Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
BJ your right. Watu wako hapa wanaimba wimbo wa uchumi wa ulaya kudorora lakini mabakuli wakinga.Naimani hata kama uchumiwa wa Ulaya utadidimia kiasi gani hawatosita kuleta hela ya bajeti hapa TANZANIA
Wanatakiwa kukumbuka kuwa Iran sio Iraq, muziki utakaochezwa baada ya jaribio hilo kufanikiwa au kushindwa unaweza kuja kumbukwa kama wanavyomkumbuka Hitler. Mwiba wa Israel uko Lebanon na Syria, proxies za Iran, ambazo zinasubiri orders tu kufanya mambo. Cha muhimu hapa ni kuangalia what will be the cost of denying Iran the nukes, and what will be the cost of letting it have them and concetrate and building up a deterence. Mabomu ya nyuklia huwa hayatumiwi, yanawekwa kwa vitisho tu na kutaka heshima. Let us wait and see, kama wakitaka kujaribu moto basi wajaribu.
Hakuna makosa yoyote yale. Mipaka ya Kimataifa inaeleweka. Hata katika majaribio ya Clinton alipokuwa Rais katika kutafuta suluhisho la Wapalestina na Wayahudi hili la kurudisha ardhi iliyotekwa na Wayahudi 1967 lilikuwemo. Hivyo si siri kwamba wamekalia ardhi ambayo kimataifa inajulikana siyo ya kwao. Vinginevyo sheria za kimataifa hazina umuhimu wowote wa kuwepo, maana mwenye nguvu mwache afanya anavyotaka na wale wanyonge wanyamaze tu. Kweli mkuki kwa nguruwe....
BAK,
Sheria za kimataifa gani unazozizungumzia ndg? Maana ktk historia tunajua himaya huundwa na kuvunjwa..na mipaka huundwa na kubadilika..Ukitaka kila binadamu arejee ktk ardhi yake ya mababu hii sayari haitatosha!!
Mathalan, unasema wayahudi hiyo si ardhi yao. Sasa niambie i wapi ardhi yao?
BAK,
Sheria za kimataifa gani unazozizungumzia ndg? Maana ktk historia tunajua himaya huundwa na kuvunjwa..na mipaka huundwa na kubadilika..Ukitaka kila binadamu arejee ktk ardhi yake ya mababu hii sayari haitatosha!!
Mathalan, unasema wayahudi hiyo si ardhi yao. Sasa niambie i wapi ardhi yao?
Thesis..
Sasa niambie i wapi ardhi yao?
BAK,
...
Kumbuka kuwa historia haikuanza mwaka 1967. Umewahi kujiuliza kwanini Wayahudi hawakuja kuvamia mathalan, Tandahimba au Pemba, wakaenda kwenye ardhi ya hawa wafilisti?
Pekecha akili zaidi bana..
Kumbuka Muingereza alikuwa ana wazo la kuunda taifa la wayahudi UGANDA as far back as 1920's. Africa mashariki tuliponea.
Kumbuka Muingereza alikuwa ana wazo la kuunda taifa la wayahudi UGANDA as far back as 1920's. Africa mashariki tuliponea.
Huwa nawaza kwa nini ni haki kwa wayahudi kutangaza kuwa wanalijenga taifa la kiyahudi [DINI], lakini ni kosa kwa muarabu kusema nataka kulijenga taifa la kiislamu [DINI].
Kwanini liwe kosa kwa kiongozi mmoja kusema ataiangamiza Israeli lakini ni haki kwa waisraeli kuwa kandamiza wapalestinia.
Hebu mnao watetea Waisraeli niambieni, na mue wakweli, tofauti ya wanayo yafanyia palentinian's waisreli, tofauti iko wapi na waliyo tufanyia wakoloni.
Itakuwaje mtu kuhamia sehemu fulani ambayo tayari walikuwa wanaishi watu kwa sheria zao, halafu kaja kulitenga sehemu fulani kisha akazieka sheria zake mwisho kaliita taifa lake.
Kwa watu waliokandamizwa [Germany] Jews should be last group of people to oppress the palestinians. Kosa ni kosa liwe la muisraeli, mwarabu, suluhisho ni watu kuyakemea yote, sio kumkemea mmoja wakati mwenzake anafanya kosa.
