Israel yapeleka mifumo ya ulinzi Cyprus!!!

Israel yapeleka mifumo ya ulinzi Cyprus!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
7,429
Reaction score
6,513
Kuna habari za uhakika Israel imepeleka Mifumo ya ulinzi wa anga na kuisimika huko na haijajulikana vizuri nini maana yake!!

IMG_4567.jpeg
 
Hii itakuwa ni sababu nzuri ya Uturuki kusogeza majeshi yake kwenye Cyprus iliyoko upande wa Turkey
ye asogeze tu ila baadaye msje anza free turkey wanauawa wanawake na watoto, myahudi siyo kichaa ukiona ivyo ujue shughuri wameshakamilisha anaviziwa huyo turkey ajae halafu uone show.
 
Natamani kuona mtanange kati ya turkey na mzayuni
 
Turkey anamzid Israel kijeshi na hapo USA vs Turkey
Israel anazid jichanganya hapa atazungukwa na maadui
kwan israel sku zote kazungukwa na marafiki? Raman ya pale mashariki ya kati unaijua vema kweli ww makobazi hao hao majiran zake walishajpanga kumfyeka kumtoa hapo na walichemka huyo turkey unaupmaje uwezo wake kijesh kumzd myahudi vita ya karne hii ni tech tu.
 
Back
Top Bottom