Israel yaishambulia tena sudan

Israel yaishambulia tena sudan

Kama wameshambuliwa kwa ishu za kigaidi naunga mkono hoja,
Ila Kama Israel wanatumiwa na USA kutekeleza Sera za kimagharibi nalaani kitendo hicho.
 
Viumbe wengine wameletwa duniani kuunga mkono maovu hata kama hayana manufaa kwao, na wengine wameletwa kupinga haki hata kama haki hiyo hawaitoi wao jihadhari na tabia hizi zitakufikisha pabaya ,anapotenda mtu jambo baya tunapaswa kusema hapana "si sawa" nasi mungu wa rehema atatuhesabu kati ya wenye haki
 
Acha kunisingizia kuwa mimi naendekeza ubishi mimi nilisema hivyo sababu nijuavyo wewe kila unaloandika mara nyingi hutoa LINK sasa hii umeandika tu bila kufafanua kuwa source imetoka wapi.

nimetoa hint ili watu wajishughulishe kufuatilia.kwani huna twitter acount wewe?,maana hiyo ndo inakupa instant news
 
Are you happy for this rats who kills you god !?[/QUOT kingereza hukiwezi, afadhali uendelee kuandika kiswahili chako ulichokizoea, pitia tena sentensi yako then u'll identify u'r mistakes
 
waafrika sijui nani katuroga dah!leo mnashangilia taifa moja kulipiga taifa lingine kisa tofauti zenu za dini,upagani ulikuwa mzuri sana
 
Hawa jamaa si ndo walio muua mungu wa Wakiristu!?.....bila shaka wana laana hawa !Au mungu yule alikuwa feki !?
Ukome kumpinga Allah hau!? AmekubInishia kwamba!; "waa makataluhu waa maswalabuhu waalakin shubialahum!" Muongo??? teh teh tehee!
 
Nani alikuambia Mungu ameuwawa? kasome maandiko wewe.

Yesu Msalabani.jpg
Transcend
.......Baba mikononi mwako naiweka roho yangu ! :A S-rap:
 
Last edited by a moderator:
Ukome kumpinga Allah hau!? AmekubInishia kwamba!; "waa makataluhu waa maswalabuhu waalakin shubialahum!" Muongo??? teh teh tehee!

..........mshirikina balahau wewe !
 
..........mshirikina balahau wewe !

Wewe Ally Kombo acha kusingizia watu uongo Allah wako alishakukataza kabisa tatizo lako wewe umekuwa Mwislam hata kiarabu hujui matokeo yake umebaki kukaririshwa vitu amvavyo wewe huvijui mwanzo mwisho.acha uongo allah hapendi
وَلَا تَقُولُوا لِمَا تَصِفُ أَلْسِنَتُكُمُ الْكَذِبَ هَٰذَا حَلَالٌ وَهَٰذَا حَرَامٌ لِّتَفْتَرُوا عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَفْتَرُونَ عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ لَا يُفْلِحُونَ
 
Sanamu ya Bikira Maria.jpg Bikira Maria.JPG

Uongo ni huu hapa ! Echolima
 
Last edited by a moderator:
uhasho wakawasaidie waarabu wenzao.
 
Hizi dini za kurithi hizi zinatusumbua kweli...naamini kipimo tosha cha ujinga wa mtu kinaonekana katika misimamo yake ya dini!!!!
 
:cheer2:
..........mshirikina balahau wewe !

umeacha kumpinga Allah eeh!¿ kisa Allah anasema aliwapiga Wayahudi changa LA macho!; sawa ee!? hicho kibuyu ni pambo sebuleni tu kaka!; hofu ya nini? halafu uchawi aliuleta Allah duniani kwa kuwatumia malaika wake vipenzi na ngangari kina luta na maluta! Sema kama naongopa!?
 
Magaid n marekani

Magaidi ni waarabu na ndio maana wanakufa kama kuku, wanaua mmoja wenyewe wanauliwa hamsini. Ndio maana maeneo ya pwani hakuna maendeo kazi kushinda na kanzu kama wote wana mambusha.
cc faizafoxy kiongozi wa wajahidina(hata sijui maana yake)
 
Back
Top Bottom