mzuri tu hapa Pwani ya Afrika Mashariki mtu mwenye historia kubwa ya Utajiri ni SULTAN SEYYID SAID wa Zanzibar na alifanya biashara ya Utumwa, Mazao na Kilimo. Waarabu waliuza na kuwatesa sana mababuz zetu, na walikuwa matajiri kipindi hicho na bado wanaendelea kuwa matajiri kila uchwao.

Jibu ni dogo tu,
Mwanadamu ukishajitambua hata mtu awe na PhD 700 hawezi kukusumbua.
Kwasababu unajua nafasi yako ni ipi hapa duniani na utajua ni nini unatakiwa kufanya.

Hili ndiyo tatizo linalotukumba Waafrika wengi (People with lost Cultural Identities)
Hatujitambui na mwisho wa siku tunashindwa kujua nafasi yetu kwenye hii dunia.
Tunajaribu kuwa WAJAMAA yanatushinda, tunajaribu kuwa MABEPARI ndiyo jinamizi kabisa.
Mwisho wa siku tunakata tamaa na kukufuru MUNGU kwamba Waafrika tulilaaniwa. (MEDIOCRE THOUGHTS)

HAYA TURUDI KWA WAYAHUDI SASA:

Mosi,
Wayahudi ni binadamu kama wewe na mimi tu, hawana ambacho wamekuzidi (AMINI HILI)
Ninachokuambia leo Walokole walio wengi wanadanganywa sana huko makanisani na kuaminishwa kwamba MUNGU MUUMBA wa yote kuna baadhi ya Jamii ALIZIPENDELEA na kuna baadhi ya jamii ALIZILAANI ikiwemo (WAAFRIKA) Hayo ni mafundisho potofu yanayochangia kurudisha nyumba Bara la Afrika.

Kwa kifupi tu, Wayahudi ni watu Wanaojitambua sana huwa hawasahu MAKWAO, itapita misimu yote ya dunia hii lakini msemo wao ni kwamba NYUMBANI NI NYUMBANI:

1. Wamekaa Misri kwenye utumwa kwa zaidi ya miaka 400 ila mwishowe wakarudi mwakwao.
2. Wamekaa BABELI na UMEDI kwenye utumwa kwa zaidi ya miaka 70 wakarudi kwao.
3. Wamekaa Ulaya zaidi ya miaka 1000 lakini wakaanzisha ZIONISM na wamerudi nchini PALESTINA.
4. Wamekaa Afrika kwa zaidi ya miaka 2000 hapo Ethiopia na kuanzia mwaka 1975 wakaanza kurudi kwao.
5. Jamii za Wahindi wa Kochini walienda India miaka kama 2000 iliyopita lakini bado wana tamaduni zao.
6. Jamii za Walemba wa Afrika Kusini na Waigbo wa Nigeria waliozaliana na Wayahudi miaka mingi iliyopita bado wana tamaduni zao.

Sidhani kama kuna jamii ambayo inaweza kufanya hivyo katika dunia hii ya leo.
Naomba nieleweke kwamba mimi sitetei mfumo wa kibaguzi wa KIZAYUNI au UNAZI lakini ukweli kama niuonavyo lazima nitausema kama ulivyo.

Mfano hai kabisa.
Jamii ya watu wenye Asili ya Afrika waliopelekwa UTUMWANI kwenye BARA LA AMERICA walikataa kurudi kabisa makwao kipindi cha "BACK TO AFRICA MOVEMENT" mnamo karne 19 na 20. Mzee Marcus Garvey alifanya kazi lakini akajikuta yuko peke yake. Hata leo hii Wamarekani Weusi wengi ukitoa watu wenye asili ya Kijamaika hawataki kabisa kusikia kuhusu Afrika.
Leo huwezi kwenda kwa mtu kama Michael Jordan ukategemea anajua chochote wala lolote kuhusu Waafrika, mazingira ya kukaa ugenini yamemridhisha tayari.

Hapa Tanzania kuna wale ambao wanabahatika kwenda kusoma, kufanya kazi au kwenda nje ya nchi hata kwa miaka isiyopungua kumi na wanaporudi tu nchini hujiona ni watu wa tofauti kuliko wengine(Kielimu, kiutamduni na Kimtazamo wa dunia). Haya ndiyo Mazingira yenyewe na hapa usitegemee kwamba Jamii ya watu weusi watakuwa na maendeleo za zaidi ya kuishia kumlaumu mzungu tu.

NB: Vipindi vyote Wayahudi wanarudi makwao huwa hakuwi kuzuri kama ambavyo sisi Waafrika tunataka Afrika iwe. Wanakuta nchi yao imeharibiwa na ni magofu (DESOLATION AND RUINS) na wanaanza kujenga upya tokea moja.

Pili,
Wayahudi wanajitambua wao ni wakina nani hapa duniani.
Wanajua asili yao ni ipi na tamaduni zao ni zipi hata wewe na kamwe hawawezi kuhusudu tamaduni za mtu. Hii inawasaidia kukumbuka wao ni wakina nani na kujua ni nani wa kwenda naye njia moja au nani wakutokwenda naye njia moja. Mfano mzuri tu, Ukisoma kitabu cha THE BABYLONIAN TALMUD wayahudi wanafundishwa ubaguzi wa nje nje kabisa dhidi ya watu ambao siyo Wayahudi (Gentiles au Goyi). Wanaambiwa :-
1. Ukitaka kutoa msaada kama kuna mtu wa mataifa na Myahudi, basi anza na Myahudi kwanza.

