Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Makazi ya Raia Dimona? Humo ni wanajeshi na facilities za Nyuklia, na Iran ni mstaarabu anajua akipiga Nyuklia yao wataathirika Hadi Wapalestina, Jana iliopigwa ni facility ya research za Nyuklia, pamoja na makazi ya hao wanajeshi/wanasayansi.

Hilo ndio Eneo linalindwa zaidi hapo, Raia wa kawaida hawezi Tia pua yake hapo.
Usifurahie Iran kupiga facility za nyukilia za israel.

Wote tunajua Waisrael ni makatili hasa.
anaweza fanya jambo la kinyama pale Iran.

Tuwaombee raia wa IRAN na ISRAEL ambao hawana hatia.
 
USA ni Cancer ya huu ulimwengu Hilo ndio Taifa linalo paswa kufutwa first , kwanini wasimchangie wambonde
Uzuri wa hizi zinazojiita superpowers huwa zinakuja na kuondoka mfano mzuri ni Egypt, Assyria, Greece, Ottoman, Babylon, Rome, Britain

Good news ni kwamba Marekani nayo ipo kwenye hatua za mwishoni za kuanguka kwake
 
Mapema tu wanatake notes, kama wanavyofanya mwenye vita vya Ukraine
Vita sio notes mchina aingie kati ajionee maajabu vita vya pili vyenyewe alikaliwa vibaya na mjapani bila USA kuingilia kati angekuwa koloni hadi saivi ni vile tu mnasahau fadhila, aingie Taiwan au akaitwae Hong Kong ndio tuamini
 
Vita sio notes mchina aingie kati ajionee maajabu vita vya pili vyenyewe alikaliwa vibaya na mjapani bila USA kuingilia kati angekuwa koloni hadi saivi ni vile tu mnasahau fadhila, aingie Taiwan au akaitwae Hong Kong ndio tuamini
Unafikiri ni kwa nini Marekani ilichelewa sana kuingia kwenye WW2?
 
Usifurahie Iran kupiga facility za nyukilia za israel.

Wote tunajua Waisrael ni makatili hasa.
anaweza fanya jambo la kinyama pale Iran.

Tuwaombee raia wa IRAN na ISRAEL ambao hawana hatia.
Huo ukichaa wakaufanye Kwa Iran mbona wao ndio watakao kuwa wanabweka Kwa kilio Cha maumivu haujasikia Jana neta- pussy Alivyokuwa ana bweka kama mbwa Koko akiomba back up Toka Kwa mataifa mengine Jana haujasikia !?

Afanye huo uzwazwa then aone kitakachojiri
 
Yeye Kwake vita hii anataka kuigeuza biashara, ila mataifa ya Middle East baada hii vita watajifunza na kuelewa kwamba US sio taifa la kuliamini ,wao hawajali utu wala ubinadamu wanachojali ni maslahi yao.
😄😄😄 Yaani vita aianzishe yeye Kisha wao wamlipe !? So hata wakimpa hizo pesa Itasaidia Nini wakati uwezo wa kuzilinda hizo Nchi till dakika hii Hana , cause kama base zake zimepigwa Air craft zake zimepigwa intercept zake zimepigwa mpaka balozi zake zote zimechakaa Atazihakikishia ulinzi upi hizo Nchi !?
 
Wanadai ule mzigo uliodondoka Damona na Arad ,Air defense zilishindwa kudetect ,yaani umedondoka kama ulivyotumwa. Naona wamekusanyika kufanya uchunguzi, japo hawataki kusema mifumo yao ya anga mingi imelipuliwa,kudetect mabomu inashindwa.

View: https://m.youtube.com/watch?v=1Q6y29UNC-o

Handala walisha tweet, wamedukuliwa. Hata ukiangalia video hakuna aliekimbia wote wamekutwa ndani, it means ving'ora vilichelewa.

Na sasa hivi pia wamesha tweet energy infrastructure zote za Israel.
 
Vita sio notes mchina aingie kati ajionee maajabu vita vya pili vyenyewe alikaliwa vibaya na mjapani bila USA kuingilia kati angekuwa koloni hadi saivi ni vile tu mnasahau fadhila, aingie Taiwan au akaitwae Hong Kong ndio tuamini
Unaongelea vita ya pili 1945 ambapo umaskini wa china ulikuwa hauna tofauti na Tanzania?unachekesha sana ndugu wajaribu sasa waone,nadhan hukuona parade la china mwaka jana wewe,Parade la jeshi kama lile mara ya mwisho alifanya Hitler tu.HongKong inadhibitiwa na China kiutawala kwa asilimia zote tangu 1997,Taiwan ni suala la muda tu maana China angetaka kuichukua serious angeichujua tangu zamani kama ulikuwa hujui Taiwan ikianzishwa na Chiang Kai shek ambaye alikuwa raisi wa China akapigwa na jeshi la mapinduzi la Mao Ze Dong akakimbilia Taiwan,kama Mao au waliofuatia wangetaka kummaliza kabisa Chiang kai shek wangemfuata hukohuko alipokimbilia visiwani Taiwan wakampige waichukue na Taiwan sema waliona hakuna umuhimu.China kuitaka Taiwan ni baada ya Marekani kujisogeza na kuwa na ushirikiano na Taiwan ndio maana China ameanza kuwa na adhma ya kuichukua Taiwan..Inaelekea huna unalolijua wewe!
 
Nimepost humu kila mtu alisoma majina. Pia usiruke mada,ulidai kuwa Hizbollah haiwezi kufanya kitu iko obliterated ilhali inashambulia Galilaya na kuna internal displacement.
PITIA UZI NIMETAJA MAKAMANDA WOTE MMOJA MMOJA.
Na juzi tu wameuawa IDF soldiers wengine zaidi ya 30.
Aya hao Hizbollah unaodai hawafanyi kitu wako wapi?? Au hao waliouawa wameuliwa na mizimu!??
Nasubiri majina ya makamanda waliouwawa na Hezbollah ili tuendelee na mjadala. Basi nakupa benefit, achana na wote taja mmoja.
 
Back
Top Bottom