Israel yaondoa mitambo ya kutambua chuma mjini

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,272
Reaction score
25,314
_97066861_b6da6cd6-ef68-46f6-bf4d-b9c295b03b29.jpg

Israeli imeondoa mitambo ya kutambua chuma iliyosababisha utata mkubwa, ambayo ilikuwa imewekwa katika eneo takatifu mjini Jerusalem, ambalo waislamu wanapaita Haram al-Sharif na kwa wayahudi Hekalu la mlimani.

Maafisa wakuu sasa wanasema kuwa, mitambo mingine ya uchunguzi, itawekwa ambayo haitatizi pakubwa waumini wanaofika kwa maombi.

Ghasia zilizuka wakati polisi wawili wa Israel waliuawa tarehe 14 mwezi huu.

Israel ilisema kuwa mitambo hiyo ilihitajika kwa sababu watu walikuwa wakiingia na silaha katika eneo hilo takatifu.

Lakini hatua hiyo ilichochea maandamano.

Ijumaa iliyopita wapalestina watatu waliuawa kwenye ghasia na vikosi vya usalama vya Israel, wakati maefu ya waandamanaji walifika eneo la Jerusalem mashariki na ukingo wa magharibi linalokaliwa na Israel.

Israel pia inasema kuwa wafanyikazi wake wote waliokuwa wakifanya kazi katika ubalozi wake ulioko Jordan, wamewasili nyumbani, akiwemo mlinzi wa usalama ambaye alihusika katika kisa cha hapo jana Jumatatu, cha ufyatulianaji wa risasi, ambapo raia wawili wa Jordan waliuwawa.

Chanzo: BBC swahili
 
Arabs hawataki amani yaani wanataka kwenda msikitini na bunduki kazi kweli kweli. Mecca hizo detector zipo kibao hawaandamani na nchi zinazowasapoti kwao wamefunga hivyo vifaa..

Ambiguous
 
Fikiria ardhi ya babu yako leo analima na kukaa mtu mwengine... utafanya nini ❔ umwachie au utapigana nae kwa njia yoyote Ile ❔

Ambiguous
 
mtu kitu

Wacha nikupe free knowledge. Ukiwa unataka kueleza jambo kwanza uwe unalifahamu.

Na pia simamia hoja husika na sio kuruka ruksa utakuwa unfeli kila siku.

Ardhi ni ya Ibrahim waarabu zao lao lipo Arabian peninsula kawaulize wakuelezee vizuri...

Wajua Tanzania or Tanganyika ilikaliwa na watu gani before babu zako?
 
Arabs hawataki amani yaani wanataka kwenda msikitini na bunduki kazi kweli kweli. Mecca hizo detector zipo kibao hawaandamani na nchi zinazowasapoti kwao wamefunga hivyo vifaa..

Ambiguous
tatizo sio hivyo vifaa,
tatizo vinafungwa na nani,
hilo eneo liko chini ya uangalizi wa jordan,sasa israel anafunga vifaa kama nani pale.
Wanasema kuwa hiyo ni mbinu ya israel kujiingiza pale polepole na hatimae kupanyakua,
hence maandamano na vurugu.

Kilichotokea baada ya tukio la afisa ubalozi wa israel kumuua fundi seremala wa kijordan,
serikali ya jordan ikauzunguka ubalozi wa israel waka urockdown,yaani hamna kuingia ama kutoka,
mpaka ofisa ubalozi akabidhiwe polisi ili wafanye uchunguzi wa mauaji aliyoyafanya,

israel wakagoma kumtoa,wakisema ana diplomatic immunity,
israel ikataka watu wake wote kurudi israel,
jordan wakagoma hamna kutoka ama kuingia ubalozini.
Kumbuka jordan na israel ni wana uhusiano.
Basi jana usiku,Netanyau na king abdallah wakavutiana waya na kulonga.

Matokeo ndo haya,waisrael wameruhusiwa kutoka jordan na waisrael wanafungua mitambo yao pale al aqsa,
win win
 
Dunia pamoha na waarabu ina hasara kubwa!
 
