Israel yashambulia mahasimu wake wawili

Israel yashambulia mahasimu wake wawili

leo Wairan hawapo??? wangesema AGUSE TEHRAN aone!!!
 
Israel anashambuliaga sehemu zisizo na makazi ya watu,siku nyingine anashambulia magodown na akimaliza hapo anasema amepiga kambi za wa-iran huko Syria,so tumeshamzoea.
Kumbe, basi nawashauri nyie mshambulie Israel,mpige maeneo ya watu, Halafu mkae msubirie matamko ...
 
Mpango wa Mungu ni Israeli kuidhibiti Iran lakini ule wa ibilisi ni kinyume kwa hiyo Iran ataumia tu hata ajipatie silaha za atomiki
 
Shambulieni kwanza Iran ili mpate majibu kamili.
Iran kesha pigwa sana pale Syria ila ana keep up appearances ! Halafu kwa chuki aliyonayo kwa mayahudi na kujiamini si awashambulie.Tumechoka na porojo za oh iran ana silahs kali oh Israel anasaidiwa na marekani oh Iran hivi. Kumbuka Israel siyo Emarati au Saudia Israel ni super power anayebisha awachokoze kidogo tu ,!
Maalim kimsboy anasemaje kuhusu hili shambulio la aibu?!
 
Iran kesha pigwa sana pale Syria ila ana keep up appearances ! Halafu kwa chuki aliyonayo kwa mayahudi na kujiamini si awashambulie.Tumechoka na porojo za oh iran ana silahs kali oh Israel anasaidiwa na marekani oh Iran hivi. Kumbuka Israel siyo Emarati au Saudia Israel ni super power anayebisha awachokoze kidogo tu ,!
Sema Suuuuuuu ni-wataarifu hezibollah wa-activate war mode uone shughuli yake.
 
Concept ya waisrael kusema pale ni kwao haina mashiko kabisa kwa yeyote asiyeamini katika Bibalia. Lakini najua habari hizi zimeandikwa hata katika kurhani.

hapo ndio iran anapokesea kulazimisha issue ya israel kuwa ni ya kiimani.
Hivi mkuu hao wayaudi nchi yao ya asili ni wapi?.
Mbona unaandika kana kwamba walidondoka kutoka juu!!
Ninachojua mimi ni kwamba hao jamaa(Jew's & Palestinians) wote asili yao ni hapo middle east.

Inabidi wakae wayamalize tu, Kila mmoja akubali uwepo wa mwanzake pale.
 
okay, basi wakubali waingie makubaliano ya mipaka na israel,wawaachie hayo maeneo waliyochukua kwa nguvu ili wajikite kwenye maisha mengine

hiyo aggresiveness ya iran itawapa tabu sana wakazi wa lebanon, wala haitowasaidia kitu.
Ikitokea full war hapo Gaza, USA,UK,France wote watakuwa upande wa Israel.

Vita ikikolea zaidi mpaka Russia ataingia upande wa Israel, sielewi hao waarabu hawaelewi nini juu ya hii kitu.
lebanon kuna HEZBULLAH,ni shia,hao ni iran damu,ingawa hawaiwezi israel,ila mziki wao si wa kitoto..
 
Back
Top Bottom