Mkongwee
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 634
- 1,396
Marekani kuivamia Iran unataka wapate kisingizio gani??Marekani haijapata kisingizio cha kutumia katika kuifumua Iran; mtafute Saddam kuwa Marekani walipopata kisingizio ni nini kilimtokea. Watu wenye mtazamo mfupi wamekuwa wanasema kuwa marekani imeshindwa vita na taliban lakini ukweli ni kuwa marekani iliamua kutoendelea kuikalia Afghanistani wakajiondokea. Wangetaka kuendelea kuwapo, bado Taliban wangekuwa wanaishi mapangoni huko milimani miaka yote.
kwa mambo anayofanya Iran kwa Marekani
ingukuwa nchi nyingine kitaaaambo ingekuwa imeshaonja radha ya makombora ya Marekani
unapswa ufahamu kwa level aliyofikia Iran sio ya kwenda kichwa kichwaa utaumbukaaa