Juzi wamewalipulia handaki lao mbona hawajajibu kituIsrael wajiandae kwa kipigo toka hizbullah
Cha msingi thibitisha, kweli au si Kweli badala ya kukununulia kwa iron dome"Syria na lingine eneo wazi nchini Israel.. Jeshi la ulinzi la Israel haikuyatungua hayo makombora baada ya kuyapigia hesabu na kuona hayana madhara"
Huwa ni waongo sana nyie iron dome inafeli mnadai eti walipiga mahesabu mkawadanganye wajinga wenzenu
No kama wewe unavyoshabikia upande wa piliMleta habari ni mshabiki wa Israel. Mihemuko na upambe wa kijinga
Sasa Iran anamshidwa ISRAEL atamuweza mrusi? Hahahahaha so sadKuna maswali makuu mawili (2) ya kujiuliza kuhusiana na hili la 'S-300 SAM System'. Je hii mitambo ya S-300 ipo 'Active' au imewashwa na ipo tayari kuyakabili mapambano? (Combat Ready), na kama ipo 'Active', Je! huu ukimya wake mbona unaleta mashaka-mashaka? Kulikoni, Je hizi S-300 ni 'Dummies' ama ni 'Vinyago Vya Bei Mbaya!'.
Well, inavyoonekana, hiyo 'S-300 SAM System' pale Syria ipo 'Kimaslahi Zaidi' na hata Syria wenyewe lazima wapate kibali ama idhini kutoka Moscow ili iwe 'Activated' laa sivyo wanabaki tu kuwa 'Watazamaji' ingawa tayari kuna baadhi ya mitambo (Batteries) ilikwisha kuwashwa (Activated) kwa mujibu wa picha za 'Satellite' zilizopigwa mwezi February mwaka huu ingawa mashambulizi yamekuwa yakiendelea 'Kama Kawa' tena yakifanywa na ndege kama 'F-16' ambazo ni 'Non-Stealthy, Fourth Generation' huku 'Maafisa' wa Syria wakidai kuwa bado 'Wanatesti Mitambo'. Kulikoni!
Pia, inaonekana kuna 'Dili' kati ya Ndugu Putin na 'Swahiba Wake' Netanyahu kuhusiana na hizi 'Piga Nikupige' ambazo Israeli amekuwa akizifanya pande hizo kitu ambacho kimewafanya Irani waanze kuipa 'Makavu Laivu' Urusi kuwa huenda wanahusika kwa namna moja ama nyingine kwenye mashambulizi ya Israeli katika 'Assets' zao ikionekana kuwa kuna kama kamchezo mchezo wanakafanya hawa Warusi kama kale kamchezo ka 'Zima-Washa' kanakofanywa na Mashirika ya 'Nishati' kule pande za 'Sub-Sahara'.
Akili huwa zinaisha vipi?Is that a threat or umekosa cha kuongea? Mtu akileta news ndio anakuwa mshabiki? Au hupendi news kama hizo... nenda kaanze tena shule akili zako zinaweza kuwa zimekuisha possibly
Hivi wewe akili yako Israel anaweza kupigana na Iran? Ikiwa baba yake alisogea karibu na bahari la Iran kwa mbwembwe nyingi kafyata mkia. Pili lini iliwahi kutokea Israel kawapiga Hazbullah na Hazbullah hawakujibu? Tuliza ball kama ni kweli basi revange ipo tu. Hazbullah ni vidume wale umesahau labda Haifa na baada baada ya Haifaa.Juzi wamewalipulia handaki lao mbona hawajajibu kitu
https://www.google.com/amp/s/www.ti...flagship-attack-tunnel-after-studying-it/amp/
Na hiio kambi ya jeshi iliyolipuliwa kuna Hezbollah pamoja na wairan lkn hawatathubutu kujibu mashambulizi
Zamani humu jf nilikuwa najua waaojiunga humu ni magreat thinker ila nikajagundua wengi ni mapopoyo hivyo kuwa makini unapokuwa unareply quote ya mtu unajianika akili zako na watu watakuchukulia ndivyo ulivyoAkili huwa zinaisha vipi?