So point yako ni siasa au uhalisia
Al Jazeera ni moja ya chombo cha habari ambacho kipo overated sana kwa sababu ukiangalia taarifa zake nyingi ni maoni ya watu binafsi ila yanakuzwa tu.
Nafikiri ni chombo cha habari ambacho kimekaa kama kurasa za facebook.
Wamejaa propaganda sana
BBC na CNN hao wote ni waongo kama nchi zao we kinacho kusumbua ni ukristo unamini sana ujinga wa bibilia zenu kuwa kila wanacho ongea ndugu zake Paulo kiko sawa.Sina uchungu wowote, nimeandika namna ninavyowaona Al Jazeera wanavyotoa habari zao.
Ni mara chache sana Al Jazeera inakuwa cited kama chanzo cha taarifa ila wao wanaongoza kucite hivyo vyombo vya habari ulivyovitaja hapo juu.
Al Jazeera habari zao nyingi ni hearsay na hwachukui hata muda kujiridhisha. Kuna maigizo mengi sana wanayatengeneza hadi unajiuliza hivi hiki ni chombo cha habari au ni wanaharakati? Ukitaka kunielewa nenda kwenye ukurasa wa X wa Al Jazeera Arabic na Al Jazeera Palestine, utagundua hakuna utofauti wa Al Jazeera na Hamas na kwamba Al Jazeera ni chombo cha habari kwa ajili ya Waislamu.
BBC, CNN , na vyombo vingine wanatoa taarifa kwa kuzingatia miiko ya habari na wala hawana mihemko kama ya Al Jazeera.
Sina uchungu wowote, nimeandika namna ninavyowaona Al Jazeera wanavyotoa habari zao.
Ni mara chache sana Al Jazeera inakuwa cited kama chanzo cha taarifa ila wao wanaongoza kucite hivyo vyombo vya habari ulivyovitaja hapo juu.
Al Jazeera habari zao nyingi ni hearsay na hwachukui hata muda kujiridhisha. Kuna maigizo mengi sana wanayatengeneza hadi unajiuliza hivi hiki ni chombo cha habari au ni wanaharakati? Ukitaka kunielewa nenda kwenye ukurasa wa X wa Al Jazeera Arabic na Al Jazeera Palestine, utagundua hakuna utofauti wa Al Jazeera na Hamas na kwamba Al Jazeera ni chombo cha habari kwa ajili ya Waislamu.
BBC, CNN , na vyombo vingine wanatoa taarifa kwa kuzingatia miiko ya habari na wala hawana mihemko kama ya Al Jazeera.
Muda mwingine raha jipe mwenyewe π€£π1. Wengine husema siasa ni mchezo mchafu na hasa maelfu ya maisha ya watu yanapopotea kwa ubinafsi yaani ego ya mtu, labda hata ni mmoja tu!
View attachment 2985153
2. Kutokea meza ya mazumgumzo Cairo, yasemekana Natenyahu kumbe alishafika bei kwa kutaka au kushurutishwa.
View attachment 2985152
3. Kwamba tulipo, tuko kwenye tutoke vipi zaidi, japo ili hata watoto wadogo wasije wakapata kuona "mzee mzima" alivyolowa chapa chapa!
4. Kwamba Natenyahu sasa kwake umuhimu zaidi, uko kwenye: "inakuwaje yeye baada ya vita!"
5. Kumbe tusemeje kina sisi ambao ni waumini wa zile siasa za kistaarabu kwa maana yake halisi? Tofautisha hizi na zile wazitakazo CCM.
6. Ndiyo maana wanasema vijana wa Tandale, kunako "mwagwa maji" wakacheza kama kambale: "siasa ni ny*ko!"
7. Wale mashabiki wa Natenyahu tegemeeni tamko hivi karibuni kusikia Israel imeridhia makubaliano kwa sharti la vigogo wote wa HAMAS kwenda uhamishoni Qatar au Iran huko; kwamba kutakuwa, hakuna tena HAMAS Gaza!
8. Kwamba baada ya hapo tutaanza awamu nyingine tukiita ya "surgical operations." Yaani kuwindana kama paka na panya hadi tuweze ku "square holes" itakavyowezekana na "as long as necessary!"
9. Kwamba sharti litakuwa watuhumiwa kadhaa wa HAMAS, wasirejee tena Gaza hata milele: "Amina!"
10. Bila shaka kama bwana Misosi, tutoke vipi ndiyo iliyo iliyo mission kuu Israel: "Mission to Tel Aviv:"
View attachment 2985171
11. Mission muhimu sana kwake mkurugenzi, William Burns:
View attachment 2985168
12. Tuendelee kusubiri, nyama zinaweza kuwepo bado zaidi, chini.
Muda mwingine raha jipe mwenyewe π€£π
Mzuka wanajamvi.
logic ipo hivi
Israeli iliweka mashart magumu ikijua kua Hamas watakataa. Wameshangaa wamekubali mashart yote ya israel.
Hamas wao shart lao kuu ni moja tu. Wasifute hamas yote kwa gharama ya Hamas kukubali kila kitu.
Israel inailaumu hamas kwa kukataa kuangamizwhawapotee kabisa.
So sharti hamas wakubali kusain kua tunakubali tutaachilia mateka pia tuangamizwe hamas yote. Kitu ambacho hamas inaona huu usnge sasa.
Mataifa wapatanishi inawashauri Hamas wakubali kwani Raia wanakufa
Wanauliwa na Israel lakini lawama wanapewa wao.
So hadi sasa licha ya Hamas kukubali kila kitu kosa lao kubwa ni wanashindwa kumalizia hako kamkia kadogo kaliko baki. Baada ya kula Ngombe mzima.
Oh haleluya!
Shikarobobo rababa saya