Israel Kuendelea kuunda Mabawa ya Ndege za Marekani

Israel Kuendelea kuunda Mabawa ya Ndege za Marekani

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,376
Reaction score
13,196
Israel Air Industry inatarajiwa kuwa Kampuni Itakayoongoaza kibiashara baada ya Kupata Tenda kubwa ya Kutengeneza Mabaya ya Ndege za Kimarekani aina ya Boeing na Lockeheed Martin Israel inaaminika kwa kuteneneza Mabawa ya Ndege Mathubuti Duniani na Mfukoni ina mkataba tayari ambao bado haujaisha wa Mabawa ya Ndege za Kampuni hizo.... Haswa zile Mpya kabisa za F-35s Inatarajiwa kutengeneza Seti za Mabawa kwa Ndege 800. Na vipuri vyote vya Ndege hizo. Pia kunakutengeneza vichwa na sakafu za Ndege.

Pia Boeing imetoa Oda kwa ajili ya Ndege yake Mpya ya Abiria Boeing 777x Pia Kampuni hizo zimeomba zitengenezewe Teknolojia Mpya mpya nchini Israel ili Ndege ziwe za kisasa Haswa

CEO wa IAI Ameshukuru dili hilo kwa kuaminiwa kuwa Kiwanda chao kinashirikishwa katika kutengeneza ndege ya kivita hatari kabisa duniani...

Israel Imeshiriki katika utengenezaji wa Ndege Nyingi ikiwemo F-16, T-39 na Boeing 787 Dreamliner Na Makampuni kadhaa ya Ulaya kwa ajili ya Wateja Wao. So Hata wewe ukipata Mteja unawapa kazi wanakutengenezea Unauza kivyako ila usiseme. Maana waarabu wakijua wamekalia kiti kimetengenezwa na Myahudi wanaweza kutapika.

====================

IAI becoming industry leader; awarded two mega contracts
IAI awarded multimillion dollar contracts from Boeing and Lockheed Martin to build parts for Boeing 777x and Lockheed Martin F-35s.

667207.jpg

F-35 in flight
Lockheed Martin

Israel Aerospace Industries (IAI) has been awarded two new and lucrative contracts, one by Boeing to build the empennage leading edges for the 777X, and one by Lockheed Martin to produce 800 wing sets for the F-35 project.

The Boeing project will see IAI help construct the newest passenger aircraft, the Boeing 777x, which is expected to enter into service in the year 2020. IAI was also awarded an extension of its existing contract for the 777 empennage leading edges which will continue for the duration of the life of the program.

These two Boeing contract awards follow hard on the heels of a strategic agreement which was signed by the two companies and will see the pair explore opportunities for additional future contracts that could be worth upwards of several hundred million dollars.

The Lockheed Martin contract to produce more than 800 pairs of F-35 wings for the multinational cooperative F-35 project, is worth a potential value of $2.5 billion that will be spread across the next 10-15 years.

According to two reports by the Israel Defense website, both Boeing and Lockheed Martin have recognized the value of working with the IAI and developing new systems and technologies in Israel.

"Boeing's renewed vote of confidence in IAI is an act that cannot be overestimated. Working with the world's leading aviation giant serves as a stamp of quality for IAI's technological and aviation capabilities", said an IAI spokesperson in an interview with Israel Defense.

With regard to the second contract, “Lockheed Martin recognizes IAI’s commitment to the F-35 program and understands the importance of the quality delivered by the IAI team,” said Jeff Babione, Lockheed Martin F-35 program manager.

Joseph (Yossi) Weiss, president and CEO of IAI said in reference to the Lockheed Martin contract that “the award reflects a strong vote of confidence in IAI’s abilities and commitment to this partnership, part of the development of the most advanced fighter aircraft ever produced.

We are extremely proud of this cooperation and believe it will continue to be strengthened in the future.”

IsraelDefense reports that “the IAI currently supplies Boeing with the empennage leading edge for the 777 as well as the pivot bulkhead, passenger floor beams and door surround details for the 787 Dreamliner.”

