Israel yasitisha kichapo cha mbwa mwizi

Israel yasitisha kichapo cha mbwa mwizi

Status
Not open for further replies.

buluwaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
207
Reaction score
45
Shalom, shalom! Leo ni siku ya wagalatia wote kufurahi kwa kweli.

Vita imesitishwa Gaza, lakini cha mtema kuni kuna mtu kakiona pale. sasa kabla haujasoma makala hii hapa chini kwanza soma sehemu hii katika kitabu cha Yoshua, 5:13 hadi Yoshua 6:27 kwenye Agano la Kale.

As Israel withdraws troops from Gaza, a dilemma for Hamas

Its popularity waning, the terror group is faced with a choice: perpetrate a large attack or slide into a long-term ceasefire

BY AVI ISSACHAROFF August 3, 2014, 12:16 pm

The IDF will most likely complete its redeployment along the Gaza border Sunday, after concluding the process of neutralizing the Hamas tunnels extending toward Israel. The IDF will not withdraw entirely from Gaza, but it will leave the populated areas and keep troops deployed in a narrow area inside the Palestinian territory.

This decision gives Hamas a certain legitimacy in the eyes of the Palestinian public to continue attacking the Israeli troops. But eventually, the IDF will pull out of those areas as well and then the organization will face a difficult dilemma – what should it do now?

On the one hand, the Gazan public is pressing Hamas more every day to hold its fire. The destruction in the Gaza Strip is unprecedented. This refers not only to the 1,700 Palestinians killed (including hundreds of gunmen) and more than 9,000 injured, but also to the inconceivable damage: the thousands of homes destroyed, the power cuts, the dearth of drinkable tap water, the hundreds of thousands of displaced. All these have made Gaza a place of great distress, desperate for a few days of quiet and rehabilitation.

Therefore, an IDF withdrawal from the entire Gaza Strip will harm Hamas’s legitimacy in the eyes of the Gazan public to continue the rocket fire and attacks. It’s possible the organization will be satisfied, in such a case, with firing a few rockets and releasing victory statements, and to transition bit by bit into an undeclared long-term ceasefire.

On the other hand, a total cessation of fighting at this stage without having achieved an agreement that includes the lifting of the blockade on the Strip would be perceived as a defeat for Hamas. At the start of the operation, the organization’s military wing presented six demands for a ceasefire: the release of the prisoners freed during the 2011 swap for IDF soldier Gilad Shalit and recently rearrested in the West Bank, the establishment of a port, the expansion the fishing zone, opening the Rafah crossing into Egypt, opening the crossings into Israel, and the payment of Hamas salaries.

Slowly, the demands eased, and the head of Hamas’s military wing, Mohammed Deif, said last week that the organization wouldn’t agree to a ceasefire unless “the aggression ceases and the blockade is lifted.” These two demands are vague, but it was interesting to note that Deif didn’t mention the prisoner releases or the establishment of a port. And if this round of hostilities concludes without Israel or Egypt agreeing to accept even one of the organization’s demands, Hamas will be humiliated.

The Palestinian public, which now seeks quiet, will ask itself why the organization drove Gaza to ruin for no reason, with no results to show for its efforts. Hamas is aware of this, and is therefore likely to be tempted to do two things: first, fire more rockets so long as it can, despite the inevitable Israeli response; and second, to continue attempts to carry out significant attacks, mainly through tunnels that may have been left untouched, to render empty the Israeli assurances about finishing the tunnel demolitions. But an attack of that degree is likely to draw a very harsh response, perhaps even a renewed ground offensive — and once again, the Gazan public will pay the price.

The war in Gaza, and to a great extent the brutal killing of three Israeli teenagers in the West Bank weeks earlier, are part of one overarching theme: the campaign to save Hamas. The organization initiated the abduction and killing of the three, as well as the escalation in Gaza, to prevent its economic downfall in the Strip and to preserve its relevance in Gaza and the West Bank. These actions are born of the crisis in which the organization found itself, due to Egypt shuttering the tunnels into Gaza, its loss of popularity among Palestinians, and its agreement to reconcile with Fatah, which led to the salary crisis. But as the end of the IDF’s ground offensive draws near, it’s doubtful whether there is a solution to these problems. Even the public support that Hamas gained from launching the attack on Israel will wear away with time as the IDF completes its withdrawal from the Strip.

