Israel ijipange upya kuhusu Iran

Israel ijipange upya kuhusu Iran

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Ukweli Ni Kwamba Huenda Usa Akarudi Upande Wa Iran.

Marekani Imeichoka Israel Marekani Haitakaa Iingie Vitani Tena Kwasababu Ya Israel.

Netanyahu Badala Ya Kuwaza Matatizo Yanayoikabili Inawaza Kuingia Vitani Na Iran.

Ukweli Ni Kuwa Wazayuni Wanakabiliwa Na Umasikini Mkubwa Ndani Ya Israel Badala Ya Kuwaza Jinsi Ya Kukuza Uchumi Wanawaza Vita
Iran ipo na itaendelea kuwepo Netanyahu akishambulia Iran akumbuke kuwa usa hawezi kuingia vitani atabaki akimiminiwa scud na Iran.
 
Ukweli Ni Kwamba Huenda Usa Akarudi Upande Wa Iran.
Marekani Imeichoka Israel Marekani Haitakaa Iingie Vitani Tena Kwasababu Ya Israel
Netanyahu Badala Ya Kuwaza Matatizo Yanayoikabili Inawaza Kuingia Vitani Na Iran
Ukweli Ni Kuwa Wazayuni Wanakabiliwa Na Umasikini Mkubwa Ndani Ya Israel Badala Ya Kuwaza Jinsi Ya Kukuza Uchumi Wanawaza Vita
Iran ipo na itaendelea kuwepo netanyahu akishambulia iran akumbuke kuwa usa hawezi kuingia vitani atabaki akimiminiwa scud na iran
hizo ndizo ndoto zako, unajua kuwa marekani kuna wayahudi milioni kumi? na wengi wao ndio walioko kwenye post kubwa serikalini? ukiitaja marekani umeitaja israel. ukisema marekani itaiacha israel ni sawa na kusema tanzania itaiacha Dar es salaam.
 
dogo kwani Israel ndio mjii mkuu wa USA au uliwahi kuwa mjii mkuu wa USA. Sa we hujioni mjinga kufananisha DSM na Tanzania na kufananisha USA na Israel.
 
dogo kwani Israel ndio mjii mkuu wa USA au uliwahi kuwa mjii mkuu wa USA. Sa we hujioni mjinga kufananisha DSM na Tanzania na kufananisha USA na Israel.
hivi unaweza kuitenganisha dsm na wazaramo hata kama wazaramo hao wanaishi uganda au congo? mzaramo anayeishi marekani atakubali kuitosa dsm?

unachotakiwa kuelewa ni kwamba, majority ya watu walioshika decision making posts nyingi marekani, walioshikilia uchumi wa marekani, walioshikilia media ya dunia etc, ni wayahudi ambao wana uraia wa marekani na uraia wa israel vilevile. hadi ma senetor wa marekani wapo wengi sana ambao wana uraia wa israel, ni wayahudi. marekani pekee ina wayahudi si chini ya milion kumi, na vijana wao wengi ni wanajeshi na at least once in a life time wahayudi hao huwa wanaenda kufanya kazi ya kujitolea jeshini israel walau kwa miezi sita au mwaka. ni kama mmasai kuoa baada ya kuua simba na kuleta kichwa. kujitolea jeshini ni mojawapo na kujitolea kupigana na iran, syria, hezbolah na hamas. rais ambaye hana asili ya uyahudi na aliyewapenda sana waislam/waarab ni obama na karibia mhula wake utaisha na ataingia republican, possibly mdogo wake na bush aliyepita, nafikiri unaweza kujua kilichopangwa hapo.

iran isingekuwa ina exist leo hii kama makain angelipita. kwa akili yako, unafikiri yale makazi ya wayahudi westbank na east jerusalem nani anaoa hela? ni mafogo/matajiri wa marekani, wayahudi dunia nzima wanazo NGO huwa wanachanga pesa kwaajili ya kuijenga israel ndio maana uchumi wa israel haujawahi kutetereka pamoja na kwamba bidhaa zake zimesusiwa na mataifa yaliyowazunguka. watu wanachanga hela kujenga majumba maeneo wanayoishi waarabu na kuna siku wataondoka waarabu wote, ndio mpango mzima. hizo youtube, facebook na matakataka yote unayoyapenda ni ya wayahudi wala si ya waarabu.
 
dogo FYI waisrael karibu wataondoka, we kama unadhani wa Israel wataishi pale maisha yao ni ndoto.
 
