Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mkuu kusema ivyo si kwamba Mimi ni muislam,bali nawaweka sawa nyie watu wa dini msichukiane.... Serikali ya Samia haina udini na ipo fair sana. (Nje ya mada)
Uongo ndio kitu ambacho umejaaliwa
Screenshot_20260313-211606_2.jpg
 
Kuna tetesi zilitoka kwa Trump, yeye mwenyewe alikiri kwamba: "mifumo ya utawala nchini Iran ni very complex". Yaani, alichotegemea Trump Ni tofauti na anachokishuhudia. Trump aliamini kuuà top leaders basi atakuwa amemaliza kila kitu, sasa imekuwa vice versa.
Inàmaana kwamba, wewe na Trump mnachokiamini kinafanana, na akili zenu zinafanana. Mnachokiamini kimewa-prvove wrong.

Hakuna jeshi? Mbona piga nikupige inaendelea. Makombora yànayorushwa na Iran ni mbuzi ndiyo wanarusha?
Acha story za vijiweni, Trump alimwambia nani hayo?. Kimsingi Iran inapigika sio kawaida.
 
💥💥💥💥
Trump: Tumeanza safari hii tumemuondoa adui muovu. Wamekua wakiua watu kwa njia za kikatili sana. Wengi wanaojilipua ni watu kutoka Iran, watu wamekua wakisubiri kwa miaka 47 jambo hili lifanyike, hivyo lazima tufanye
 
Back
Top Bottom