Asante sana mkuu, huu ni ushahidi wa wazi na funzo kwa mashoga na vibaraka wao wanaowatetea hapa JF.
Weka videoNetanyahu akisikia mngurumo wa ndege tu juu anakimbilia shimoni kama panya. Anahisi ni kombora la Iran linakuja πππ
Nasikia na Israel leo kajibu mashambuliziShambulio la Iran limeacha athari kubwa na kitisho cha hali ya juu kwa mashoga ya Israeli.
Leo Israeli imepiga ndan ya Irani, vipi taalifa unayo?Sio tu imekufa kibudu, bali haipo kabisa. We unafikiri Netanyahu na mashoga wenzake hawaogopi kufa!
Umeeleweka.hilo liko waziNiaje waungwana
Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya kwenda kuvamia mji wa watoto, wanawake na wazee wasiojiweza ili kuhadaa umma na kuitoa dunia katika ajenda yake iliyoshindwa ya kulipiza kisasi kwa Iran ambalo ni taifa babe, lenye nguvu na uwezo wa kijeshi kuliko taifa lolote huko Mashariki ya kati.
Inasemekana baada ya kipigo cha Iran kwa Israel ambacho kimeleta heshima na utulivu katika eneo hilo, ndugu Netanyahu waziri mkuu wa Israel akataka apate uungaji mkono wa jeshi na silaha kutoka kwa Marekani na washirika wake wengine ili na yeye akajitutumue kubweka kwa watemi wa eneo (Iran) ila washirika wakiongozwa na Marekani wakagoma kutoa jeshi na silaha, wakihofia usalama zaidi wa nchi hiyo (Israel), endapo itataka kuthubutu kuendelea kuvimbishiana misuli na dubwasha (Iran) linaloipa silaha za bure hata Russia ambayo ni super power namba 2 duniani.
Kama wengi tunavyojua kwamba Israel bila Marekani na Uingereza ni sawa sawa na mbwa asiekuwa na meno, kamwe haiwezi kupambana na nchi yoyote mpaka ipate support ya silaha na jeshi. Kwahiyo Netanyahu akaamua afyate mkia. Sasa baraza la mawaziri na uongozi hafifu wa jeshi lao wamekaa, wakaona ili kufuta aibu, ni bora kuivamia Rafah na kumalizia hasira zao huko kwa watoto, kina mama na wazee, ili kuhamisha magoli na kupelekea watu kuanza kujadili kipigo cha Rafah badala ya kile cha Israel kutoka kwa Iran.
Hawa jamaa (Israel) akili ya mipango wanayo, sema akili ya silaha na kijeshi ndo hawana, yani mpaka wapewe na nchi za magharibi.
Russia siyo namba mbili duniani mr umebugi.Niaje waungwana

Acha propapaganda ww
Kwani hiyo athari umeiona mwenyewe tuShambulio la Iran limeacha athari kubwa na kitisho cha hali ya juu kwa mashoga ya Israeli.
Unazungumza nini kashambulia halafu anajihami na mkwara mzito wakirespond itakuwa vita, mbona wamejibu bila msaada wa marekani na uingereza na washirika wengine, ile ni sovereign state haitegemei tu misaada kulipa kisasi linapokuja swala la maslahi yake mapanaAsante sana mkuu, huu ni ushahidi wa wazi na funzo kwa mashoga na vibaraka wao wanaowatetea hapa JF.
Mpaka leo Israel haitaki tena kuthubutu kuichokoza Iran. Maana Netanyahu na genge lake watazikwa wazima wazima ardhini na makombora.
Mkuu Paschal qamara una bahati mbaya ya kupoteza muda wako wa kutetea taifa la mashoga ambalo haliwezi kupigana vita lenyewe, bila kusaidiwa na msururu wa nchi zaidi ya 5 za ulaya na Marekani.
Sio kusikia tu ni kweli kajibu tena nchi tatu kwa mpigoNasikia na Israel leo kajibu mashambulizi
Hamasi ni tawi la Iran, na hawajaipiga Israel. Iran ilijifanya inapiga lakini ilikuwa uongo tu. Ilikuwa inawaridhisha wananchi wake.Kwanini sasa nchi yako ichapwe na Iran, hasira ikamalizie kwa Hamas?
Iran hawajaipiga Israel? Sasa wewe na kina Netanyahu nani mkweli?Hamasi ni tawi la Iran, na hawajaipiga Israel. Iran ilijifanya inapiga lakini ilikuwa uongo tu. Ilikuwa inawaridhisha wananchi wake.