Source: As Israel withdraws troops from Gaza, a dilemma for Hamas | The Times of Israel
 
unashadadia ujinga,yaani mike tyson akipanda ulingoni na rashidi matumla utashangilia ushindi wa mike tyson?ukifanya hivyo kila mwenye akili timamu atakuona una matatizo ktk makalio yako,Hamas wameua takriban askari sabini wa israel,hilo jambo la kubeza?
 
hapo mjinga atakuwa matumla kutangaza vita na tyson. hujafikiri sawasawa tu hata wewe. nani aliyewatuma hamas kuanza vita na israel? hivi kweli umewahi kusikia wapi paka anaanza vita na chui? kilichotokea na liwe somo sasa.
 
Sio sabini mkuu. Hamas wamethibitisha idf waliowauwa ni zaidi ya 100. Pamoja na wale makomandoo waliuingia mtego wa kujaribu kupenya kwenye tunnel tahamaki ana kwa ana na hamas ndani ya tunnel makomandoo wote 10 wa isareli wakafyekwa
 
...aaah !wanafanyanini sasa ? kwani maadui wameisha..? mbona bado wanachonga...?
 
Dah! Anashangilia kabisa eeh, no problem cheka sasa hvi lakini baaden utalia
 
Hii michezo ya vita ni ya kushabikia ikiwa huko mbali yakifika mlangoni kwako ndio utajua ubaya wake.
 
Parts of Jordan were parts of Ancient Israel, and now is is part of Jordan, so who stole land from who? Muslim land is MUCH BIGGER 99% of the Middle East and now Muslims are taking over Northern Africa.

And Israel has always tried to give the land back in exchange for peace, as it did when it voluntarily returned the Sinai Peninsula – which is bigger than Israel itself – back to the Egyptians who had tried to attack them from the Sinai, and likewise, they gave the Gaza Strip back to the Palestinians who had attacked them – from the Gaza strip.

Since then, thousands – thousands! -- of rockets and mortars have been fired into Israel from schoolyards and orphanages and hospitals in -- Gaza.

How many rockets and mortars would you allow to fall on your house by neighbors that have been swearing to kill you for 65 years? How many times will someone keep hitting you before you hit back?
The Palestinians daily call for the Jews to be driven into the sea. The Jews have one of the most sophisticated militaries in the world. They could drive the Palestinians into the sea any time they wanted to. They don't.

The instant that Hamas or Hezbollah get their hands on a nuclear weapon, they will do with it what they do every day with their rocks and mortars and missiles. They will use it. On Israel. The Israelis have an estimated 500 nuclear weapons and could destroy the Arabs any time they chose. They don't.
 
Dah! Anashangilia kabisa eeh, no problem cheka sasa hvi lakini baaden utalia
u n

wewe lazima utakuwa shehe tu kutoka ile dini ya kutisha watu na kuua. hivi katika kiarabu wanalo neno amani? najua neno upendo hawana kabisa. amani wanalo? spelingi yake ipoje kwa kiarabu neno amani? V.I.T.A....si ndo hiyo? nyinyi dawa yenu ni israeli tu.
 