Wewe unavyoona Israel na Jordan nani anakula kipondo? Ugomvi ukizidi? Hilo eneo the time bado tu ila arabs wote watafurushwa... king wa Jordan hana ubavu wa kumzuia diplomats wa Israel maana hao askari wa pale al quids watakamatwa wote hasara kuu itakuwa kwa Jordan na kupigwa vita hadi kuondoshwa madarakani kutafuata. Maafisa wote wamesharejea Israel na baadhi ya vifaa tu vimeondoshwa vinabakia vile hidden tu sasa piteni na silaha au afe Askari wa Israel muijue tempa ya Netanyahu
 
Israel alikula kipondo toka kwa wanamgambo wa Hezbollah, ije kuwa jordan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu kitu

Wacha nikupe free knowledge. Ukiwa unataka kueleza jambo kwanza uwe unalifahamu.

Na pia simamia hoja husika na sio kuruka ruksa utakuwa unfeli kila siku.

Ardhi ni ya Ibrahim waarabu zao lao lipo Arabian peninsula kawaulize wakuelezee vizuri...

Wajua Tanzania or Tanganyika ilikaliwa na watu gani before babu zako?

Kwa hio wamasai Wana haki ya kurudi Ethiopia ❔ au wangoni kule Afrika ya kusini ❔ Au ndo wateule wa Mungu na ardhi ya ahadi ❔ mie sijasoma kama wewe ila kabla ya mwaka 1948 Nani alikuwa anakaa ardhi ile ? Je hao wateule walikuwa % ngapi ❔ Nipe elimu mkuu....
 
Wewe unavyoona Israel na Jordan nani anakula kipondo? Ugomvi ukizidi? Hilo eneo the time bado tu ila arabs wote watafurushwa... king wa Jordan hana ubavu wa kumzuia diplomats wa Israel maana hao askari wa pale al quids watakamatwa wote hasara kuu itakuwa kwa Jordan na kupigwa vita hadi kuondoshwa madarakani kutafuata. Maafisa wote wamesharejea Israel na baadhi ya vifaa tu vimeondoshwa vinabakia vile hidden tu sasa piteni na silaha au afe Askari wa Israel muijue tempa ya Netanyahu
haya mambo hayataki ushabiki,
kwanza jordan hana askari pale al aqsa,
jordan ndo anasimamia hilo eneo kwa mjibu wa umoja wa mataifa,
israel kuwafurusha waarabu toka jerusalem ama unaongelea toka israel nzima..?
Ni kitu hakiwezekani,ni kinyume cha sheria za kimataifa,
kuhusu kuiteka al quds,inabidi wayahudi wawe tayari kwa lolote pale,ndo maana baada ya israel kuona ghasia haziishi wakaondoa kila kitu,barrier,camera etc,
ili kupoza mambo
 
The Netanyahu government has caved in to combined Palestinian and Israeli Arab pressure on its positions regarding Temple Mount and its responses to acts of terror. By Thursday morning, July 27, all the security measures, metal detectors, cameras and fences, had been removed from Temple Mount, and the bodies of the three Israeli Arabs who murdered to Israeli police officers handed over to their families in their home town of Umm al Fahm in the Israeli Arab Triangle.
In the Old City of Jerusalem, joyous Palestinians handed out candy and fired off crackers. Their cars hooted to celebrate their victory over the Jews.
In Umm Al Fahm, thousands attended a funeral march early Thursday under fluttering Palestinian flags and hailed the three terrorists, who set off the Temple Mount crisis by gunning down police guards, as “holy martyrs” who brought glory to “occupied Umm al Fahm.” This Arab town northeast of Tel Aviv is represented in Israel’s parliament, the Knesset.
Even after Israel gave in to their demands, for the sake of calming the loaded crisis, the Palestinians’ clerical leaders and the Waqf did not order Muslim worshippers to end their boycott of A Aqsa. Instead, their prayer gatherings in the streets outside are constantly swelling as a symbol of their confrontation with Israel.

Debka.com
 
Back
Top Bottom