Kwa maoni yangu the west hawa yashutumu wanayo yafanya israeli kwa sababu wanaona aibu sababu ya matendo walio wafanyia, ama kutowapa msaada in time.
Hata hivyo ikiwa israel inataka kuishi kwa amani, basi itabidi kwanza wakubali kuwa hata wao wamekosa, wawape heshima na haki zao waarabu. Si kutarajia watawatishia maisha yao yote.
Kumbukeni especialy hivi sasa uchumi wa dunia uko pabaya,the west itabaki haina hela za kuwapa waisraeli. Hapo basi ndo watajikuta on level playing ground, ITAKUWAJE KISHA.
Hamna mtu anayeweza mwenye akili timamu leo hii anaweza kuja na hekaya kuwa eti Israel 'inakalia' ardhi ya Waarabu.
Kwanza, jadili hoja, sio kutupa matusi, hakuna aliyekutukana hapa.
Pili, soma kuhusu
British Mandate of Palestine [League of Nations involvement/Purpose],
partition of Palestine,
Eretz Yisrael,
Zionist movement,
Theodor Herzl,
Catholic persecution of Jews. just to start.
Hapo basi utaanza kuona mambo yalivyo
Hivi ni vichwa vya habari ambavyo ni very general ..lete hoja behind sio kunipa assignment kama mwanafunzi..
Iranian VP calls for Israel's destruction
Esfandyar Rahim Mashaei, who caused a stir recently by saying Iran is friend to Israel, decides to reiterate President Ahmadinejad's calls for obliteration of Zionism. 'Corrupt Zionist regime harming Islamic world, all of humanity,' he says Dudi Cohen Published: 12.09.08, 21:51 / Israel News
Iranian Vice President Esfandyar Rahim Mashaei believes the destruction of Israel should become an international goal and a global demand, the state-owned IRNA reported Tuesday.
The agency quoted Mashaei, who several months ago called his country "a friend of Israel", as blaming the "Zionist regime" for the world's ills.
Mashaei, currently in Mecca for the hajj pilgrimage, met with Sudanese President Omar Hassan Ahmad al-Bashir and told him, "The corrupt and criminal Zionist regime is harming not only the Arab and Islamic world, but humanity in its entirety."
He added that "in order to save humanity from its different crises, there is no other way other than the limiting of Zionist influence on human society, because the root and origin of most of the world's current crises are related to Zionism."
Mashaei, currently cultural heritage and tourism organization chief of Iran, caused a commotion recently when he said during a tourism convention that "no nation in the world is our enemy. Iran is currently a friend of the people of the US and Israel."
The surprising remark caused over 200 of the country's parliament members to issue a statement of condemnation. "Mr. Mashaei has no right to say these shameful things and he is not in a position to take on such a responsibility," the statement said.
"Mashaei must not realize that he is calling them a nation, while they are the ones occupying the homes of millions of Palestinians."
In this light, Mashaei's new statement can be seen as an informal retraction of his earlier, more controversial speech. His cry to eliminate Israel is in line with the many earlier statements made by Iranian President Mahmoud Ahmadinejad.
Mashaei is considered a close affiliate of Ahamadinejad, and earlier this year his daughter married the president's son. Though many called to have him dismissed from the government following his previous statement regarding Israel, Mashaei appears to have reinstated his claim to office with his latest remarks.
Hayo yote siwezi yaandika hapa, lakini ni muhimu kuyaelewa ikiwa utaijadili issue ya israel. Sawa na kuielewa issue ya Dini na inavyo changia.
Kama ulivyo sema hii isue ilianza kitambo mfano 15th century Edict of Expulsion huko Spain ilichangia kuhamia kwa wayahudi kwenda "The Promised Land".
League of Nations walichangia kutengwa kwa taifa la israeli walipo wapa Waingereza "mandate over Palestine", ili "waitayarishe" sehemu ile, kwa kuwawekea wakazi wake vikwazo [Kiuchumi, Kisiasa, nk] vitakavyo lainisha kutengwa kwa taifa la israeli.
Hayo ni machache tu yako mengi, ukweli ni kuwa wote wameteseka, lakini hiyo si sababu ya kumuinua mmoja juu ya mwenzake.