Iran atabaki kunyonga nyonga raia wake kwa kuwaita maajenti wa mossad kumbe Israel ina masatelite angani ya ujasusiIsrael says it has successfully launched a new spy satellite into space, a move that will significantly enhance its surveillance capabilities in the Middle East. According to Israeli officials, the satellite can take images of objects as small as 50 centimeters in size, day and night.
Israeli Defense Minister Israel Katz said the launch of the satellite, dubbed "Horizon 19," is a direct message to enemies that "we are watching them at all times and in all situations."
Mr. Katz described the launch as a "high-level achievement" that only a few nations in the world can achieve.
According to a statement from the Israeli Ministry of Defense, the satellite was launched into space on Tuesday night, September 2, with the help of a Shavit rocket, and successfully reached Earth orbit.
Horizon 19: Satelite mpya ya kijasusi ya Israel yenye uwezo wa kipekee duniani - BBC News Swahili
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, alisema uzinduzi wa satelaiti hiyo, iliyopewa jina la "Horizon 19," ni ujumbe wa moja kwa moja kwa maadui kwamba "tunawaangalia kila wakati na katika hali zote."www.bbc.com
Acha uongo wapi wamesema chini ya ardhi?Kingereza chenyewe cha ugoko alafu maneno mengi kama kasuku.Picha inayoweza chukua ndogo ni cm 50,rula mbili za shule ni cm 60.Satellite inaweza kupiga picha Hadi chini ya ardhi yaani hakuna kujificha sio Tu mchana hata usiku inaweza kupiga picha hii technology ya Hali ya juu sanaa.
Hapa middle east watapata shida Sana hasa Iran na washirika wake
Una maana gani unapo sema chini ya aridhi!! under ground au?Satellite inaweza kupiga picha Hadi chini ya ardhi yaani hakuna kujificha sio Tu mchana hata usiku inaweza kupiga picha hii technology ya Hali ya juu sanaa.
Hapa middle east watapata shida Sana hasa Iran na washirika wake
Niiliona mahojiano fulani ya jamaa fulani alikuwa CIA akiongozi kitengo cha kufuatilia na kuwakamata magaidi, amehusika kukamata watu wengi wa Osama. Alisema Israel huwa inaichunguza Marekani ila CIA kwao ni mwiko kabisa kuichunguza Mossad. Anasema Mossad they dont give a fu...k kuoa watu hata 300 ili kumwondoa mtu mmoja tu wanayemtaka. Akatolea mfano walivyoua watu kule Beirut kumuua jamaa fulani mmoja.Israel says it has successfully launched a new spy satellite into space, a move that will significantly enhance its surveillance capabilities in the Middle East. According to Israeli officials, the satellite can take images of objects as small as 50 centimeters in size, day and night.
Israeli Defense Minister Israel Katz said the launch of the satellite, dubbed "Horizon 19," is a direct message to enemies that "we are watching them at all times and in all situations."
Mr. Katz described the launch as a "high-level achievement" that only a few nations in the world can achieve.
According to a statement from the Israeli Ministry of Defense, the satellite was launched into space on Tuesday night, September 2, with the help of a Shavit rocket, and successfully reached Earth orbit.
Horizon 19: Satelite mpya ya kijasusi ya Israel yenye uwezo wa kipekee duniani - BBC News Swahili
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, alisema uzinduzi wa satelaiti hiyo, iliyopewa jina la "Horizon 19," ni ujumbe wa moja kwa moja kwa maadui kwamba "tunawaangalia kila wakati na katika hali zote."www.bbc.com
Tekinologia ni ya kwake,ila aitumie vizuri kwa ustawishaji na maendeleo ya binadamu dunianiSasa Ayatollah atajificha mpaka lini kwa mpango huu?
Wazayuni watu wabaya sana.
I couldnt agree more. Perfect sense!!Tekinologia ni ya kwake,ila aitumie vizuri kwa ustawishaji na maendeleo ya binadamu duniani
Lakini shida kwake sio waarabu,shida ni ndugu yake tena wakaribu Iran.
Iran anamuona Israel kama bwana mdogo aliyemkomboa kutoka utumwani Babylon.
Ila ikija siku Iran na Israel wakapatana kama enzi za Shah basi wawili hao watatawala dunia kwa pammoja.
Under ground tunnelsUna maana gani unapo sema chini ya aridhi!! under ground au?