Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Kuna mbwa mwitu(fffff foxy) anasikia uchungu sana magaidi kuuliwa.
sudani ni zao la ugaid dunian
Kumtaja tu imekuwa nongwa?????
wacha kihoro hayakuhusu!
Iran imsaidie Sudan sasa
Mwulize BIG BOSS au FaizaFoxy. Wanalo jibu tena haraka sana, kama hawatakujibu pengine wako huko Sudan ku assess madhara ya hilo shambulizi
Ni kawaida ya Paulo incarnate aka Ishmael bin kitimoto anapokuwa na mapepo kutaja taja majina mawili,matatu au manne ya members wanaomyima usingizi kwa kumpa darsa za bure.Cdhan km wew #ishmael una akili nzuri kila ki2 lazma umtaje faizafoxy kwan kakufanyia ninAcha chuki mkuu
Wewe unapata mhemko wa nini anapotajwa Sharon?Naona kila akisemwa mtu mwenye Uarabu kijana wa Allah unapata Mapigo ya Moyo.
sudan shot down israel drone
yaan unashndwa kbs kuchangia mada unaamua kumtukana
#faizafoxy kwa kumwiita mbwamwitu acha roho mbaya na ya kutu una bahati hujanikashfu mim ungeniknow!Acha roho ya kwaheri
Kwani we nani? haya nakukashifu nenda kaseme foxy wewe kama mwenzako.
Kwani we nani? haya nakukashifu nenda kaseme foxy wewe kama mwenzako.
قلب ٠نر ÙŠ Ù‚ÙØ±ÙŠÙ†
Aliyekosa dira utamjua tu kwa matendo yake ya hovyohofyo sijui amekula maharage ya wapi huyu anaandika hovyohovyo.
Kumbe na wewe wakati mwingine una habari za kizushi!!!!!!
tatizo lako unaendekeza ushabiki sana.hii habari iko media nyingi.