Resistance itaendelea hata akibaki mpalestine mmoja.
Mayahudi na wazayuni wanajifurahisha kuua watoto na ma Goyim ya kibongo nayo yafurahia mauaji ya waislam.
Lakini kuvunjwa tunnels za sasa sio mara ya kwanza sasa wanaume watachimba tunnels nyingi zaidi mpaka ndani ya israel kwenye nuclear zao hapo utajua ya kunyoa.
Miaka 10 iliyipita hamas hawakua na missiles sasa wanazo japo ni hafifu.
Sasa wataziamarisha zaidi .Tech wanayo na inshaalah walowezi walohamia palestine kwa kuhongwa na coca cola wataikimbia wenyewe subiri time will tell
Na nyatanyau amechizika tayari damu imemtapakaa atamfats sharon kufa hafi kunya hanyi inshaalah kwa uweza wake Allah
 
unashadadia ujinga,yaani mike tyson akipanda ulingoni na rashidi matumla utashangilia ushindi wa mike tyson?ukifanya hivyo kila mwenye akili timamu atakuona una matatizo ktk makalio yako,Hamas wameua takriban askari sabini wa israel,hilo jambo la kubeza?

Kwa hiyo Hamas ndio Matumula kwa akili yako? Wanajua hata kama upo unaishi na wewe na unatokwa povu hapa JF kwa ajili yao? Na wewe ni yale yale tu!
 
Resistance itaendelea hata akibaki mpalestine mmoja.
Mayahudi na wazayuni wanajifurahisha kuua watoto na ma Goyim ya kibongo nayo yafurahia mauaji ya waislam.
Lakini kuvunjwa tunnels za sasa sio mara ya kwanza sasa wanaume watachimba tunnels nyingi zaidi mpaka ndani ya israel kwenye nuclear zao hapo utajua ya kunyoa.
Miaka 10 iliyipita hamas hawakua na missiles sasa wanazo japo ni hafifu.
Sasa wataziamarisha zaidi .Tech wanayo na inshaalah walowezi walohamia palestine kwa kuhongwa na coca cola wataikimbia wenyewe subiri time will tell
Na nyatanyau amechizika tayari damu imemtapakaa atamfats sharon kufa hafi kunya hanyi inshaalah kwa uweza wake Allah
Kwa hiyo Arafat yupo hai siyo? Si alikuwa anapigania haki za Wapalestina? Linapokuja swala la kifo usijitoe ufahamu kufikiri!
 
Sio sabini mkuu. Hamas wamethibitisha idf waliowauwa ni zaidi ya 100. Pamoja na wale makomandoo waliuingia mtego wa kujaribu kupenya kwenye tunnel tahamaki ana kwa ana na hamas ndani ya tunnel makomandoo wote 10 wa isareli wakafyekwa

Habari za Gaza mkuu? Umerudi lini kutoka frontline?
 
Vita haijasitishwa wanachofanya ni kuondoa majeshi yao ya ardhini toka gaza na hii ni baada ya kupoteza askari karibu 63 ,mashambulizi ya anga yataendelea.ila pia kuanzia saa nne asubuhi watasitisha mashambulizi kwa masaa 7(humantarian ceasefire).kuruhusu watu kurestock mahitaji.
Kwamaana ingine wamekinai kuua watu wanatafuta jinsi ya kumaliza vita hii,kwahiyo iwapo hamas wataholdfire itakua ndo mwanzo wa ceasefire.
Hamas nao wanasema iwapo israel wataamua kuacha vita unilateral then wao hawahusiki na maamuzi hayo.
 
[video=facebook;828114293878109]https://www.facebook.com/photo.php?v=828114293878109&set=vb.125249070831305&type=2&theater[/video]
Wakubali tu wameshindwa, ngojea uone kama Natanyahu atabaki kuwa Nyau sasa.

The countdown to the end of Netanyahu's premiership has begun

Â-Advertisement
 
Duh! yaani hata sielewi humu kwenye uzi huu kinachoendelea, ngoja niache tu. Maana kuna udini tu unaendelea na matusi juu, haya bana mnaojua endeleeni.......

Ngoja nikamalizie proposal yangu ya ku register dini ya waafrika inayoitwa NYEREREISM. Na mtume wetu atakuwa nyerere.
 
Miaka 10 iliyopita hapakuwa IRON-DOM vita ijayo Israel itakuwa na Super IRON-DOM Inshaalah hiyo itawafanya waarabu wasujudu kabisa.

Back
Top Bottom