Ilikuwa 14 July 2025 leo 28.02.2026 wamemalizana naye. Utabiri umetimiaWatu watakufa watu wataumia kwa maelfu ila wazee wakutoa roho qka Israel wana kazi moja sio vinu vya nyuklia wala nini ila roho ya mkuu wakidini Ayatollah Khamenei.
Je, ni kwani?
Mpaka sasa Israel chini ya kikosi chao cha majasusi Shinbet and Mossad wamesha pata nakala na ushahidi wakutosha nani alitoa fungu lakuwauwa zaidi ya wayahudi elfu moja kiufupi mpaka babu yenu putin wameshajuwa mchango wao na ili isiwe shida.
Wameamua kumpotezea nakusema liwalo na liwe Ayatollah Khomen ni halali yetu.. yaani yaani iran itanuka maana kwanza kila unavyosikia mlipuko Ayatollah yupo maeneo hayo na hii ndio sababu Ayatollah anamlilia USA ampooze Israel ila bado wanataka roho ya huyu mzee wakimaliza yanafuwata mapinduzi. Wana wataingia wataiba all secret wanazitaka kisha wana hamia Ukraine mtasikia vita imesimama ghafla..
Kabisa mkuu na ushahidi upo pale Gaza jamaa karibu wote walioshiriki oct 7 hawapo duniani kwasasa na Bado IDF wanaendesha msako.Hii ni moja ya secret mission itaishituwa dunia nayo ni Iran down it will take long but huwo ndio mwisho wao utakuwa. Shida ni moja Iran wanapania kulipiza wakati pia ktk giza Israel na washirika wake wana apa hakuna mtu ktk familia ya wanao wapinga Ataishi. Hii story inajirudia kama chama chs manaz kule German. Nimpaka walipo hakikisha hakuna masalia ndipo walipoa. Jambo moja la hatari kwa Israel nikuwa hawasamehi alie mwaga dam ya watu wao nimpaka tone la mwisho ndio watapoa.
Sio kweli, Pakistan walitoa silaha na mafunzo kwa Hamas kuelekea October 7 mbona Israel inaogopa kuwagusa??Kabisa mkuu na ushahidi upo pale Gaza jamaa karibu wote walioshiriki oct 7 hawapo duniani kwasasa na Bado IDF wanaendesha msako.
Kwenye kuunga dot kwa hiyo kichapo anachopitia kwa sasa Mrusi kuna mkono wa Mwisrael kwa sasa?secret wanazitaka kisha wana hamia Ukraine mtasikia vita imesimama ghafla..