Nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu
Na sa Egypt wanapiga hatua ya kujenga Nuclear, sijui Israel kama atakuwa anapata usingizi.Aaaah! Hayo ni mapenzi yako tu, hana lolote.
Na huyo aliyesema Taifa lililoteuliwa na Mungu hukuona kuwa analeta uji.nga wa mabasha zenu wazungu?.Naona mmeanza kuingiza uji.nga na u.puuzi wenu wa dini za mabwana zenu waarabu na wayahudi kwenye thread ya mtu.......
Badhi ya wakristo ndio walivyo mara nyingi wanaharibu mada hapa likija neno la Israel , wanadhani wote tutakubaliana na ujinga wao, eti taifa la Mungu.Na huyo aliyesema Taifa lililoteuliwa na Mungu hukuona kuwa analeta uji.nga wa mabasha zenu wazungu?.
For we must all appear before the judgement seat of Christ, that each one may receive the things done in the body, according to what he has done , whether good or bad. 2 cor5:10Sura Al-Imran 3:59 says, 'The similitude of Jesus before Allah is as that of Adam; He created him from dust, then said to him: "Be". And he was.' If Jesus is created, then he cannot be God."
Na kuwekea hio Quran kwa kiswahili.
وَإِنَّهُ لَعِلْمٌ لِّلسَّاعَةِ فَلَا تَمْتَرُنَّ بِهَا وَاتَّبِعُونِ ۚ هَٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ ( 61 ) Na kwa hakika yeye ni alama ya Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
وَلَا يَصُدَّنَّكُمُ الشَّيْطَانُ ۖ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ( 62 ) Wala asikuzuilieni Shet'ani. Hakika yeye ni adui yenu wa dhaahiri.
وَلَمَّا جَاءَ عِيسَىٰ بِالْبَيِّنَاتِ قَالَ قَدْ جِئْتُكُم بِالْحِكْمَةِ وَلِأُبَيِّنَ لَكُم بَعْضَ الَّذِي تَخْتَلِفُونَ فِيهِ ۖ فَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَطِيعُونِ ( 63 ) Na alipo kuja Isa na dalili zilizo wazi, alisema: Nimekujieni na hikima, na ili nikuelezeni baadhi ya yale mliyo khitalifiana. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na mnit'ii mimi.
إِنَّ اللَّهَ هُوَ رَبِّي وَرَبُّكُمْ فَاعْبُدُوهُ ۚ هَٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ ( 64 ) Kwa hakika Mwenyezi Mungu ni Mola wangu Mlezi, na ni Mola wenu Mlezi. Basi Muabuduni Yeye tu. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
فَاخْتَلَفَ الْأَحْزَابُ مِن بَيْنِهِمْ ۖ فَوَيْلٌ لِّلَّذِينَ ظَلَمُوا مِنْ عَذَابِ يَوْمٍ أَلِيمٍ ( 65 ) Lakini makundi kwa makundi yao yalikhitalifiana wao kwa wao. Ole wao walio dhulumu kwa adhabu ya siku chungu.
Usibadili Quran hakuna wapumbafu katika wa Islam, Sura nimekuwekea hapo na tafsiri ya kiswahili.
Ukweli Kama huo ndio ulitakiwa kusema muda mrefu!Ukweli ni kuwa haya maelezo ya kuitawala dunia ,waislamu wao wana version yao wa maelezo,na yanaonyesha wao ndo wataibuka kidedea,na ndo siri ya hao waislamu kutoogopa mabomu na makombora ya wamarekani na washirika wake.
Ndo maana hutokaa uone hawa jamaa wanasalimu amri kwa marekani.
Marekani ameingia hasala ya matrilion kule irag na afaghanstan,kiasi cha uchumi wake kushake,sasa hadi wanafunga serikali tatizo ni pesa.
Mmarekani hakupata kufikia malengo aliyopanga kule irag na afghanstan na inabidi atoe majeshi yake.
Walichofanya waarabu na afaghan ni kuirefusha vita ili kubomoa uchumi wa marekani,imefikia hali mpaka marekani hataki tena kushiriki vita vya nchi kavu kwani ameona inakula kwake.
Israel nao wamekua wanaitwanga gaza mabomu lakini jamaa ni hardcore israel anagwaya kuingiza askari wa miguu gaza kwani anajua casualt itakua kubwa.
