lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,484
Mkuu hayo ni mambo ya kawaida mno kwenye ulimwengu wa kijasusi,kuna mazito zaidi ya hayo siwezi kuyasema hapa.Dah Mimi sio mtaalam kabisa wa mambo haya. Mambo ya udukuzi.lakini nimeingiwa na hofu Sana.
Pegasus Ni kifaa kilichotengenezwa na kampuni binafsi ya Israel.
Pegasus spyware inaweza kupenya kwenye simu za smart na kufyonza ujumbe wote,picha zote na kurekodi mazungumzo.
Pegasus imeshatumika kulenga Marais kumi na Moja Waziri Mkuu mmoja na mfalme mmoja..
Pia wanasiasa wa vyama vya Upinzani hawakubaki salama.
Serikali zilizouziwa kifaa hiki zimekitumia kuwachunguza watu ambao serikali iliwaona Ni kero kwake.
Pegasus imekua ikiuzwa kwa Siri Sana na kampuni hiyo kwa nchi zilizofanyiwa uchunguzi wa kutosha.
Hofu niliyonayo Ni usalama wa uhuru wetu,wa viongozi wetu na hasa viongozi wetu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Hivi najiuliza kweli Tuko salama?
Pegasus imekua ikitumiaka kunasa mawasiliani ya viongozi wa kisiasa wa upande wa Upinzani huko kote ilikouzwa,watu maarufu na hasa viongozi.
Rais wa Ufaransa ametoa anti uchunguzi ufanyike juu ya uwepo wa kifaa hiki.
Habari hii nimeipata kutoka Al Jazeera.
Wataalam wa hizi mambo karibu hapa.
Nakupa moja iliyotumika nchi moja ya afrika mashariki.
Alikuja mgeni mmoja mashuhuri ile convoy yake ya usalama ilipoingia ikulu kumbe viatu yao vilikuwa vinaacha gadgets zenye ncha kwenye mazulia ya ikulu hizo gadgets zilichongoka chini mithili ya sindano yenye ncha Kali na ziliachwa Pini nyingi Sana kuanzia za kusikiliza mpka za kuingilia mifumo ya kompyuta za ikulu kilichotokea nyuma ni disaster.
Wachina ni balaa!! Si ulisikia kilichotokea kwenye jengo la AU? walijenga bure kama msaada kumbe wameacha mambo yao usiku data zotee zinakuwa transferred kwenda Shangai...imekuja kushtukiwa baada ya mwaka na nusuBro, unaweza kuwa specific hii ilitokea wapi exactly namaanisha nchi gani!!? Maana niliona Mwaka juzi wachina walijenga makazi ya rais kule Burundi na Pierre alienda kuzindua.
Sasa msitake kuniambia kama alihamia mule na kuanza kufanya kazi za kiserikali mule, maana akifanya hivyo hatuwezi jua wachina wamepandikiza nini mule[emoji1751]
Kagame ni mdau tena Rwanda imepata updates mwezi 5 mwaka huu.kwa gharama ya $million.Kuna habari kuwa hii program ya pegasus aliuziwa mpaka bwana Kagame
Hivi hayati hakuwa na hii kitu kuwafuatilia michepuko wake akina JokateKagame ni mdau tena Rwanda imepata updates mwezi 5 mwaka huu.kwa gharama ya $million.
Mkuu hayo ni mambo ya kawaida mno kwenye ulimwengu wa kijasusi,kuna mazito zaidi ya hayo siwezi kuyasema hapa.
Hiyo inatajwa ni kampuni binafsi,lakini ikija kuchimbwa zaidi unaezakuja kuta ni kampuni yenye mafungamano Ya kutosha na mashirika makubwa Ya kijasusi .....