Walio rusha roket kwa wenzao kina nan? Je unasema gaza ni ma fighter wana fight kuhusu nin? Uhuru? Unasema wanakotrol vyombo vya habar vyote ww umepata wap hzo habar orodhesha hizo media nasi tufatilie hizo habari za kweli
Ukweli unajulikana kwamba wakoloni kutoka Europe wameitawala Palestine kimabavu tokea 1948
kwani wa israel asili yao ni wapi labda tuanzie hapa?
Hao walioitawala Palestine sio mayahudi wa Middle east (hao ni wazungu).
Israel ndio imeanzisha vita (hii ya Gaza) na mpaka sasa wanaendelea kushambulia mji wa Gaza (ambao umetawaliwa na Israel kwa mabavu, wengi hawajui haya, hii si vita ya baina ya inchi mbili, hii vita baina ya wakoloni na free fighters wanaopigania uhuru wa inchi yao). Kila siku watoto wa Kipalestine wanauliwa na mabomu hayo.
Hata hiyo habari ya kutekwa kwa Wa Israel sio kweli ni propaganda tu (kutoka Israel, wao ndio wanazi control media karibia zote, kila siku wanazitumia media hizo kutangaza uongo wao)

nenda kawasaidie.nyie waislam mnachosha sana.kila kitu kulalamika.kuteka mteke nyie kisha mnadai conspiracy. huko Nigeria mnadai waloteka si waislam bali serikali.al shabab mnadao ni kikundo konatumika na wa marekani.kaaaa!!!
Huwa nashangaa sana Hamas wakirusha makombora na kuuwa wanawake na watoto wa Israel mnasema hurreeeeey, Israel wakilipa kisasi mnaibuka na kupiga kelele israel Mafedhuli? Double standard haileti Amani waache washikizane adabu after all hayatuusu. Moyo wangu upo na ndugu zangu wa Arusha na zanzibar wanaorushiwa mabomu na tindikali, ukitaka tujadili namna ya kupata suluhu ya sehemu hizi mbili niite tu nitakuja kukusikiliza.
Hao walioitawala Palestine sio mayahudi wa Middle east (hao ni wazungu).
Kwani Mwislamu wa kutoka Africa anahaki kwenda kuwanyanganya Wasaudia Inchi yao Kwa sababu eti yeye ni Muislamu?
.. Unasema wanakotrol vyombo vya habar vyote ww umepata wap hzo habar orodhesha hizo media nasi tufatilie hizo habari za kweli
Lini Hamas wameuwa wanawake na watoto?
Mbona unadanganya bro.
Yaan huoni kama hata mifano yako ni irrelevant? unamaanisha waarabu wote ni waislamu? au unataka kutuambia kwamba "uisrael" ni dhehebu?!!..too low of you.
Unalala unawaza udini tu na ukiamka ni udini tu..dah!
Makombora wanayorusha kutokea Gaza unafikiri yanaua nini? Suicide bombers wanajilipua kwenye mabasi na kuua watu huwa hujawahi kusikia? au masikio yako yapo selectively programmed kusikia unachokitaka wewe tu? Mbona hupendi kuishughulisha akili yako?
hivi hamas wakirusha rocket israel wanatarget kina nani kama sio raia? au na wao wanatarget wanajeshi tu?
Nataka kukufundisha kwamba uyahudi ni dini sio kabila.
Mzungu anaweza kuwa myahudi
Mwafrika anaweza kuwa myahudi
Mwarabu anaweza kuwa myahudi........