uko kishabiki zaidi

hivi unaweza kuitenganisha dsm na wazaramo hata kama wazaramo hao wanaishi uganda au congo? mzaramo anayeishi marekani atakubali kuitosa dsm?

unachotakiwa kuelewa ni kwamba, majority ya watu walioshika decision making posts nyingi marekani, walioshikilia uchumi wa marekani, walioshikilia media ya dunia etc, ni wayahudi ambao wana uraia wa marekani na uraia wa israel vilevile. hadi ma senetor wa marekani wapo wengi sana ambao wana uraia wa israel, ni wayahudi. marekani pekee ina wayahu
 
Ukweli Ni Kwamba Huenda Usa Akarudi Upande Wa Iran.

Marekani Imeichoka Israel Marekani Haitakaa Iingie Vitani Tena Kwasababu Ya Israel.

Netanyahu Badala Ya Kuwaza Matatizo Yanayoikabili Inawaza Kuingia Vitani Na Iran.

Ukweli Ni Kuwa Wazayuni Wanakabiliwa Na Umasikini Mkubwa Ndani Ya Israel Badala Ya Kuwaza Jinsi Ya Kukuza Uchumi Wanawaza Vita
Iran ipo na itaendelea kuwepo Netanyahu akishambulia Iran akumbuke kuwa usa hawezi kuingia vitani atabaki akimiminiwa scud na Iran.

Unajua uwezo wa Israel wewe?israel inauwezo mkubwa kuliko marekani,rejea historia yake nyuma,au umezaliwa juzi nini?
 
Samani, ntaandika kwa Kiingereza. There're so many things that you guys have to consider before you make conclusions about what's gonna happen. Right now, the Middle East is in a mess and every major player is on edge. There are new forces at play and the emergence of ISIS, especially, has meant a recalculation of relationships in the region.

To understand what's going on requires an understanding of not only the history of the region but also the Sunni-Shia divide in the Islamic religion. I could write all bout it here but I do not have enough time and I'm on a mobile.

That said, I tell you just a few things that you may need to keep in mind. First, no matter what happens, the US will not throw Israel under the bus, at in the foreseeable future because Israel is it's client state. It is its project and its launch-pad for foreign policy in the Middle East, just Japan and S. Korea in Asia.

So what is this new US-Iranian rapport about?

Well, there is so much it, but it's not to break the bond that exists between the US and Israel.

How I wish I was writing from the computer!
 
Ukweli Ni Kwamba Huenda Usa Akarudi Upande Wa Iran.

Marekani Imeichoka Israel Marekani Haitakaa Iingie Vitani Tena Kwasababu Ya Israel.

Netanyahu Badala Ya Kuwaza Matatizo Yanayoikabili Inawaza Kuingia Vitani Na Iran.

Ukweli Ni Kuwa Wazayuni Wanakabiliwa Na Umasikini Mkubwa Ndani Ya Israel Badala Ya Kuwaza Jinsi Ya Kukuza Uchumi Wanawaza Vita
Iran ipo na itaendelea kuwepo Netanyahu akishambulia Iran akumbuke kuwa usa hawezi kuingia vitani atabaki akimiminiwa scud na Iran.

Mkuu, ni kama useme mtu kawachoka ndugu zake.....LOL
Interest za wamarekani zinakuwa generated na wayahudi.
 
hivi unaweza kuitenganisha dsm na wazaramo hata kama wazaramo hao wanaishi uganda au congo? mzaramo anayeishi marekani atakubali kuitosa dsm?

unachotakiwa kuelewa ni kwamba, majority ya watu walioshika decision making posts nyingi marekani, walioshikilia uchumi wa marekani, walioshikilia media ya dunia etc, ni wayahudi ambao wana uraia wa marekani na uraia wa israel vilevile. hadi ma senetor wa marekani wapo wengi sana ambao wana uraia wa israel, ni wayahudi. marekani pekee ina wayahudi si chini ya milion kumi, na vijana wao wengi ni wanajeshi na at least once in a life time wahayudi hao huwa wanaenda kufanya kazi ya kujitolea jeshini israel walau kwa miezi sita au mwaka. ni kama mmasai kuoa baada ya kuua simba na kuleta kichwa. kujitolea jeshini ni mojawapo na kujitolea kupigana na iran, syria, hezbolah na hamas. rais ambaye hana asili ya uyahudi na aliyewapenda sana waislam/waarab ni obama na karibia mhula wake utaisha na ataingia republican, possibly mdogo wake na bush aliyepita, nafikiri unaweza kujua kilichopangwa hapo.

