Israel yaanza kupanga mikakati ya kujenga Gaza mpya baada ya vita, Hamas ni marufuku

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametoa mwongozo wa namna Gaza Mpya baada ya Vita itakavyokuwa

Mosi, hapatakuwa tena na kitu kinachoitwa Hamas

Pili, Misri inaweza kushirikishwa katika maeneo kadhaa

Tatu, Ulinzi litakuwa ni Jukumu la Israel hakuna upuuzi wote utakaovumiliwa

Source BBC news

Jumaa kareem
 
Inajengwa Gaza, halafu wanapewa Wapelestina wanaoishi Ulaya na Marekani. Wale wanaoyapenda maisha.
 
Mosi, hapatakuwa tena na kitu kinachoitwa Hamas
Hii Israel ya kuifuta Hamas Gaza?
Screenshot_20231231-153711.png
 
Huo ndiyo mwisho wa HAMAS hapo Gaza, na IDF imesema ni waparestina pekee ndiyo watatawala hapo Gaza tena kwenye baadhi ya mambo, ila mengine crucial yatabakia kwenye usimamizi wa Israel wenyewe.

Sasa HAMAS ikitaka kuji-organise upya basi waamue kwenda Misri, Saudia, Iraq, Syria, Iran au Lebanon - hapo Gaza washanyea kambi.
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametoa mwongozo wa namna Gaza Mpya baada ya Vita itakavyokuwa

Mosi, hapatakuwa tena na kitu kinachoitwa Hamas

Pili, Misri inaweza kushirikishwa katika maeneo kadhaa

Tatu, Ulinzi litakuwa ni Jukumu la Israel hakuna upuuzi wote utakaovumiliwa

Source BBC news

Jumaa kareem
Na mateka wao wako wameshaapatikana
 
Aifute kwanza hamas aache kuimba imba
Huu ni mchakato wa muda mrefu usifikiri vita ni kama kukata kachumbari, baada ya mwaka mmoja hakutakuwa na HAMAS tena hapo Gaza kumbuka hapa ilipofikia vita Israel hawatarudi nyuma tena.
Gaza inaenda kuwa nyingine na Ile misaada iliyokuwa inaingia Gaza kutoka Iran imefika mwisho na mipaka yote ya Gaza itakuwa chini ya Israel
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametoa mwongozo wa namna Gaza Mpya baada ya Vita itakavyokuwa

Mosi, hapatakuwa tena na kitu kinachoitwa Hamas

Pili, Misri inaweza kushirikishwa katika maeneo kadhaa

Tatu, Ulinzi litakuwa ni Jukumu la Israel hakuna upuuzi wote utakaovumiliwa

Source BBC news

Jumaa kareem
Anajidanganya. Kama bwana wake USA kaondoka na vilema wake Afaghanistan itakuaje mchumba Isreal?
 
Huu ni mchakato wa muda mrefu usifikiri vita ni kama kukata kachumbari, baada ya mwaka mmoja hakutakuwa na HAMAS tena hapo Gaza kumbuka hapa ilipofikia vita Israel hawatarudi nyuma tena.
Gaza inaenda kuwa nyingine na Ile misaada iliyokuwa inaingia Gaza kutoka Iran imefika mwisho na mipaka yote ya Gaza itakuwa chini ya Israel
Kwani wakirudi nyuma watasema hakuna atakae ijenga ghaza zaidi ya hamas

Propaganda nyepesi hizo tumezistukia
 
Ukisoma comments kwenye hii thread wa tanzania ni vichwa maji. Watu wanatao maoni ya kitoto kwenye vitu vigumu, hii jamiforum inatumika Vibaya imekuwa kama kijiwe cha wakosa kazi
 
Anajidanganya. Kama bwana wake USA kaondoka na vilema wake Afaghanistan itakuaje mchumba Isreal?
Israel akisema anamaanisha, leo Golan heights na West Jerusalem ipo mikononi mwa Israel badala ya Syria na Jordan, Egypt alishtuka mapema akaomba amani na Israel ili arudishiwe Sinai iliyochukuliwa na Israel 1967 - 1973, miaka 6 Sina ilikuwa chini ya Israel, aliweza kuchimba mafuta na madini kwa miaka 6, wakiongea NATO au China, USA sawa lakini kuna nchi mbili tu ambazo zikisema zinafanya Israel na Rusia hao hawana mambo ya haki za binadamu ni vita vita, Iran ndo anakuja kuwa kama Israel na Rusia lakini bado anajitafuta
 
Back
Top Bottom