Haya mambo ni ya kuangalia tu na wala hayaishi leo itachukua hata miaka 500,nasi wote tutakuwa tulishapita zamani na wala hakutakuwa na maisha kama yalivyo sasa.
Wacha kujidanganya angali Jesus anambiwa nini katika hio hio Surat AzzukhrufAya ya 61 inaonyesha kua Quran inasema tumfate Yesu!
Mimi ndimi njia ya kweli na uzima! Yohana14:6
Judaism has never accepted any of the claimed fulfillments of prophecy that Christianity attributes
to Jesus. Judaism also forbids the worship of a person as a form of idolatry, since the central belief of Judaism is the absolute unity and singularity of God.
Ukweli Kama huo ndio ulitakiwa kusema muda mrefu!
Mtaweza Vipi kuibuka kidedea karibu mataifa mengi yamewageukia? Imebaki Iran tu!
Version zenu ziko nusu sawa au wewe haujafatilia ki undani Zaidi! Ukweli ni kwamba hakuna taifa litakalo simama na kuiangusha Us na washirika wake ata Hao Warusi na machina wote ndio haohao wenye Veto wanakaa meza moja na kusikilizana Maslahi!
Mpango wa Uasi ni mtu mmoja mmoja ndio atakaeshinda hii vita lakin kwa mataifa ni shida na tawala nyingi hasa za kiarabu zitapata taabu!
For we must all appear before the judgement seat of Christ, that each one may receive the things done in the body, according to what he has done , whether good or bad. 2 cor5:10
So who is he have the authority to judge people?
When God said: "Jesus, I will take you back and raise you up to Me, and purify you of those who are unbelievers. And I will place the people who follow you above those who are unbelievers until the Day of Resurrection. Then you will all return to Me, and I will judge between you regarding the things about which you differed. (Surah Al 'Imran, 3:55)For we must all appear before the judgement seat of Christ, that each one may receive the things done in the body, according to what he has done , whether good or bad. 2 cor5:10
So who is he have the authority to judge people?
| "There is not one of the People of the Book who will not believe in him before he dies..." |
Kumbuka Nchi za kiarabu mwaka 1967 si za mwaka 2013.Not only IRAN, hata mataifa yote ya Kiarabu yangeungana. Recall what happened 1967.
APO SASA NDO KASHESHE LA MWAKA, WATAJUTTA TAIFA TEULE, ndio siku zote na sema kwa nini wanaogopa kufa hahahaha.Sasa wale walio muua msalabani bila shaka walifanya jambo baya !
Sasa wakikutana nae siku ya hukumu uso kwa macho 'Taifa Teule' bila shaka litasambaratika !
Unajua wakati mwingine huenda ndivo ulivofundishwa hivo na kupewa fafanuzi zisizofaa kwa mafungu yako hayo haimaanishi kua bible imechakachuliwa!
Deuteronomy hiyo31:14-29 inazungumzia Uasi wa Israel
Na Jerimiah hiyo inazungumzia Peril of false Teaching! Sasa nashangaaa kuona kua umepata point ya kusema bible imechakachliwa! Ni uongo kupotosha watu!
Fanteni biblia Kwani ata kitabu chenu kinafahamu kua biblia ndio iliyotangulia kwanza!
Nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu
Injili ya Yesu wameificha mana inasema Prophet Muhammad atakuja kuweka mambo sawa bada ya Yesu kuondoka, na Yesu alijua wazi akiondoka Prophet Muhammad atakuja kuweka ukweli hapa dunaini bada ya yeye kuondoka kwa mda mpaa siku akirudi tena duniani, na alijua fika watu kama kina Paulo watatengeneza Bibilia na kusema Israel ni taifa teule hahaha.Biblia haipo na hakuna Nabii aliyekuja na Kitabu kinaitwa Biblia ! ......uchakachuaji unaanzia hapo !
1. Cha kwanza Tourah ya Musa
2. Zaburi ya Daudi
3. Injil ya Isah (Yesu)
4. Quran.
Sasa Biblos iko wapi hapo !?
Biblia haipo na hakuna Nabii aliyekuja na Kitabu kinaitwa Biblia ! ......uchakachuaji unaanzia hapo !
1. Cha kwanza Tourah ya Musa
2. Zaburi ya Daudi
3. Injil ya Isah (Yesu)
4. Quran.
Sasa Biblos iko wapi hapo !?