Israel Knesset Wamshambulia Netanyahu

Mimi nachoshangaa ni kubishia hata maneno ya Mdhamini wa pambano (Trump)anawaambia wenzie wa NATO kuwa yake makombor yalikuwa ni hatari sana kwa Israel wewe upo hapa Nyatwali tunabisha,huu ubishi wa Simba na Yanga ni janga la Taifa
 
Hivi myahudi wetu wa Namtumbo MK254 amefanikiwa kuiona yote hii video? Maana yeye wa Namtumbo anajifanya anauchungu mno kuliko waisrael waliopo Israel kwenyewe.
 
Naungana na wale wanaosema vita haina mshindi Bali ni tofauti ya hasara ya vita tu, unafikiri US au Israel hawataki Iran iwe kama Syria au Irak?wanatamani sana ila uwezo huo ndio hawana, angalia wanachofanya Palestine,hakuna kuangalia vita kwenye TV hapo Israel mzigo unatua na unaondoka na watu
 
Hivi myahudi wetu wa Namtumbo MK254 amefanikiwa kuiona yote hii video? Maana yeye wa Namtumbo anajifanya anauchungu mno kuliko waisrael waliopo Israel kwenyewe.
Huyo siku zile Iran anawapelekea moto Israel hata aliwakasirikia wazazi wake akawa hawasemeshi 🤣
 
Wamuondoe Natanyahu madarakani kinguvu, ameabisha sana taifa la Israel na kulitia hasara - wamubane kwenye kesi inayo mkabiri ya kula rushwa yeye na mkewe, waazie hapo kukaza vyuma.
 
Wamuondoe Natanyahu madatakani kinguvu, ameabisha sana taifa la Israel na kulitia hasara - wamubane kwenye kesi inayo mkabiri ya kula rushwa yeye na mkewe, waazie hapo kukaza vyuma.
Ndio manake anaingiza taifa lake hasara sababu hataki ahukumiwe.

Sa kuna watu wameanza kufungua Restaurant wanazita majina ya Missiles za Iran mfano missile inayo itwa KHAYBAR. Restaurant ipo pale Beirut, Lebanon

There you are - brilliant😁😁
 
Kama nimemuelewa vizuri huyo Yahudi ni kwamba HAJAFURAHISHWA na ceasefire, angependa Israel iendelee kupigana hadi malengo yao yatimie; kwamba maadamu mitambo ya nuclear ya Iran haijaguswa then they are not safe. In otherwords (kama nimemuelewa vizuri ) anamlaumu Netanyahu kwa kusitisha mapigano while malengo hayajatimia. Not sure kama nimemuelewa vizuri
 
Yaap lakini je wangeweza kuendelea na vita sababu Iran alikuwa anawapelekea moto si mchezo.
 
Toka Wafuga Midevu na Majini wavamie JamiiForums hali si nzuri wanasema uongo kwa kila kitu na kupotosha habari zote kuhusu Israel na ukijaribu kuwaelimisha wako tayari kukupiga kwa mawe na matusi juu!!!

Kinachokufanya ufanye umbea humu JF ni nini???? Chuki dhidi ya Wayahudi wewe umeanza lini??? Kwa kukusaidia tu hakuna chuki kwa Ukristo na Uyahudi!!!!
 
NENDA YOUTUBE UKAANGALIE KIASI GANI WAKRISTU WANAVYOISHI ISRAEL, NDIO UTAUJUA UKWELI ULIVYOO/
 
Mimi nachoshangaa ni kubishia hata maneno ya Mdhamini wa pambano (Trump)anawaambia wenzie wa NATO kuwa yake makombor yalikuwa ni hatari sana kwa Israel wewe upo hapa Nyatwali tunabisha,huu ubishi wa Simba na Yanga ni janga la Taifa
😁😁😁😁😁
 
Hivi myahudi wetu wa Namtumbo MK254 amefanikiwa kuiona yote hii video? Maana yeye wa Namtumbo anajifanya anauchungu mno kuliko waisrael waliopo Israel kwenyewe.
😁😁😁🙌
 
😁😁😁😁😁

Aibu kubwa sana kumbe na wao mambo ya kiwazidiaga Huwa wanazuia uhuru wa maoni

Mbona wanawatoa nje wabunge wao wanaompinga netanyahu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…