iran isingekuwa ina exist leo hii kama makain angelipita. kwa akili yako, unafikiri yale makazi ya wayahudi westbank na east jerusalem nani anaoa hela? ni mafogo/matajiri wa marekani, wayahudi dunia nzima wanazo NGO huwa wanachanga pesa kwaajili ya kuijenga israel ndio maana uchumi wa israel haujawahi kutetereka pamoja na kwamba bidhaa zake zimesusiwa na mataifa yaliyowazunguka. watu wanachanga hela kujenga majumba maeneo wanayoishi waarabu na kuna siku wataondoka waarabu wote, ndio mpango mzima. hizo youtube, facebook na matakataka yote unayoyapenda ni ya wayahudi wala si ya waarabu.

mkuu hebu tutajie wayahudi kumi, walioko kwny sector muhimu ndani ya usa
 
The Casino Republic
The Real Ruler of Israel: Sheldon Adelson
by URI AVNERY
Who is the ruler of Israel?
Prime Minister Binyamin Netanyahu, of course.
WRONG.
The real ruler of Israel is one Sheldon Adelson, 81, American Jew, Casino king, who was rated as the world’s tenth richest person, worth 37.2 billion dollars at the latest count. But who is counting?
Besides his casinos in Las Vegas, Pennsylvania, Macao and Singapore, he owns the US Republican party and, lately, both Houses of the US Congress.
He also owns Binyamin Netanyahu.
Adelson’s connection with Israel is personal. On a blind date, he fell in love with an Israeli woman.
Miriam Farbstein was born in Haifa, attended a prestigious high school, did her army service in the Israeli institute which deals with bacteriological warfare and is a multifaceted scientist. After one of her sons (from her first marriage) died of an overdose, she is devoted to the fight against drugs, especially cannabis.
Both Adelsons are fanatical supporters of Israel. Not just any Israel, but a rightist, supremacist, arrogant, violent, expansionist, annexationist, non-compromising, colonialist Israel.
In “Bibi” Netanyahu they found their man. Through Netanyahu they hope to rule Israel as their private fief.
To assure this, they did an extraordinary thing: they founded an Israeli newspaper, solely devoted to the furthering of the interests of Binyamin Netanyahu. Not of the Likud, not of a specific policy, but of Netanyahu personally.
Years ago I invented a Hebrew word for papers which are distributed for nothing. “Hinamon” translates, roughly, into “ragratis” or “gratissue” and was intended to denigrate. But I did not dream of a monster like “Israel Hayom” (“Israel Today”) – a paper with unlimited funds, distributed every day for nothing in the streets and malls all over the country by hundreds, perhaps thousands of paid young persons.
Israelis love getting something for nothing. Israel Hayom is now the daily paper with the widest distribution in Israel. It drains readers and advertising revenue from its only competitor – Yedioth Ahronoth (“Latest News”), which held this title until then.
Yedioth reacted furiously. It became a ferocious enemy of Netanyahu. Yossi Werter, a commentator of the center-left Haaretz (which has a far lower circulation) even believes that the present election boils down to a contest between the two papers.
That is vastly exaggerated. Judged by political and social content, there is little to differentiate the two. Both are super-patriotic, war-mongering and rightist. That is the journalistic recipe for attracting the masses anywhere in the world.
Yedioth is owned by the Moses family, a business-minded clan. The present, third-generation publisher is Arnon (“Noni”) Moses, the publicity-shy boss of a large economic empire based on the paper. The paper serves his business interests, but he has no special political interests.
Adelson is unique.
In Israel, betting is forbidden by law. We have no casinos, and secret gambling dens are raided by the police. In our early youth we were taught that casino moguls are bad people, almost like arms merchants. They take the money off poor addicted people, throwing them into despair, even suicide. See Dostoyevsky.
Israelis read Israel Hayom (it’s something for nothing, after all), but they don’t necessarily like the man and his methods. So some members of the Knesset were encouraged to enter a bill forbidding gratis newspapers altogether.
Netanyahu and the Likud party did everything to obstruct this bill. But in the preliminary vote (necessary for private members’ bills) they were beaten in an amazing way. Even members of Netanyahu’s governing coalition voted for it. The cameras caught Netanyahu literally running in the Knesset plenum hall to gain his seat before the voting started.
The vote was 43 to 23. Almost half the Likud members absented themselves. Foreign Minister Avigdor Lieberman and his party voted for the bill. So did ministers Ya’ir Lapid and Tzipi Livni.
