Kiziwi amuombe msaada kipofu wa kusomewa barua.Habari wakuu...
Ni muda muafaka sasa Trump aombe msaada kwa Israel, taifa teule, wasambaratishe mazalia ya ballistic missiles na nuclear reactors za Kim Jong-Un. Kazi hii IDF ikipewa yawezakamilisha ndani ya masaa 12 ya usiku mmoja.
Au kama vipi Trump awaombe Waisrael, watu waliopewa akili zaidi Ulimwenguni, wadukue mfumo wa kurusha makombora ya balistic ya North Korea ili Kim asiweze kurusha hata toy la mbayuwayu. Na uhakika jambo hili litaepusha kuita vikao vya kila siku vya UN kuijadili N/Korea. Litamfanya Kim achutame kwa fedheha na kuomba mazungumzo...Karibuni Timu Kiduku na Timu Trump.
Kwa hiyo mapanki ni kwikwiHabari wakuu...

Sishangai wa Tanzania tuna IQ ndogo yule binti wa Kenya alikuwa sahihi,.. Mtanzania anayeishi chini ya 1dollar anayeshinda mtandaoni anajifanya expert na kuishauri USA
ni roketi manKwa hiyo mapanki ni kwikwi
Acheni kujidanganya.Hadi sasa wengi wanaofanya kazi za usalama Marekani ni hao hao waisrael.Mbona hawamdukuiHawa jamaa wakiingilia tu, kiduku kwisha habali yake Israel wana nguvu duniani kalibu kwa kila kitu sema hawajikwezi kama marekani, urusi nk.
wabongo bwana,eti taifa teule
wabongo bado kiza totoro mkuu,uteuleni hakuna hata kanisa wala hawamtambui huyo aliyewafanya wapewe jna la uteuleDaaaah mkuu bora umemaka na ww maana sioni uteule wake wakti ndo makao makuu ya uchafu wote duniani
kinachoikuza Israel ni historia yake, taifa hilo la mashariki ya kati lipo kati ya maadui,limepigana vita nyingi sana na kushinda,vita inayokumbukwa sana ni vita ya siku sita ambapo mataifa ya kiarabu na kiislam yalijiunga pamoja kuvamia israel ili kuifuta wakiongozwa na misri,walichakazwa vibaya sana.pili tecnolojia wapo mbali sana.kiujumla uwezo wanao.Kiziwi amuombe msaada kipofu wa kusomewa barua.
Israel inakuzwa tu kisa inaonea vipanya ikikutana na wababe utasikia wamekimbilia UN wanapiga kelele.
kinachoikuza Israel ni historia yake, taifa hilo la mashariki ya kati lipo kati ya maadui,limepigana vita nyingi sana na kushinda,vita inayokumbukwa sana ni vita ya siku sita ambapo mataifa ya kiarabu na kiislam yalijiunga pamoja kuvamia israel ili kuifuta wakiongozwa na misri,walichakazwa vibaya sana.pili tecnolojia wapo mbali sana.kiujumla uwezo wanao.
Na huwa hawatanii wakisema moja ni moja kweliHawa jamaa wakiingilia tu, kiduku kwisha habali yake Israel wana nguvu duniani kalibu kwa kila kitu sema hawajikwezi kama marekani, urusi nk.
Duuhhh weee jamaaaa..ushoga ktk ardhi ya wayahudi ???? Au unazungumzia watu gan ?Daaaah mkuu bora umemaka na ww maana sioni uteule wake wakti ndo makao makuu ya uchafu wote duniani
Huu uteule wa Israel nani kaupa?Habari wakuu...
Ni muda muafaka sasa Trump aombe msaada kwa Israel, taifa teule, wasambaratishe mazalia ya ballistic missiles na nuclear reactors za Kim Jong-Un. Kazi hii IDF ikipewa yawezakamilisha ndani ya masaa 12 ya usiku mmoja.
Au kama vipi Trump awaombe Waisrael, watu waliopewa akili zaidi Ulimwenguni, wadukue mfumo wa kurusha makombora ya balistic ya North Korea ili Kim asiweze kurusha hata toy la mbayuwayu. Na uhakika jambo hili litaepusha kuita vikao vya kila siku vya UN kuijadili N/Korea. Litamfanya Kim achutame kwa fedheha na kuomba mazungumzo...Karibuni Timu Kiduku na Timu Trump.
Israel mi naona wanipaisha Tuhawa vidume tu hadi leo wamewashindwa ndio waende huko kwa kiduku 😉
Hiyo vita kila mara inatumika kama reference.kinachoikuza Israel ni historia yake, taifa hilo la mashariki ya kati lipo kati ya maadui,limepigana vita nyingi sana na kushinda,vita inayokumbukwa sana ni vita ya siku sita ambapo mataifa ya kiarabu na kiislam yalijiunga pamoja kuvamia israel ili kuifuta wakiongozwa na misri,walichakazwa vibaya sana.pili tecnolojia wapo mbali sana.kiujumla uwezo wanao.
Mkuu, kama kweli huyo mkenya yuko sahihi kuhusu IQ yetu mbona hatujatest makombora ya balistiki na bomu la haidrojeni kama N/Korea ambao nao wanasifiwa kuwa na IQ ya namna hiyo.Sishangai wa Tanzania tuna IQ ndogo yule binti wa Kenya alikuwa sahihi,.. Mtanzania anayeishi chini ya 1dollar anayeshinda mtandaoni anajifanya expert na kuishauri USA