Israel Sasa inatosha

Kuna uhalifu mkubwa sana wa kivita na kijinai umefanyika huko Gaza

ICC ni vyema iwezeshwe kuwashughulikia wahusika.
 
Hapo wa kulaumiwa ni Hamas, kwa nini wanapigana vita halafu wanakimbilia kujificha hospitali?!
Ukute kuna lango la kuingilia kwenye mtandao wa mahandaki humo hospital.
Naunga mkono hoja kama tu Hamas wakiachia mateka..
Hakuna kuzungumza na magaidi bwana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na matanki ya maji waliyolipua yalikua na viongozi wa Hamas ndani yake!?..toka mwanzo wanalipua shule, hospital na kudai kombora la Hamas limepoteza uelekeo,wameshindwa kupambana na Hamas wanabomoa majumba na kuua vichanga
Umevurugwa sheikh make naona huelewi vile, Hamas ndio wamejigicha kwenye hizo shule, hospitali, nk kwahiyo waachwe acha ujinga bwana
 
Ujinga mtupu halafu ndio mnasema Israel ndio yenye TISS nzuri , wazayuni wameonyesha umbumbu ktk suala la Vita ,Jasusi Bora huwezi kupigapiga hovyo vitoto vichanga na wamama.

Ni Bora ya TISS yetu IPO vema ktk kukabiliana na Chadema kuliko hao mbuzi wa kizayuni.
 
Na matanki ya maji waliyolipua yalikua na viongozi wa Hamas ndani yake!?..toka mwanzo wanalipua shule, hospital na kudai kombora la Hamas limepoteza uelekeo,wameshindwa kupambana na Hamas wanabomoa majumba na kuua vichanga

Raia wema walishaondoka gaza,waliobaki ni hamas na vibara wao.
 

Lengo ni kuchoma kichaka kizima chenye nyoka ndio kinachofanyika hapo gaza,hayo ya ujasusi baki nayo wewe,gaza inaenda kuwa chini ya israel ndio lengo kuu.
 
Hujaona kuna jamaa kaleta uzi hao HAMAS bado wanaendelea kurusha maroketi yao?

Israel apeleke moto tu wataopona wata hadithia na watakua na heshima.
 
Hapo patolewe mda wagonjwa wahamishwe vichanga waliopo kwenye incubator wahamishwe pamiminwe mvua ya mabomu kwa masaa matatu bila kupumzika
 
wapalestina asilimia 90 wana muono wa kihamas , usione waisrael wajinga , wamechoka sasa wanataka kuwaondoa kbs hamas
 
na walisema kama wakiachia mateka idf hawatoingia ndan ya Gaza , ila waislam muwajuwavyo ukimuacha unamuogopa ukimpiga unamuonea
 
Israel haiwezi kuimaliza HAMAS, inahitaji HAMAS iendelee kuwepo ili kutimiza malengo yake ya kujiportray kwamba ina existential threat kwa wajomba zake wamarekani na waulaya huku kimyakimya ikiendelea kumega ardhi za wapalestina kwa visingizio vya security.
 
Lycaon pictus Msaidie huyu mfuasi WA mwamposa tafsri ya kurusha maroketi mara Kwa mara Nini kitatokea.
maisha yangu yote sijawahi kusali kwa mamposa wala kwa nabii yeyote wa uongo, na nawaweka kwenye kundi la fake pastors. ila kwa kukusaidia, mnakuwa hamna akili kuwambia israel wasitishe vita, ila hamas hamuwaambii, mna maana hamas waendelee kurusha roketi na wasiachie mateka raia waliokamatwa majumbani ila israel ndio isitishe? cha kushukuru Mungu ni kwamba, raia wameitikia wito wameenda kusini, pale kaskazini mwa gaza wamebaki hamas na IDF tu, kwahiyo hakutakuwa na sababu ya cease fire tena kwasababu ni mwanajeshi kwa mwanajeshi. na mauaji kwa raia yatapungua.sasahivi hamas lazima wafe.
 
Na matanki ya maji waliyolipua yalikua na viongozi wa Hamas ndani yake!?..toka mwanzo wanalipua shule, hospital na kudai kombora la Hamas limepoteza uelekeo,wameshindwa kupambana na Hamas wanabomoa majumba na kuua vichanga
hamas hawalengwi mbona hawasong mbele sasa ? maana waisrael ndo wanauliwa ila wao ndo wanasonga mbele
 
Usichokijua ni kwamba lengo la Israel sio kuua raia Bali ku deal na Hamas ubaya ni kwamba hao Hamas wanawatumia raia kama ngao wao hawajali kabisa uhai wa wapelestina wenzao, IDF wameshatoa onyo zaid ya mara kumi kwamba jamani eeh ondokeni hilo eneo soon tutaiwashia moto hiyo hospital lakin ndio kwanza raia wanazidi kuongezeka maeneo hayo na waandishi wa habari kamera zao zote wamezitegeshea humo ili kurusha umbea, kiufupi hii operation ni very complex IDF wanafanya Kila waliwezalo kupunguza civilian casualties ingekuwa Urusi hiyo hospital ingeshakuwa vifusi kitambo tu,

unaposema IDF wasitishe vita haina tofauti na pisi kali imekuja getoni kwako chuchupu kuikanda ikasalimika na kuondoka siku umejipanga vizur maokoto kama yote mfukoni unaifuatilia mpaka inapoishi anakukaribisha mpaka chumbani kwake huku kavaa kanga moja tu Kisha eti unaghairi kumkanda huo si ni ujinga mkuu?

IDF wakiondoka Gaza bila kuingia ndani ya Al Shifa watakuwa kama wameenda picnic tu kitu ambacho hakipo ninachokiona hapa option ya kuilipua hiyo hospital itakuwa ya mwisho baada ya kuhakikisha mateka wote wameokolewa kama kweli wamo, hayo mataifa ya kiarabu hayana ubavu wa kupigana na Israel muda wa wao kuingia vitani ilikuwa pale IDF walipoingia Gaza.

Netanyau alishaweka wazi malengo ya operation Iron sword kwanza ni kuifuta kabisa Hamas na miundombinu Yao pili kuokoa hao mateka, ku sacrifice maisha ya raia 11000 hata hao 239 wa Israel kwa Usalama wa nchi sio case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…