With regards to the F-35 Wings package, the IAI will be significantly stepping up production to meet the quota following the creation of an automated F-35 wing production line.

The automated production line is, according to reports, extremely accurate and ensures protection of the environment during all stages of the production process.

IAI will build the 777X empennage leading edges at its Lod, Israel, manufacturing facility, with the first delivery planned for the second half of 2017.

Construction of the 800 F-35 wing sets will span the next 15 years. The wing production center at IAI's 'Lahav' Division also produces wings for the F-16 and T-38 aircraft, as well other aerostructures for other aircraft and customers.

Source: israelnationalnews.com
 
mwarabu ni mbaguzi sana haiwezekani mwarabu aseme hawezi kupanda ndege aliyo tengeneza myahudi wakati huo kanzu na kaptula anayo vaa anaagiza kutoka kwa watu ambao yeye kwa dharau zake anawaita makafiri.
 
Israel Air Industry inatarajiwa kuwa Kampuni Itakayoongoaza kibiashara baada ya Kupata Tenda kubwa ya Kutengeneza Mabaya ya Ndege za Kimarekani aina ya Boeing na Lockeheed Martin Israel inaaminika kwa kuteneneza Mabawa ya Ndege Mathubuti Duniani... na Mfukoni ina mkataba tayari ambao bado haujaisha wa Mabawa ya Ndege za Kampuni hizo.... Haswa zile Mpya kabisa za F-35s Inatarajiwa kutengeneza Seti za Mabawa kwa Ndege 800. Na vipuri vyote vya Ndege hizo... Pia kunakutengeneza vichwa na sakafu za Ndege...

Pia Boeing imetoa Oda kwa ajili ya Ndege yake Mpya ya Abiria Boeing 777x Pia Kampuni hizo zimeomba zitengenezewe Teknolojia Mpya mpya nchini Israel ili Ndege ziwe za kisasa Haswa

CEO wa IAI Ameshukuru dili hilo kwa kuaminiwa kuwa Kiwanda chao kinashirikishwa katika kutengeneza ndege ya kivita hatari kabisa duniani...

Israel Imeshiriki katika utengenezaji wa Ndege Nyingi ikiwemo F-16, T-39 na Boeing 787 Dreamliner Na Makampuni kadhaa ya Ulaya kwa ajili ya Wateja Wao... So Hata wewe ukipata Mteja unawapa kazi wanakutengenezea Unauza kivyako ila usiseme... Maana waarabu wakijua wamekalia kiti kimetengenezwa na Myahudi wanaweza kutapika...

IAI becoming industry leader; awarded two mega contracts
IAI awarded multimillion dollar contracts from Boeing and Lockheed Martin to build parts for Boeing 777x and Lockheed Martin F-35s.

667207.jpg

F-35 in flight
Lockheed Martin

Israel Aerospace Industries (IAI) has been awarded two new and lucrative contracts, one by Boeing to build the empennage leading edges for the 777X, and one by Lockheed Martin to produce 800 wing sets for the F-35 project.

The Boeing project will see IAI help construct the newest passenger aircraft, the Boeing 777x, which is expected to enter into service in the year 2020. IAI was also awarded an extension of its existing contract for the 777 empennage leading edges which will continue for the duration of the life of the program. These two Boeing contract awards follow hard on the heels of a strategic agreement which was signed by the two companies and will see the pair explore opportunities for additional future contracts that could be worth upwards of several hundred million dollars.

The Lockheed Martin contract to produce more than 800 pairs of F-35 wings for the multinational cooperative F-35 project, is worth a potential value of $2.5 billion that will be spread across the next 10-15 years.

According to two reports by the Israel Defense website, both Boeing and Lockheed Martin have recognized the value of working with the IAI and developing new systems and technologies in Israel.

"Boeing's renewed vote of confidence in IAI is an act that cannot be overestimated. Working with the world's leading aviation giant serves as a stamp of quality for IAI's technological and aviation capabilities", said an IAI spokesperson in an interview with Israel Defense.