2. Kama kuna maduka mengi basi tafuta la Myahudi kwanza.
3. Kama kuna omba omba wengi basi Msaidie yule wa Kiyahudi kwanza.
4. Jitahidi kuoa mwanamke wa Kiyahudi ili usitoe Utajiri nje ya jamii. (Hii iko kwa hadi kwa Waarabu )
5. Kama kuna kesi baina ya Wayahudi kamwe Msiruhusu mtu wa nje akaisuluhusha.

Haya yamepelekea Jamii ya Kiyahudi kujikuta wanafika juu bila hata mpinzani yoyote yule.

Matajiri wakubwa hapa duniani wengi ni Wayahudi kwasababu walishazitambua kanuni za utajiri vizazi vingi vimepita. Leo hii mifumo yao ya upelelezi ni mikubwa kwasababu mle ndani kuna USIRI wa hali ya juu, na ni ngumu mtu kuwadukua kama siyo MYAHUDI: huwezi kuwa na nafasi za juu kabisa ndani ya MOSSAD, SHINBET au IDF kama wewe siyo MYAHUDI (Hilo Sahau)

Kibaya zaidi Wayahudi wengi hata wakiwa serikalini mwa nchi nyingine ni lazima ujue kwamba yakitokea maslahi ya Israel au Wayahudi duniani kote ni lazima watatunguliza Maslahi yao kwanza. Mfano mzuri Wayahudi walikuwa wanaua Wanajeshi wa Uingereza miaka ya 1938-1948 kushinikiza taifa la ISRAEL liundwe pale PALESTINA. Ikumbukwe kipindi hiki WAZAYUNI na WAINGEREZA walikuwa na mahusiano mazuri sana, hasa baada ya kuwaokoa kutoka mikono ya WANAZI wa UJERUMANI.

Leo weusi tukishahongwa SCHOLARSHIP, WANAWAKE, NOBEL PRIZE na VIPESA kazi kwisha.
Tunauza nchi zetu na kuanza kujenga majumba ya kifahari na kuoa wake wengi (HOVYO KABISA)

Mengi sana yapo kuongelea hii JAMII: Mengine nitayasema kesho kama MUNGU akipenda,
Lakini ukweli ni kwamba KUJITAMBUA ndiyo JAWABU la yote: Wala kujitambua haihitaji uwe na PhD kama ambavyo Tanzania imeingia kwenye shimo la kuamini hivyo.
Ni lazima ujue nafasi yako kwenye hii dunia.

Consigliere, MSEZA MKULU, Bukyanagandi, Red Giant, mtembea kwa miguu,
Agreed and I fully support the above analysis and approach. God bless u na akupe nguvu na uwezo wa kuzidi kutujuza mambo yenye maufaa kwa sisis wana JF. Keep it up!
 
mk
Maisha ya mwanadamu yana maswali matano tu:
1. Mimi ni nani?
2. Mimi nimetokea wapi?
3. Kwanini nipo hapa?
4. Nini natakiwa kukifanya pindi nipo hapa naishi na kwa malengo yapi?
5. Mwisho wangu ni upi, naelekea wapi?

Haya Maswali yapo tangu kuanza kwa huu ulimwengu.
Waliofanikiwa kuyajibu ni wachache sana na walipoweza kuyajibu (The World Trembled)
Walijitambua na wakaishi maisha yenye maana (LIFE WITH A PURPOSE)

Somo la Baiolojia linatufundisha kwamba Mwanadamu ni kiumbe hai kama walivyo wengine:-
1. Anazaliana (Reproduction and Procreation)
2. Anatembea (Movement)
3. Anakua na kuendelea (Growth and Development)
4. Wanaishi kutokana na Mazingira (Respond to Stimuli)
5. Mwili wake umeundwa kwa chembe-chembe ndogo sana (Cellular Build Up)
6. Anaendana na mazingira (Adaptation)

Lakini kuwa Kiumbe hai ni jambo moja na kuwa Mwanadamu ni jambo jingine kabisa.
Sifa kuu ambayo hatuwafundishi watoto zetu mashuleni ni kwamba maisha ya mwandamu ni lazima yawe na LENGO : Hili ndilo linatufanya sisi tuwe tofauti na wanyama, ndiyo maana wengi hufa wakiwa na MAJUTO sana na wanasahaulika pindi tu msiba unapoisha. (Ni kiumbe hai lakini siyo mwanadamu kwasababu tu ameshindwa KUJITAMBUA) Lakini wengine huendelea kuishi hata pindi wakizikwa. (Purpose lives on)

NB: Wanafalsafa kama SOCRATES waliweza kuyajibu hayo maswali ya juu (WALIJITAMBUA) ndiyo maana hata watu wa ATHENE walivyomwadhibu afe alichukua sumu akanywa mwenyewe akafa huku anazungumza na wafuasi wake. (Death and Fear becomes meaningless at this point of Self-Discovery)

Find your own answers and BECOME A HUMAN BEING.!!!!
mkuu kuna madini ya thamani sana umeniongezea kwenye ubongo wng..
shukrani sana...
 
Kushindana na Jews na Waarabu ni sawa na kushindana na Torah na Quran kwa vitabu vyako vya Mabala na Ngoswe....Jiulize ni mamilioni ya dola ngapi yanaenda Macca na Jerusalem kwa kuhiji tu? Achilia mbali Oil and Gas.....Aliepewa kapewa na zaidi yupo governed kwa vitabu vyao takatifu nini wafanye na wasipofanya wataangamia....
 
Back
Top Bottom