ISRAEL vs HEZBOLLAH crisis update

ISRAEL vs HEZBOLLAH crisis update

KWA HIO MUNGU ANAWALINDA MASHOGA?? ALAFU NI MUNGU AINA GANI??
Hakuna mtu yoyote au kikundi chenye majigambo kinaweza kuishinda au kuitikisa Israel ulinzi WA Israel ni wa kimungu amimini usiamini lakini huo ndio ukweli na wote wale waliojaribu wamekipata cha mtema kuni !
 
Nauliza wale waliotoa ile picha ya satellite inayoonyesha maeneo muhimu Israel wameshalipiza kisasi?
 
Hezbollah ni kama Hamas tu hakuna tofauti,wote wanapigana gorillar war,yaani wanashambulia na kujificha either msituni au kujichanganya na raia.Direct confrontation na IDF Hezbolah watapasuka vibaya mno.Huo ndo ukweli.
bora hata hamas ni chama kinachotawala gaza,kihalali,kimechaguliwa na wananchi,,lakini hezzibollah,ni genge la wahuni,wanaofadhiliwa na nchi za kiarabu,mashia,iran na syria,,mbona hawateki raia wa urusi,wakione cha moto,,
 
Sidhani kwamba Israel hawawezi kupigwa kabisa na Hezbollah. Kwanza Israel wenyewe hawawezi kuthubutu kuanzisha tena vita na Hezbollah kwani bado wanakumbuka KICHAPO KITAKATIFU walichokipata mwaka 2006 kutoka kwa Hezbollah.
 
bora hata hamas ni chama kinachotawala gaza,kihalali,kimechaguliwa na wananchi,,lakini hezzibollah,ni genge la wahuni,wanaofadhiliwa na nchi za kiarabu,mashia,iran na syria,,mbona hawateki raia wa urusi,wakione cha moto,,
Hakuna gaidi wa kuthubutu kuwasumbua Urusi, maana waliwahi kujaribu ila Somo waliloyoa Warusi hadi leo hao magaidi sijui waarabu huwa wanazisimulia hadi mimba jinsi ya kukaa mbali na warusi.
 
Hezbollah ni kama Hamas tu hakuna tofauti,wote wanapigana gorillar war,yaani wanashambulia na kujificha either msituni au kujichanganya na raia.Direct confrontation na IDF Hezbolah watapasuka vibaya mno.Huo ndo ukweli.
Acha kujipotosha mkuu. Najua unajua unajipotosha huku ukiujua ukweli.
 
Mkuu Hizbullah, ni chama na ni waarabu wazaluwa wa Lebno, na pia ni chama kama kwa mfano Chadema au chama chochote, kinawakilisha wabunge ndani ya bunge la Lebanon, Raisi wa Lebanon ni Mkiristo, Waziri mkuu ni Sunni, Mkuu wa bunge ni Shia, Na Mara hii ya mwisho uchaguzi Hizbulla imejinyakulia viti vingi bungeni, na pia wanapendwa sana, KAMA HIZBULLAH WASINGEKUEPO LEBNON SASAIVI INGELIKUA INAKALIWA KWA MABAVU NA WAYAHUDI
umeelezea vizuri sana,ila nafikiri nchi ya lebanon si nchi ya kiislamu au kiarabu kama watu wengi wanavyofikiri....au hii imekaaje?
 
Hao Mazayuni walitangaza kuwa operation fukia mahandaki itaenda mpaka upande wa Lebanon vp Tena au wameogopa ?
 
Back
Top Bottom