With regard to the second contract, “Lockheed Martin recognizes IAI’s commitment to the F-35 program and understands the importance of the quality delivered by the IAI team,” said Jeff Babione, Lockheed Martin F-35 program manager.

Joseph (Yossi) Weiss, president and CEO of IAI said in reference to the Lockheed Martin contract that “the award reflects a strong vote of confidence in IAI’s abilities and commitment to this partnership, part of the development of the most advanced fighter aircraft ever produced. We are extremely proud of this cooperation and believe it will continue to be strengthened in the future.”

IsraelDefense reports that “the IAI currently supplies Boeing with the empennage leading edge for the 777 as well as the pivot bulkhead, passenger floor beams and door surround details for the 787 Dreamliner.”

With regards to the F-35 Wings package, the IAI will be significantly stepping up production to meet the quota following the creation of an automated F-35 wing production line. The automated production line is, according to reports, extremely accurate and ensures protection of the environment during all stages of the production process.

IAI will build the 777X empennage leading edges at its Lod, Israel, manufacturing facility, with the first delivery planned for the second half of 2017. Construction of the 800 F-35 wing sets will span the next 15 years. The wing production center at IAI's 'Lahav' Division also produces wings for the F-16 and T-38 aircraft, as well other aerostructures for other aircraft and customers.
Hongera zao...ni kweli mwarabu hapendi kabisa chochote cha myahudi, pia myahudi naye hampendi mwarabu hata kidogo, ndo maana huwezi kupanga safari ya kwenda uarabuni kupitia Israel....umchukiaye naye anakuchukia
 
Wajua Ugomvi mkubwa wa Myahudi na Muisrael ni Urithi wa Babu yao Abraham (Ibrahim) Babu wa Mababu... Huyu Mzee alitokea huko Iraq na alizaa watoto akiwa na umri mkubwa Sana... Na hao watoto walikuwa ni wawili tu na Mtoto wa Kwanza Alizaa na Mjakazi wake Hagar ambaye alikuwa ni Mweusi wa Huko Egypt maana Weusi tokea Kitambo ni Watumwa... so Mtoto aliyezaliwa akawa Chotara la Kizungu na Kiafrika ambalo ndio Arabu zenyewe kama ujuavyo kwa kuzaliana balaa zikawa nyingi mno... huko Arabia so Ibrahim acording to Mungu wake aliambiwa atakuwa babu wa Mataifa Mengi sana na Ndio yasemekana Mataifa yote ya Arabuni ni wajukuu zake...Israel,Yemen,Lebanon,Syria,Morocco,Tunisia,Saudia Arabia,Qatar na nchi karibu zote za Middle East na far east.... So Wayahudi hawatambui Mtoto wa Nje ya Ndoa japo watoto wenyewe walikuwa wakielewana ila Mama yake Ishmael ndio alikuwa mtoto akijua mtoto wa kwanza ndie Mrithi so alileta vituko kwa Mke wa Ibrahim Sarah hadi Mungu wa Ibrahim akamuambia amuondoshe... akaenda zake Africa ndipo uzazi na vizazi vikazaliwa na kuongezeka ila Ibrahim alikuwa akifanya safari za mara kwa mara kwenda kumtizama Kijakazi na Mwanae kwani ndio alikuwa first born wake hadi akaja kumpata mtoto wake kwa mkewe Sarah aitwaye Isaac au Kicheko.... ndio aliyekuja kuwa baba wa Yakobo ambaye ndie Israel Mwenyewe kwa Jina na watoto zake ndio waliitwa wana wa Israel ukiachilia Mbali na Esau aliyekuja kutoa ukoo wa Roman au Italy kwa Sasa.....

So Urithi kukosa ndio ulijenga Chuki mbaya hadi leo na zaidi hesema Wayahudi waliwanyima Waarabu Elimu huo ni Ugomvi mkubwa... Hata vita vya kale Waarabu walikuwa wakishindwa kwa akili ya Elimu tu...
 
