Israel yasema Mateka waliokuwa wanashikiliwa na Hamas Wote wamekufa!

waarab sio watu wa aman popote walipo angalia hata hapo Sudan vita ilikuwa ile ile kugombea enek , waarab wanajiona wao ty hawajali uwepo wa watu weusi ndan ya Sudan
Hii vita si ya kidini. Na haikuanza Oct 7 kama mnavyo haminishwa wewe endelea kusema waarabu hata wewe mtu weusi Kuna haki ya kuishi ngoja Hao wakubwa wapate sababu ya wewe kutokuwepo hapo ulipo utafurai na kizazi chako. Saa nyingi Acheni kushangilia vitu bila kujua kumbe ha wewe pia victim
 
Waarabu ni wabaguzi, actually hawa wa Africa hawataki kuitwa waafrika, ni hivyo geographic dermacations ziliwaingiza hku. Wao wanataka ramani ya africa ibadilishwe wawekwe Middle east
Umeshakutana na wayahudi au unaongea unachokijua. Kama hauna ubinadanu fanya siri usifanye kila mtu ajue
 
Utakuwa wa ukoo wa Mudy
Angalia ulvyo kuwa mbaguzi. Unachokiandika explains who you are. Hata nikueleza Maisha yako yote huwezi kuelewa. Dini, kabila, Ukanda, jinsia au kitu chochote kinachotofautisha si binadamu sio sababu ya sisi kukosa haki. Hujajua tu bado wewe pia ni victim endelea na hiyo dini yako yakikufika utaona kama kuwa dini au kabila itakusaidia. Kama binadamu usipendelee chuki
 
Hii Ndio Taarifa ya huzuni kabisa iliyotangazwa na BBC hivi punde

Imefafanuliwa zaidi kwamba waliokufa ni Mateka 31 Kati ya wale wanaoshikiliwa na siyo wote
Hali ni mbaya Mashariki ya Kati

Tuzidi kumuombea Waziri Blinken wa USA
Wamekufa au wamewaua? Lkn kuna rundo wa majeshi ya Isreal wametekwa. Au hao sio mateka?
 
Waarabu ni wabaguzi, actually hawa wa Africa hawataki kuitwa waafrika, ni hivyo geographic dermacations ziliwaingiza hku. Wao wanataka ramani ya africa ibadilishwe wawekwe Middle east
Wazungu wamembaka bibi yako umeona sawa kwa sababu wakiristo wenzako. Waarabu hata huko kwenu moshi hawajafika unasema wabaguzi
 
Hii vita si ya kidini. Na haikuanza Oct 7 kama mnavyo haminishwa wewe endelea kusema waarabu hata wewe mtu weusi Kuna haki ya kuishi ngoja Hao wakubwa wapate sababu ya wewe kutokuwepo hapo ulipo utafurai na kizazi chako. Saa nyingi Acheni kushangilia vitu bila kujua kumbe ha wewe pia victim
Hiyo ni vita ya kidini kabisa kati ya waislamu wa kiarabu na wayahudi wa Israel
 
waarab sio watu wa aman popote walipo angalia hata hapo Sudan vita ilikuwa ile ile kugombea enek , waarab wanajiona wao ty hawajali uwepo wa watu weusi ndan ya Sudan
Kupoteza mwelekeo.Tunaongea mashariki ya kati wewe unaongelea mambo ya sudan
 
Kama mateka wamekufa wote sasa hamna sababu yoyote ya kusitisha mapigo, ndio kete iliyokua inatumika na HAMAS ya kuomba Israel wasitishe mapigo, sasa hivi ni kupiga mabomu kwa kwenda mbele.
Nilimuambia Bwana Utam kwamba wameua hao mateka wote akanibishia.
 
waarab ndo ttzo , waarab mpk ss wanaish kwa amani ndan ya Israel ila kwenye jamii za kiarab watu wa asili nyingine hawawez ishi kwa amani achilia mbali wayaudi
Mtu yeyote anayehangaika kumlazimisha mwingine kufuata tamaduni zake ni tatizo na ndio wanaoshindwa kuishi na wengine. Ulishawahi kusikia watu wa imani nyingine wanapigwa marufuku kula wakati wa mfungo wa Ramadhani? Hili ni tatizo!
 
Wazungu wamembaka bibi yako umeona sawa kwa sababu wakiristo wenzako. Waarabu hata huko kwenu moshi hawajafika unasema wabaguzi
matusi ya nini sasa. Walimbaka mama yako! takataka kama nyinyi ni kuzi block/ignore
 
Wayahudi wafurushwe hapo Mashariki ya kati

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kasome Six war days ndiyo utajua Israel ni taifa la Mungu.
Hao jamii za waarabu wangekuwa wema msingewakimbiza Zanzibar😁😁😁😁 Siku mkiwapa ardhi yao waarabu Zanzibar na nyie mkabaki watumwa wa waarabu na neno la Zanzibar revolution likafutwa kwenye historia na hivyo hivyo Israel haitakuwepo.
Gharama ya myahudi 1 ni sawa na wapelestina 10 kwahiyo mjiandae kuandamana tena Israel anaua watoto na wanawake.
Huyo ndiyo yule mnayemsoma kwenye Quran kuna malaika mtoa roho anaitwa Izrael😀😀😀😀
 
Wayahudi wafurushwe hapo Mashariki ya kati

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kasome Six war days ndiyo hicho ulichoandika ni ndoto.
Hao jamii za waarabu wangekuwa wema msingewakimbiza Zanzibar😁😁😁😁 Siku mkiwapa ardhi yao waarabu Zanzibar na nyie mkabaki watumwa wa waarabu na neno la Zanzibar revolution likafutwa kwenye historia na hivyo hivyo Israel haitakuwepo.
Gharama ya myahudi 1 ni sawa na wapelestina 10 kwahiyo mjiandae kuandamana tena Israel anaua watoto na wanawake.
Huyo ndiyo yule mnayemsoma kwenye Quran kuna malaika mtoa roho anaitwa Izrael😀😀😀😀
 
Angalia ulvyo kuwa mbaguzi. Unachokiandika explains who you are. Hata nikueleza Maisha yako yote huwezi kuelewa. Dini, kabila, Ukanda, jinsia au kitu chochote kinachotofautisha si binadamu sio sababu ya sisi kukosa haki. Hujajua tu bado wewe pia ni victim endelea na hiyo dini yako yakikufika utaona kama kuwa dini au kabila itakusaidia. Kama binadamu usipendelee chuki
Madrasa mnafundishwa hate philosophy! bahati nzuri namlea mtoto wa ndugu yangu ambaye ni mudi. Ukimhoji leo mmefundishwa nini atakwambia hate stories kwa wasio wa dini yake, msikini yeye hajui...! very sad na nimemwambia mama /baba yake amtoe huko anajengewa kitu kibaya maishani.....wame mute maana na wao ni illiterate na elimu waliyo nayo ni hiyo ya madrasa!

Mimi siyo mtumwa wa dini, never, it has never been my philosophy! Siamini uwepo wa Mungu and therefore dini has got no influence on my life to choose who is to be a friend!
 
Back
Top Bottom