Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Jeshi la Israel limefanya mashambulizi nchini Syria na kusababisha uharibifu mkubwa katika kambi 2 za Iran nchini Syria, na baada ya masaa mawili jeshi hilo la Israel likafanya mashambulizi mengine huko Lebanon kisha wakakaa kimyaa wakisubiri matamko.
Kiufupi Lebanon haipaswi kushambuliwa Ila Iran lazima ilipuliwe.
Kiufupi Lebanon haipaswi kushambuliwa Ila Iran lazima ilipuliwe.