Abrahamu hakuwa mzungu,alikua ni mu assyria,
isaka na yakobo nao walikuwa ni waasyria by genetics na hata walipotaka kuoa walirudi kwao paran kutafuta mke na hakutaka kuoa mke wa caanan,
asyria ni jamii inayopatikana iraq na syria
 
Ishmael hakuwa mwarabu,wala hakuwahi kuongea kiarabu,

abrahamu hakuwahi kuongea kiyahudi ama kiebrania,lugha aliyoongea ni kiiramac(sp?).

Kiarabu kama lugha ilitokea karne 4,
kiyahudi cha sasa ni lugha ilianza kutumika karne ya 16
 
Mabawa?,kwanini wasitengeze ndege yao tu?

Iran karibuni wataanza kutengeza mig29
Israel alianza kutengeneza Ndege yake Mwenyewe Miaka ya 80s Marekani akaingilia kati na kuzuia mpango huo huku akiahidi kuwapa Ndege Israel na kwa kuwa hiyo Project ilikuwa ni ghali sana hakuwa na jinsi akaiabandon project ya Lavi Ndege bora kabisa ya kivita yenye tech za hali ya juu... na kuacha kwao ndipo kulizaa wataalamu wengi sana kwa kila nyanja maana walikusanywa kwa kazi ya kuunda ndege so kila moja akashika lake mwenye utaalamu wa Rada akajiendeleza, Mwenye utaalamu wa Rocket akajiendeleza wenye utaalam wa Mabawa akajiendeleza n.k n.k so kuacha kutengeneza Ndege kulileta faida kuliko hasara ila kwa upande wangu nadhani ni hasara kwani Israel ndio ingekuwa Giant.... wa Figher Jet...

Lavi

Lavi B-02 prototype
Role Multirole fighter
Manufacturer Israel Aircraft Industries
First flight 31 December 1986
Status Canceled in August 1987
Number built 3 prototypes[1]
Program cost US$1.5 billion[2]

Kuhusu Iran si shida kutengeneza ndege ila wao uwezo hawana hivyo wana assemble tu vipande na vipande hadi ndege inakamilika na wanaongeza vifaa vyao kwenye ndege hizo lakini si si kwa ajili ya biashara.... Wateja wanaangalia Ndege kali zenye kila kitu...

Israel anatengeneza ndege disign hizo sana ila kampuni yake Haswa ya Ndege zake wenyewe ni zile za Bei mbaya sana mnazoziita Private Jet na kampuni yao inaitwa GULFSTREAM
G200

Gulfstream G200
Role Business jet
Manufacturer Gulfstream Aerospace
First flight December 25, 1997
Introduction 1999
Status In service
Produced 1997–2011
Number built 250[1]
Developed from IAI Astra
Variants Gulfstream G280

Published On: Sun, Nov 15th, 2015
Europe / Headline / Israel & Middle East / Life & Style / Sports | By Jewish Business News
Ronaldo Buys Israel Aerospace Gulfstream Jet for $20.5 Million
The Real Madrid star paid $20.5 million for the Gulfstream G200 business jet, the Portuguese media reports.

Real Madrid star Cristiano Ronaldo has bought a business jet made by Israel Aerospace Industries Ltd. (IAI). The Portuguese media reports that he paid $20.5 million, for the second-hand Gulfstream G200. The football star has bought an old version of the IAI’s jet. In 2011 the G200 was superseded by the improved G280.

The aircraft has capacity to carry up to to ten passengers, and cruising speed of 850 kilometers per hour. US company Gulfstream, which has marketing rights for the jet, produces the luxury interiors: Two bathrooms for crew members and passengers, wardrobes, internet access, telephone, fax, microwave, electric oven, fridge for drinks and entertainment systems.

According to “Correo da Manha,” Ronaldo took his inaugural flight this week when flying from his home in Madrid to London to watch the premier of the film documentary about him.

