Kwani waarabu na waisraeli tofauti yao ni nini?
Hao wanaojiita Waisraeli ni waarabu waliochanganya damu na mataifa mengine(wazungu) simple logic..... tatizo udini ndio unawasumbua (waislamu&wayahudi,)
Kama huko afrika ya kati (SELEKA/waislamu&ANTI BARAKA/wakristu)
dini ni watu ikigeuka ikaitwa taasisi hiyo si dini ya "mungu" bali taasisi za watu
Kamwe mungu hajawah kuanzisha taasisi duniani, hizi dini zinazojiita taasisi zina miungu wao. a.k.a manabii, maaskofu, mashehe,wachungaji,makuhani, mitume, mapadri, mapapa na majina mengine kibao yanayomkufuru mungu.