From the preliminary vote to the final adoption, such a bill has to pass several stages. There was plenty of time to bury it in one of the committees. But Netanyahu was furious. A few days after the vote, he dismissed Lapid and Livni from the cabinet, causing the government coalition to break up and the Knesset to disperse.
Why did Netanyahu do such a foolish thing less then half way through his (third) term of office? There can be only one logical explanation: he was ordered to do so by Adelson, in order to prevent the adoption of the law.
If so, Adelson is now our chief lawmaker. Perhaps he is also our chief government-maker.
Money plays an ever-increasing role in politics. Election propaganda is made on television, which is very expensive. Both in Israel and the US, legal and illegal funds pour into the campaign, directly and indirectly. Corruption is abetted or tolerated by the courts. The very rich (known euphemistically in America as the “wealthy”) exercise undue influence.
In the last US presidential elections, Adelson poured rivers of dollars into the contest. He supported Newt Gingrich, and then Mitt Romney, with huge sums of money. In vain. Perhaps Americans don’t like to be ruled by captains of casinos.
For the next US presidential elections, Adelson has started early. He has summoned to his Las Vegas casino HQ all leading Republican candidates, to grill them on their allegiance to him – and to Netanyahu. Nobody dared to refuse the summons. Would a Roman senator refuse the summons of Caesar?
In Israel, such rituals are superfluous. The Adelsons – both Miri and Sheldon – know who their man is.
The Israel Hayom newspaper is, of course, a big propaganda machine, totally devoted to the re-election of Netanyahu. All quite legal. In a democracy, who can tell a newspaper whom to support? We are still a democracy, for God’s sake!
It seems to be strange for a country to allow a foreigner, who never lived in the country, to have such enormous power over its future, indeed, over its very existence.
That’s where Zionism comes in. According to the Zionist creed, Israel is the state of the Jews, all the Jews. Every Jew in the world belongs to Israel, even if temporarily residing somewhere else. A few days ago, Netanyahu publicly claimed to represent not just the State of Israel but also the entire “Jewish People”. No need to ask them.
Accordingly, Adelson is not really a foreigner. He is one of us. True, he cannot vote in Israel, though his wife probably can. But many people, including himself, believe that he, being a Jew, has a perfect right to interfere in our affairs and dominate our lives.
For example, the appointment of our ambassador in the US. Ron Dermer is an American, born in Miami, who was active in Republican politics. To appoint an American functionary of the Republican Party as ambassador of Israel to a Democratic administration may seem strange. Not so strange if Netanyahu acted under the orders of Sheldon Adelson.
It was Adelson who prepared the witches’ brew that is now endangering Israel’s lifeline to Washington. His stooge, Dermer, induced the Republicans in Congress – all of them dependent on Adelson’s largesse or hoping to be so – to invite Netanyahu to give an anti-Obama speech before both Houses.
While this intrigue was in preparation, Dermer met with John Kerry but did not tell him of Netanyahu’s coming. Neither did Netanyahu inform President Obama, who, in a fury, announced that he would not meet with the Prime Minister.
From the point of view of Israel’s vital interests, it is sheer madness to provoke the President of the United States of America, who controls American’s flow of arms to Israel and the American veto power in the UN. But from the point of view of Adelson, who wants to elect a Republican president in 2016, it makes sense. He has already threatened to invest unlimited sums of money to prevent the reelection of any Senator or Representative who is absent from Netanyahu’s speech.
We are nearing open warfare between the Government of Israel and the President of the United States.
Is someone playing roulette with our future?
 
so huyu anderson ndo amekua paymaster,kumbe casino zinalipa sana.
 
Unajua uwezo wa Israel wewe?israel inauwezo mkubwa kuliko marekani,rejea historia yake nyuma,au umezaliwa juzi nini?

Uongo mtupu. Eti pia kuna mtu kiushabiki anatudanganya eti decision makers ni Jews kule US! Huo ni uongo kabisa. Nakubali kuwa media kubwa wanahisa ni Jewish community kule US,lakini si kweli kuwa US ni Jews! Lakini nashukuru kujua kuwa Israel ipo kwa sababu ya US tu,nje ya hapo hawana lolote!
 
Back
Top Bottom