Read more about: Business jet, Cristiano Ronaldo, football, Gulfstream G200, Israel Aerospace Industries Ltd. (IAI), Real Madrid
 
Ishmael hakuwa mwarabu,wala hakuwahi kuongea kiarabu,

abrahamu hakuwahi kuongea kiyahudi ama kiebrania,lugha aliyoongea ni kiiramac(sp?).

Kiarabu kama lugha ilitokea karne 4,
kiyahudi cha sasa ni lugha ilianza kutumika karne ya 16
Aliyesema Aliongea Kiarabu sijui ni nani au umepata cha arusha mkuu..! Anzisha Thread ya Lugha tuchangie....! Kama Hakuwa Mwarabu mimi nimeandikaje? maana CHOTARA la Kiyunani na Black Hutokeaje? Waarabu wenyewe huko Arabuni hata Mudi alisema wametokana na Ishmael... na Ibrahim ni Babu yao wa Mataifa... Hutaki? au ndio kumpa kampa tena
 
Kumbe mabawa mi nilijuaw wanatengeneza ndege
Soma Vizuri sasa kama mtu anaweza kukutengenezea Spea zote huyo analolakushindwa? Makampuni yote makubwa na Madogo Duniani yakitaka kuunda kitu lazima watie Mguu Israel jamaa wapo Njema kila idea utakayoleta wanatengeneza... ndio Maana Waarabu wanaipinga lakini Dunia haiwasikii Wanashawishi Dunia Nzima isusie Bidhaa wanazotengeneza au kuhusiana nazo issue inakuja wao wafe kwa kuacha kutumia? na ushawishi unakufa hapo hapo ikafikia hadi matangazo na internet na computer wanazotumia kupinga zote zina mikono ya wayahudi... kazi Kubwa... Israel Save the World
 
Project ya israel kutengeza ndege yao hiyo Lavi ilikufa baada ya kukosa fund,kwani wamarekani waliokuwa wanatoa pesa waliamua kuacha na kuwaahidi kuwapa ndege za F-16.

Waisrael waliwauzia wachina technology ya ndege yao
 
Hongera zao...ni kweli mwarabu hapendi kabisa chochote cha myahudi, pia myahudi naye hampendi mwarabu hata kidogo, ndo maana huwezi kupanga safari ya kwenda uarabuni kupitia Israel....umchukiaye naye anakuchukia
Mkuu hizo Boeing za Emirates na Qatar wametnegeneza kina nani ??
 
Project ya israel kutengeza ndege yao hiyo Lavi ilikufa baada ya kukosa fund,kwani wamarekani waliokuwa wanatoa pesa waliamua kuacha na kuwaahidi kuwapa ndege za F-16.

Waisrael waliwauzia wachina technology ya ndege yao
Ilishafufuliwa Ikaitwa M-346 lakini ni kwa Training tu na sio kwa Vita....
 
Ukweli ni kuwa israel hatengenezi ndege za gulfstream,hiyo ni kampuni ya kimarekani,tawi la kampuni tanzu ya general dynamic ya USA,

Waisrael walitengeza ndege ya kwanza ya kijeshi aina ya kfir ,lakini ilikua ni kopi ya ndege ya kifaransa aina ya mirage .
Waisrael walitaka wawe na ndege yao na si kopi,ndo wakaanzisha mradi wa lavi miaka ya 80,marekani ndo walifinance na pia kutoa injini pamoja na component zingine,lakini katikati ya mradi rais reagan akaishituka kwamba inakua vipi wawasaidia waisrael kutengeza ndege halafu ije ichuane na ndege zao katika soko,jambo litakalopelekea wamarekani walioajiliwa katika viwanda vyao vya ndege wakose ajira,,,,,marekani akakata mrija wa hela na support zingine za kiufundi,
mradi ukafa,waisrael kwa hasira wakauza mchoro wa ndege kwa mchina,na kama ujuavyo mchina kajaliwa maufundi,wakatengeza ndege yao J-10 fighter kwa kutumia tech ya lavi,
mpakasasa j-10 ina aiframe sawa na lavi ila injini ni ya mrusi
 
Back
Top Bottom