Gomez Luna
Senior Member
- Mar 13, 2017
- 187
- 205
Warusi ni wasanii tu.Sasa acha Iran nayo ijitoe ufahamu kwamba inashambulia Israel kwa msaada wa urusi watanyolewa bila maji.Kwanza makombora ya Iran hayana madhara yeyote mpaka sasa ndio yanatumiwa na Hezbullar na Hamasi kushambulia Israel ,na hayajafanikiwa chochote.Yanadakwa na irone dome!Kwani zile Radar za Syria hazifanyi kazi hadi F 15 ziruke na kupiga tanks?
Yaani we acha tu... Me nawaonea huruma sana hao raia wa Syria maana wao ndo wanateseka wakat huyo Assad yupo kwenye kiyoyoz.Hii vita inazidi kuongezeka wanachama
Hahahaah.... Et kunyolewa bila majiWarusi ni wasanii tu.Sasa acha Iran nayo ijitoe ufahamu kwamba inashambulia Israel kwa msaada wa urusi watanyolewa bila maji.Kwanza makombora ya Iran hayana madhara yeyote mpaka sasa ndio yanatumiwa na Hezbullar na Hamasi kushambulia Israel ,na hayajafanikiwa chochote.Yanadakwa na irone dome!
Mikwara lukuki, wanachonga mdomo vitisho kila siku, wenzao wanawangonga kidogo kidogo.Warusi pumbafu tu
Mkuu wale wafuga ndevu na wavaa sendo naona umewachoma hapaIsrael huwa haichokozi ila ikichokozwa madhara yake kwa adui huwa ni makubwa. Thamani ya myahudi mmoja ni makumi ya mafilisti na waarabu wenzie. Jamaa katulia kwake kwa upumbavu wenu mnampelekea maroketi mkipigwa mnaanza kulialia kutafuta huruma za kijinga.
Iran Asijaribu kabisaaa kumpiga Israel, ataleta shida nyingine hapo mashariki ya katiWarusi ni wasanii tu.Sasa acha Iran nayo ijitoe ufahamu kwamba inashambulia Israel kwa msaada wa urusi watanyolewa bila maji.Kwanza makombora ya Iran hayana madhara yeyote mpaka sasa ndio yanatumiwa na Hezbullar na Hamasi kushambulia Israel ,na hayajafanikiwa chochote.Yanadakwa na irone dome!
Asad hatauliwa, maana kuwepo kwake madarakani kwa hali hii kuna surport nchi yake syria kuwa battle ground ya no man's force, no man's enemy.Mikwara lukuki, wanachonga mdomo vitisho kila siku, wenzao wanawangonga kidogo kidogo.
Sasa hata asadi ataingiwa na woga.
Nikweli, watu wanapata sababu ya kupimana uwezo kiaina.Asad hatauliwa, maana kuwepo kwake madarakani kwa hali hii kuna surport nchi yake syria kuwa battle ground ya no man's force, no man's enemy.
Tuacheni udini jaman ..tafadhal.tuheshimu dini za wengineMkuu wale wafuga ndevu na wavaa sendo naona umewachoma hapa
Aseee hatar .yaan sasa imekuwa ndio uwanja wa vita ya ulimwengu..Ila urusi nae si wa kumuamini mikwara mingi lakin action sion sanaIla Syria ina roho ngumu mno