Israel yaimarisha Ulinzi Msikitini Al Aqsa, Viongozi wa Dunia waelekea Israel kuzuia Vita isienee duniani kote!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,123
Wanajeshi wa Israel wamewarushia mabomu ya Machozi Waumini walipoenda kuabudu kwenye Msikiti mkuu wa Dunia Al Aqsa

Ulinzi umeimarishwa kuuzunguka Msikiti

Viongozi mbalimbali wa Dunia wanaelekea Israel kushawishi machafuko yasienee duniani kote

Al jazeera news

Yesu alipofika karibu na Yerusalemu aliuona Mji akaulilia akisema Laiti ungelijua yapasayo Laiti ungelijua Amani

Mwenye Masikio na asikie
 
hapo palikuwa ni hekalu lao hapo zamani, waislam walikuja kulivunja wakajenga huo msikiti, na mpango wao ni kuuvunja na kujenga hekalu lao.
 
Kikundi cha kigaidi
Kwa mujibu wa nani? Hamas ni freedom fighters,wanapigania land occupation yao,mabwana zako wakisha mbrand mtu ni gaidi basi na wewe unaunga tela tu wala hujipi muda wa kutafakari,Hamas wanapigania maslahi ya wapalestina,wanapigania manyanyaso ya kufungiwa mipaka na kutokua na freedom of movement.
 
Kwani mji wa jerusalem uko Palestina au Israel? kwanini Waisrael wazuie watu kuswali wakati uo msikiti haupo ndani ya mipaka yao?
Mji wa Jerusalem ni mji neutral kwa Israel na Palestina kwa dini zote tatu zinazopatikana hapo Wayahudi, Waislamu na Wakristo.
Upo ndani ya mipaka ya Palestina lakini sio himaya yao, ni sawa na nchi ya Lesotho ipo ndani ya SA lakini inajitegemea pekee ake kimamlaka.
 
Back
Top Bottom