Waafrika akili zetu za kipumbavu Sana, na hii inatokana na ulaji wa ugali ambao Marekani wanatumia kwa kulisha mifugo na kutengeneza Gas ya ethanol. Marekani wanasema ugali unafanya akili inakuwa pumbavu ndio maana tunatawaliwaUjinga mwingine huu,Yaani miafrica bana hovyo kabisa.Yaani muuzane wenyewe halafu mnasingizia European Union,Ni kwa nini wasiuzwe walibya ambao nchi yao imebaki magofu,mje muuzwe nyie weusi mnaokimbia kwenu.Hebu kila mmoja abaki nchini kwake uone kama huo uonevu hautakoma?.Biashara ya utumwa Libya ni ujinga wa kiafrica tu,hakuna cha mzungu wala nini.Badilikeni,kaeni nchini mwenu piganeni na maisha muone kama mtauzwa hovyo hovyo.
Ujinga mtupu,watu wanakimbia kwao kuelekea Libya ili waende ulaya,Halafu wakiuzwa wanawasingizia wazungu sijui waarabu.I agree kwamba modern slavery ni upumbavu,Ila ni ujinga zaidi kumlaumu mzungu kwa makosa yetu wenyewe.Waafrika akili zetu za kipumbavu Sana, na hii inatokana na ulaji wa ugali ambao Marekani wanatumia kwa kulisha mifugo na kutengeneza Gas ya ethanol. Marekani wanasema ugali unafanya akili inakuwa pumbavu ndio maana tunatawaliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waafrika akili zetu za kipumbavu Sana, na hii inatokana na ulaji wa ugali ambao Marekani wanatumia kwa kulisha mifugo na kutengeneza Gas ya ethanol. Marekani wanasema ugali unafanya akili inakuwa pumbavu ndio maana tunatawaliwa
Viroba si vilipigwa marufuku??? Wewe umevitoa wapi??Makao makuu ya ushoga inaomba uangalizi kwenye AU. Rwanda inataka kupokea waamiaji haramu toka Isreal usikute wakapelekwa mashoga kuteka soka ndani. Baada ya miaka ijayo watataka Haki ya kutambuliwa na Haki zao, Kagame akikataa misaada inakatwa Maan anataka kuwapokea kisa apate misaada ikiwemo ya kijeshi.
mkuu hawa wanaresource nyingi huku wakiwa na backup ya mataifa ya magharibi akiwemo na marekani so ni rahisi sana hakuna nchi inaweza ruka viunzi vya mataifa haya labda hawajataka tu...Exactly, that's the meaning! Nakumbuka enzi za utoto tulikuwa tunawachonganisha majogoo na sometimes mbwa na walikuwa wanapigana kweli.